Dk. Willibroad Slaa amemtembelea nyumbani kwake Sheikh Abubakar Zuberi

love you chadema,hakika chini ya utendaji wa Dr.Slaa chadema imekuwa imara kuliko wakati wowote ule.
 
nimatumaini yetu utaibadilisha bakwata kuwa na taasisi ya kuwatumikia waislam

ili tumtambue kuwa ni mufti mtenda haki.. kwanza aitenganishe BAKWATA na CCM kwa kuitoa kwenye jumuiya katika jumuiya za chama CCM. Na badala yake kiwe ni chombo cha waislam watanzania. na uwatendee haki waislam inayostahiki na apiganie tuweze kupata KADHI wetu. ili tuweze kutekeleza yale yanayotuhusu waislam ikiwemo MAHKAMA YA KAADH.
 
Uchaguzi huo mwaka huu tutaona Mengi tuu, Leo slaa
amekuwa MWEMA kwa waislam?

Mkuu mkigoma

Usidanganyike mkuu. Unataka tuweke rekodi safi ya Dk. Slaa hapa namna ambavyo ametumikia Watanzania wa dini zote lakini akafanya kazi straight chini ya viongozi wa kiroho wa dini ya kiislam, tena kwa mafanikio katika programu ambazo zilikuwa zinatambulika na jamii na hadi leo zina matunda yanayoonekana.
 
Last edited by a moderator:
Mufti mkuu ndio nini?
CDM kweli hawajui kuwa hakuna Mufti mkuu na wala hakuna Mufti wa Waislamu?
Hiki chama viongozi wake wakoje?
Mufti wa BAKWATA.

Haa Kumbe Waislam Nao Wamegawanyika!Ebu Nielewesheni Na Hawa Wa Bakwata Mtume Wao Ninani?
 
Ila kiukweki Dr.W.Slaa ni kiongozi wa kipekee sana. Mungu aendelee kumjaalia hizi busara na hekima na unyenyekevu mkubwa zaidi ya huu.

Naungana na Dr.W.Slaa kumpongeza kaimu mufti mkuu shekhe zuberi kwa imani na heshima alopewa na wenzake na hasa Mungu ili awaongoze waislamu katika kipindi hiki cha mpito
Halafu ili Mungu aendelee kumjaalia arudishe mke wa mtu arudiane na mkewe.
 
Hongera Mufti pia Hongera sana Dr Slaa kwa kutambua wajibu wako kama kiongozi na rais ujao ktk mashirikiano ya taasisi za kisiasa na za kidini!
waislamu wa nchi hii hata kama mnawadharau kiasi gani lakini wao sio wajinga kwa kiasi mnachodhani. kamwe hahawezi kushawishika na hizi approach za kitoto.
wanajua kuwa chadema ni cha wagalatia wachukiao uislamju
 
Mkuu Padre anajaribu kushawishi kuongeza waumini waliokimbilia sehemu nyingine!
 
Mkuu mkigoma

Usidanganyike mkuu. Unataka tuweke rekodi safi ya Dk. Slaa hapa namna ambavyo ametumikia Watanzania wa dini zote lakini akafanya kazi straight chini ya viongozi wa kiroho wa dini ya kiislam, tena kwa mafanikio katika programu ambazo zilikuwa zinatambulika na jamii na hadi leo zina matunda yanayoonekana.

Huwezi kuweka rekodi safi hata siku moja kwa kuficha ukweli,Dr.Slaa bado ni Padre wa Kanisa katoliki na amesomeshwa kwa fedha za waumini wa Roman Catholic, hivyo yeye kama kiongozi wa dini kumtembelea kiongozi wa dini ya kiislam sio jambo jipya ni jambo la kawaida tu ili kuimarisha ushirikiano kati ya Kanisa na Waislam.
 
Sidhani kama ID yako inaendana na ulicho andika
Haya ni mafundisho ya Ukristo, ukifunga ndoa hakuna kuachana na ukiachana ukapata mwingine utakuwa unazini. Wakati Slaa ni padri alifundisha sana haya maneno na sasa kageuka. Hafai kuwa kiongozi.
 
Back
Top Bottom