engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Sasa mbona Mwanahalisi imetoa mpaka picha za watu na kusema hawa ndio waliomteka Dr Ulimboka.
mwanahalisi imetumia namba za simu zilizotumika dakika za mwishoni kabla ya kutekwa kwa Dr ULI
na baada ya kupata namba hizo wakaenda ktk mitandao ya simu na kutambuwa nani wamiliki wa namba hizo za simu na baada ya kupata wamiliki hao wakaenda ktk daftari la wapiga kura ili kupata information za hao wanao fikiriwa kufanya utesaji huo na mwisho wa siku mwanahalisi likaja na hitimisho,kwa upande wangu nawapongeza waandishi kwani angarau wamejaribu kuonyesha njia,kuliko sisi tuliobaki tukipiga domo tu humu