Kuna mahali pia panasisitiza sana juu ya kuchanga ulimi.Tatizo letu huwa tunajisahau na ujitamkia jambo lolote na mahali popote tunafahamu kuwa nguvu za kiumbaji zinatusikiliza na kupokea kitu kama kilivyo.
Kuna vitabu vitukufu vimejaribu kufunua hizi secret codes za uumbaji mfano Biblia kuna mahali imesema wazi kabisa kuwa tutashibishwa matunda ya vinywa vyetu. Kuna mahali pia panasisitiza sana juu ya kuchanga ulimi.
...nature is very positive and affirmative..We always reap what we....



Katibu mkuu wa chama -> Katibu Mkuu Kiongozi -> mbunge wa viti maalum
Mliosoma sayansi hii graph inaitwaje?
Hata kwenye fizikia ya kemia na bioloji ya mifupa nipo sio ulozi tu..hata ukinipeleka kwenye magazijuto natwanga tuu
![]()
Usiishie kuwaza anza kuuza unga wa kupima kisha ingia kwenye jumla utafika tuu..hata mbuyu ulianza kama mchicha ...KIKUBWA NIA, MIPANGO SAHIHI, MATUMIZI SAHIHI, NIDHAMU KAZINI, NIDHAMU YA MUDA NA NADHIMU YA PESA... KISHA IBADAMi nawaza kufungua kampuni yangu ya Kuuza unga wa mahindi
Lakini mpaka sasa sioni mwangaza
Sijui inakuaje kwenye ulimwengu wa kuumba yale tunayowaza mkuu
Ahsante mkuuUsiishie kuwaza anza kuuza unga wa kupima kisha ingia kwenye jumla utafika tuu..hata mbuyu ulianza kama mchicha ...KIKUBWA NIA, MIPANGO SAHIHI, MATUMIZI SAHIHI, NIDHAMU KAZINI, NIDHAMU YA MUDA NA NADHIMU YA PESA... KISHA IBADA
tusimulie walau kimoja bro
Jamani nizundueni. Hivi ni kwa nini huyu Bashiru ametokea kuchukiwa hivi ghafla? Asilimia 90 ya watu wanao.comment kumhusu wanampiga nyundo. Mbona mimi naona kama ni mmoja wa viongozi wazuri walioko CCM? Hata zamani alikuwa hachukiwi hivi, ni nini kimetokea?Kwa hiyo Looser katika sarakasi zote hizi ni Dakta?
DuuhMiaka ya 80 kuna nikiwa Mashariki ya Kati kuna jamaa alikuwa hana kazi kwa mda mrefu
Alikuwa hasali kabisa na akiambiwa mbona husali alikuwa anasema ntasalije na sina hela?
Mda ukaenda mwishowe akapata kazi nzuri
Ila mwendo ukawa ule ule wa kutokusali
Alipoulizwa tena akasema huu ni mda wa kuzitafuta kwa nguvu zote na sala zisubiri ( kufuru hiyo)
Mungu hajaribiwi alikusanya hela nyingi baadae akaja kupata maradhi yaliompelekea kulazwa hospitali miezi 6 huku akilipa gharama za matibabu na hela zikiisha
Ndipo akajua amemkosea sana Mungu na kujirudi
Kweli tushukuru kwa kila jambo na tuchunge ndimi zetu



Frequency polygonKatibu mkuu wa chama -> Katibu Mkuu Kiongozi -> mbunge wa viti maalum
Mliosoma sayansi hii graph inaitwaje?
