Dk. Willibroad Slaa amemtembelea nyumbani kwake Sheikh Abubakar Zuberi

uungwana alionao DR SLAA haupimiki ! tunakushukuru sana Mh katibu mkuu .
 
Ila kiukweki Dr.W.Slaa ni kiongozi wa kipekee sana. Mungu aendelee kumjaalia hizi busara na hekima na unyenyekevu mkubwa zaidi ya huu.

Naungana na Dr.W.Slaa kumpongeza kaimu mufti mkuu shekhe zuberi kwa imani na heshima alopewa na wenzake na hasa Mungu ili awaongoze waislamu katika kipindi hiki cha mpito
 
Last edited by a moderator:
wewe umekaa kishabiki zaidi ukisoma comment zako kuanzia page ya kwanza mpaka umefika page ya 4 hakuna cha maana umeandika zaidi ya pumba .kwani ni lazima ucomment kila thread humu JF.
Buku 7 @work, asipo-comment atakosa hizi 7,000/-
 
Ila kiukweki Dr.W.Slaa ni kiongozi wa kipekee sana. Mungu aendelee kumjaalia hizi busara na hekima na unyenyekevu mkubwa zaidi ya huu.

Naungana na Dr.W.Slaa kumpongeza kaimu mufti mkuu shekhe zuberi kwa imani na heshima alopewa na wenzake na hasa Mungu ili awaongoze waislamu katika kipindi hiki cha mpito
 
Last edited by a moderator:
Ila kiukweki Dr.W.Slaa ni kiongozi wa kipekee sana. Mungu aendelee kumjaalia hizi busara na hekima na unyenyekevu mkubwa zaidi ya huu.

Naungana na Dr.W.Slaa kumpongeza kaimu mufti mkuu shekhe zuberi kwa imani na heshima alopewa na wenzake na hasa Mungu ili awaongoze waislamu katika kipindi hiki cha mpito
Aaaameeen
 
Last edited by a moderator:
Hivi Slaa bado ana mpango wa kugombea urais!!
Amechoka sana.
 
Safi sana Dr Slaa.Bakwata kilikuwa kichaka cha ccm sasa kuwadi waoo kaingi msituni.Huyu mpya bora ashauriwe mapema asituuze kwa mafisadi
 
Tumeanza Na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
 
Ila kiukweki Dr.W.Slaa ni kiongozi wa kipekee sana. Mungu aendelee kumjaalia hizi busara na hekima na unyenyekevu mkubwa zaidi ya huu.

Naungana na Dr.W.Slaa kumpongeza kaimu mufti mkuu shekhe zuberi kwa imani na heshima alopewa na wenzake na hasa Mungu ili awaongoze waislamu katika kipindi hiki cha mpito
umeandika maneno mafupi lakini yenye busara za hali ya juu mno ! Mungu akubariki sana .
 
Last edited by a moderator:
Huu mwaka waislamu na wakristo wameungana kutaka mabadiliko
Ccm hawana dini sijuwi atawachagua nani
 
Back
Top Bottom