Kuna vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu......mmmm Laiti mdomo wangu ungesema ' Nitatembelewa na Shilingi Milioni kadhaa', halafu ukayaumba hayo maneno kuwa Kweli kwa Utaratibu wa ' Maneno huumba!' .....
Unajua hadhi ya Katibu Mkuu Kiongozi ama Katibu Mkuu wa CCM? Wale aliowateua kuwa Wabunge na kuwapa makaripio makali sasa hivi wanaenda kuwa kitu kimoja.bashiru hajapoteza.hata ubunge Una hela Sana.
Unajua hadhi ya Katibu Mkuu Kiongozi ama Katibu Mkuu wa CCM? Wale aliowateua kuwa Wabunge na kuwapa makaripio makali sasa hivi wanaenda kuwa kitu kimoja.
Unadhani shida pesa mkuu. Status insumbua wengi.kama pesa inaingia SHIDA NINI?
Unadhani shida pesa mkuu. Status insumbua wengi.
Panda kwa juhudi zako.Sisi wanyonge hii ndiyo furaha yetu kusikia aliye juu kashushwa kwa spid ya mpira wa gozi.
Au nasema uongo ndugu mnyonge mwandamizi?
Ajiuzulu arudi kufundisha chuo kikuuDunia duara haki tena...sasa hivi inamzunguka Dkt. Bashuru anaenda kuuma bench na msukuma na Gwajima. Acha niendelee na kazi yangu ya kuchunga mbuzi tu.
Kumbeee mdomo huumbaHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu...
Hivi ukitumbuliwa ndo kila kitu kinakatika hapohapo? si alitakiwa akabidhi ofisi kwanza ina maana hata gari alitakiwa aendelee kulitumia mpaka atakapokabidhi ofisi,gari ikiwa ni sehemu ya ofisi? Au protokali zinasemaje?
Leo ni ijumaa kuu ... Kafara kubwa lilifanyika siku kama ya leo saa tisa alasiri zaidi ya miaka 2000 iliyopita... Sasa mimi ni nani hata niyapinge?We mzee kila kitu makafara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app