Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,498
- 283,904
Amevuna mdomo wake ulichopanda, sasa asubiri kumuuliza Gekul maswali ya nyongezaHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
Wivu tuJamani nizundueni. Hivi ni kwa nini huyu Bashiru ametokea kuchukiwa hivi ghafla? Asilimia 90 ya watu wanao.comment kumhusu wanampiga nyundo. Mbona mimi naona kama ni mmoja wa viongozi wazuri walioko CCM? Hata zamani alikuwa hachukiwi hivi, ni nini kimetokea?
Tuendelee kukumbuka Cheo ni dhamana.. hakuna aliezaliwa nacho ...
Apambane na hali yake
But for the the time being that's a setback...!!!Kweli kabisa cheo ni dhamana. Bashiru ni mchaopakazi kweli kweli. Sidhani kama ana interest za kupata mali wala madaraka makubwa. Na hata haya yaliyotokea, ni mtu mjinga peke yake atakayethubutu kusema ndio amefika mwisho wake. Siasa zina mambo mengi sana. Na maajabu huwa hayajawahi kuisha
Tuendelee na hapo pa kutokudhani, hayo anajua yeye nia yake ni ipiKweli kabisa cheo ni dhamana. Bashiru ni mchaopakazi kweli kweli. Sidhani kama ana interest za kupata mali wala madaraka makubwa. Na hata haya yaliyotokea, ni mtu mjinga peke yake atakayethubutu kusema ndio amefika mwisho wake. Siasa zina mambo mengi sana. Na maajabu huwa hayajawahi kuisha
Indeed that is a set back. It happens and it can happen to anyone. Ila sio mwisho wa mwendo wetu wa maisha. Mama Samia ana sababu zake za msingi za kumuweka pembeni. Naliheshimu sana hilo maana tumempa jukumu zito la kuipeleka mbele nchi yetu.But for the the time being that's a setback...!!!
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunziTuendelee na hapo pa kuto kudhani, hayo anajua yeye nia yake ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote... Muktadha wa mada ulikuwa si kumnanga bali kumkumbusha dhima ya nguvu ya kauliIndeed that is a set back. It happens and it can happen to anyone. Ila sio mwisho wa mwendo wetu wa maisha. Mama Samia ana sababu zake za msingi za kumuweka pembeni. Naliheshimu sana hilo maana tumempa jukumu zito la kuipeleka mbele nchi yetu.
Na lazima awe na team inayoendana naye. Kwa Bashiru ni time sasa ya kurelax, kuanza kufikiria upya. Kilichoharibika ni kusahihisha. Chema ni kuboresha.
Ila bado ana nafasi kubwa, kuliko wengine wengi ndani ya msafara huu wa uongozi wa Tanzania
Kweli maisha funzo
Daaah bashiru kajambaa kwenye Maji.
Huyu hajakombolewa na elimu yake bado, kila mtu alishangaa juu ya hiloHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
Hapo sasa?Si mara zote maneno huumba
mara ngapi tunajisemea mema na hayawi?.
Muwe mnasoma na kuelewa kitu kabla hamjachangia...[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]Si mara zote maneno huumba
mara ngapi tunajisemea mema na hayawi?.
It sound like a whistle...... blow burst the mission.I have noted something here..!!!
Ili mradi halali njeMwezi wa January Bashiru alikua anakaa nyumba iliyotengwa kwa ajili ya katibu mkuu wa CCM.
Mwezi wa February akahamia nyumba ya katibu mkuu kiongozi
Mwezi wa March amehamia kwenye nyumba yake Changanyikeni nyuma ya chuo kikuu Cha Dar.
Nyumba tatu ndani ya miezi mitatu. Akija Dodoma atakua anafikia gesti Haus
Mwenzio baada ya miaka 4 anakunja 300m, wewe endelea kuchunga mbuzi mkuuDunia duara haki tena...sasa hivi inamzunguka Dkt. Bashuru anaenda kuuma bench na msukuma na Gwajima. Acha niendelee na kazi yangu ya kuchunga mbuzi tu.
Msukuma ana jimbo huwezi mlinganisha na Dr. Bashiru, anawakilisha watu wa Geita na yeye labla jimbo la mama SamiaKifupi Dk Bashiru na Msukuma wote wana cheo kimoja, sambamba na wale Covid-19. Hakuna kufokeana tena.
Ule wadhifa mkuu, kuwa katibu wa chama kama sisiem si mchezo, wale bungeni mpaka kuingia kwenye kinyang'anyilo katibu anahusika sana, huoni alivyokuwa akienda ziara anavyopokelewa sahizi wapi kwa fungu la nani na kufanya nini?bashiru hajapoteza.hata ubunge Una hela Sana.
Pole yakeHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
Kwani kuna nini hapa Kati yake na Gekul? Maana naona watu wanamsema.sana tujuzaneAmevuna mdomo wake ulichopanda , sasa asubiri kumuuliza Gekul maswali ya nyongeza