Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,984
- 30,179
Mwaka wa uchaguzi huu...
Kwa hiyo?
Mwaka wa uchaguzi huu...
Mwaka wa uchaguzi huu...
Katibu Mkuu Dk. Slaa alipokutana na Sheikh Zuberi. Hii ilikuwa ni mwaka jana wakati Katibu Mkuu akitoka kutoa kutoa pole Msikiti wa Mtambani ulioungua moto. Katikati yao ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanganyika, Prof. Abdalla Jumbe Safari.
![]()
Ndio wakati wa wanasiasa kujipendekeza kwa makundi mbalimbali ya wananchi, mfano, Mzee Slaa anavyojipendekeza kwa waislamu.Kwa hiyo?
Ndio uwalisia sio siasaHapa makene nimekukubali,kweli umeanza kuiva kipropaganda.yani jamaa kutangazwa leo,umeamua kuturudisha nyuma kuonyesha namna dk alivyowahi kukutana nae.siasa bwana kazi kweli.
Ndio wakati wa wanasiasa kujipendekeza kwa makundi mbalimbali ya wananchi, mfano, Mzee Slaa anavyojipendekeza kwa waislamu.
Hata kutembea na Vibuyu na Fisi ni Mwaka wa Uchaguzi huuAnatafuta kura za waislam huyoooo hamna lolote mwaka wa uchaguzi tutaona Mengi mwaka huu
Wewe mwehu Emma hiyo picha umeshaambiwa ya zamani wewe unaonekana class ulikimbia wewekusoma hujui hata picha hujaona?
Mchumia tumbo huyo hana lolote mwizi wa ruzuku anatafuta kura kwa waislamu hana jioya mkataeni huyo, kwanza mwizi wa wake za watu
Mbugila mbugila tuNakushangaa sana topic umetoa mwenyewe yaani umeshindwa hata kuielezea unayumbayumba sana!Jamani tuwapongeze hawa viongozi wetu wa kiroho kwa kukutana na kufanya dua kwa taifa letu!
Hivi bado yupo huyo Kinjekitile junior, mimi nimemweka kwenye ignore list kitambo hivyo utumbo wake hata siuoni. Hiyo ndiyo dawa yake, weka kwenye ignore list. Kwa bahati nimedokezwa mods wameunganisha IDs zake zote! Ukimweka kwenye karantini umeliweka hilo genge zima na wanakuwa hawana ruhsa hata ya kukujibu. Namuona tu mnapom"quote".mkuu huyu chizi Kinjekitile unamjua
Anajulikana wapi zaidi ya karatu?Dr slaa ni mwanasiasa wa kimataifa na ni mtu makini aliyejaa busara .
Slaa ni kiongozi wa watu,mungu amlinde