mndwadage
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 344
- 67
kwako wewe sehem ambayo hujawai kufika ni mafichoni.?ni kule ambako wewe hujafika, mbona jibu lake rahisi tu.

Hakuna kitu hapo,Mwakyembe alisema hivyo hivyo baada ya kulishwa sumu,Lowassa nae alisema pia.Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...
Watu chupi zimelegea safari hii. Ndio maana nilisema kama kova Amefunga Ramadhan basi funga yake ni sifuri kwa Mwenyezi Mungu.

Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Kitu kilichotokea Dr.Ullimboka maadui zake sasa hivi wako kwenye mazungumzo nae ndio maana analeta siasa hataki kueleza kilichomtokea usishangae asieleze kabisa au akaeleza story tofauti na ile ya mwanahalisi.Manake maadui zake wanaweza kumweleza bwana samehe yale yalikuwa ni matatizo ya kiufundi wakampa shavu akatulia zake kimya.Ndio maana ameanza kuleta porojo.
Manake hili neno:Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi... limepigwa kiufundi sio ajabu ameambiwa aliseme ili kunarrow ushaidi.