Dk. Willibroad Slaa amemtembelea nyumbani kwake Sheikh Abubakar Zuberi

Dk. Willibroad Slaa amemtembelea nyumbani kwake Sheikh Abubakar Zuberi

Buku 7 bana,yani mnabubujikwa na povu kisa rais wangu kaenda kumtembelea Naibu Mufti
 
Hongereni waislamu kupata mufti mpya...
Bravo Dr. Slaa kuwakilisha wananchi...
 
Dk. Slaa in a jovial mood with Sheikh Abubakari Zuberi bin Ali listening to CHADEMA Vice Chairman (mainland) Prof. Abdalla Jumbe Safari...

attachment.php
Hahahaaa! Eti huyu naye anataka urais! Na kuna watu humu wanamwita rais, kweli Tanzania ni nchi ya maajabu..
 

Katibu Mkuu Dk. Slaa alipokutana na Sheikh Zuberi. Hii ilikuwa ni mwaka jana wakati Katibu Mkuu akitoka kutoa kutoa pole Msikiti wa Mtambani ulioungua moto. Katikati yao ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanganyika, Prof. Abdalla Jumbe Safari.


attachment.php





hii nchi mtakuja kufa kwa kudanganywa jambo dogo tu,ndo wanavyowatumia wanasiasa hvohvo mnakubal,Dk. Slaa almtembelea sheikh Zuberi mwaka jana na si leo.
 
Sahihisha hiyo taarifa, si mufti wa waislam bali wa Bakwata.

Mufti mkuu ndio nini?
CDM kweli hawajui kuwa hakuna Mufti mkuu na wala hakuna Mufti wa Waislamu?
Hiki chama viongozi wake wakoje?
Mufti wa BAKWATA.
 
Je mh ,.mchungaji,jaji,mjeda,mgombea urais kupitia chama chetu cha zaman inakuwaje?
 
nadhani sasa akili inakujia kuwa Tanzania inahitaji sana wacha Mungu kama Dr Slaa ili taifa ili lisipoteze rasilimali zake kama twiga, na madini yetu ambayo maprofesa wa kichina wanazidi kuyatorosha tu na wakishirikiana na mafisadi wa reach monduli.
 
namwombea kwa Mungu dr.slaa atutumikie watanzania km Rais..dr.slaa ni zawad toka kwa Mungu
 
Inaonesha mwanzo mzuri sana. Pongezi za dhati kwa Dk. Slaa
 
Back
Top Bottom