Dkt. Ayub Rioba kwishaaa, leo hajai hata kwenye kiganja

Hivi tuacheni unafki ukiwa appointed position Ile Hata kama ni ww utafanya nn zaidi ya kuskiliza maelezo ya waziri na Kula posho zako
Tido alikuwapo uzalendo aliuweka mbele kuliko pesa.
 
Kuna mwingine naye anaitwa Polepole ati anatuaminisha kuna ccm mpya, hii nchi haiishi vituko na vichekesho, sijui hawa wapiga dili ni kina nani?

Hakuna tena cha kelele za katiba mpya wala serikali tatu, shenzi type njaa siyo mchezo.
Ahaahaaa.Kweli ni polepole.Kijana/Mzee...
 
Ayubu Ryoba kipaji chake kimezikwa akiwa hai , ni masikitiko makubwa sana !
 
Naona kama vile muda sio mrefu atarudi kushika chaki.
Afadhali arudi Darasani. Pengine atafikia kule anakolenga: Ngazi ya Uprofesa. Kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwanataaluma akitoka katika huduma ya kufundisha, UPANDAJI wa MADARAJA unasitishwa. (Ndio Maana Profesa Mshiriki, Dakitari Joyce Ndalichako ilibidi "arudi darasani" kufundisha (baada ya kutoka NECTA), ndipo akaifikia ngazi aliyopo sasa. Akihitaji kumalizia NGAZI, inabidi atoke "Ofisini" na kurudi tena Darasani...Kwa Dakitari Asha Migiro......(naona kaamua kuishia njiani)..
 
Watu wamekuwa watetezi wa matumbo yao mkuu, usiumize kichwa!
 
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako,kabla ya kuona kibanzi kwa mwenzio,!
Kuna watu walimwita lowassa fisadi lissu,mnyika,msigwa lema lakini leo wapo nae kamati kuu na wameufyata


Vipi kama aliwathibitishia kuwa yeye sio fisadi?
 
Vipi kama aliwathibitishia kuwa yeye sio fisadi?
Labda kama kawapa pesa.Mnyika aliapa hadharani ana ushahidi wote,kanywea kabisa.
Kama aliwathibitishia kuwa yeye sio fisadi,waje kwa wananche waseme kuwa walikuwa wanamchafua bure tu lowassa na waombe radhi hadharani
 
ata wewe tukikuteua C.A.G,huu upupu unaouposti humu utakwisha!
 

Zamani kabla watu hawajaustukia huo upuuzi wenu mlikuwa mkiwa provoke watu walikuwa wanaacha mada husika wanajadili huo upuuzi wenu. Baada ya watu kuwastukia wanawapotezea na kubaki njia kuu. Ndio kama hivi watu wako na Rioba tu wamekuacha umesimama na hilo tope lako hapo nyuma.
 
Kuna mwingine naye anaitwa Polepole ati anatuaminisha kuna ccm mpya, hii nchi haiishi vituko na vichekesho, sijui hawa wapiga dili ni kina nani?

Hakuna tena cha kelele za katiba mpya wala serikali tatu, shenzi type njaa siyo mchezo.
Ni njaa gani hiyooo.!???.... Huyu Polepole labda ila syo Ryoba..
 
Labda aanze kujiloga yeye kwanza
 
Aliteuliwa mkuu wa wilaya Musoma, Ubungo alikuja uhamisho, kufanya kazi na mkuu wa mkoa ilikuwa shida kidogo kama ulifuatilia tweet zake, alipo sasa ninadhani atapata ahueni ya maisha.
 
Ukitaa post kama hizo hata wenyewe watajiuliza ni kwanini, mwisho wana kuulimboka.
 


Nacho kiona hapo Kwa mleta Uzi ni wivu na kuamini unacho waza wewe lazma kiwe sahihi.

Fikiri sahihi
 
Natumai Rioba bado ni Mhadhiri. Hivyo bado anahitajika awe Mhadhiri mwandamizi, Profesa mshiriki ndipo awe Profesa kamili.
 

Kujitoa mhanga kama akina Lawrence Mafuru na Dkt. Mwele Malecela inataka moyo na inahitaji ujasiri uliotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…