Dk. Tizeba, utaweza kufanya kazi na Magufuli aliyekufukuza pale Mwanza City Council!?

Muda muda mwingi wa kuongea uongo uongo kuliko vitu vya msingi! Tizeba aliyekumbwa na hiyo kashfa siyo huyu naibu waziri,ni mdogo mtu ambaye kwa sasa ni diwan huko kwao buchosa,sengerema.punguzeni udaku basi,tutawachoka.

ungejua kwamba aliyeanzisha mjadala huu anawajua personally, Dk Tizema na nduguye huyo, ungenyamaza maana hujui unachokisema...
 
namjua sana hyo tzeba na mwenzake,kwanza yule aliyehamia CDM hawaelewan kabisa na Tizeba mbunge coz tizeba anajifanya kidume katika ukoo wao wakat hyu aliyekuwa diwan ndo mkubwa.wananchi wa buchosa hawamtaki kabisa mbunge huyu akipita vijiji vya jimboni anafunga vioo.wanampenda ERIC SHIGONGO lakini wamesema akija kwa gia ya magamba watapiga chini.tusubiri tuone
 
Dr.Tizeba ni presidential appointee na Magufuli pia, kipindi kile alikurupuka mbona usemi kama seriakli ililipa mabilioni kwa huyo muhindi ambayo mwisho wa siku aliyatumia kununua kura kule kwimba na sasa ni mh. mbunge?? hii nchi bana kwa ufupi mkombozi ni katiba mpya tu, na sio miujiza mingine yoyote.
 
Dr.Tizeba ni presidential appointee na Magufuli pia, kipindi kile alikurupuka mbona usemi kama seriakli ililipa mabilioni kwa huyo muhindi ambayo mwisho wa siku aliyatumia kununua kura kule kwimba na sasa ni mh. mbunge?? hii nchi bana kwa ufupi mkombozi ni katiba mpya tu, na sio miujiza mingine yoyote.
 
ungejua kwamba aliyeanzisha mjadala huu anawajua personally, Dk Tizema na nduguye huyo, ungenyamaza maana hujui unachokisema...

siyo tizema,ni tizeba.wewe ni kenge maji,hv unafikiri mi siwajui?huyu aliyeteuliwa kuwa naibu waziri alikuwa mkuu wa wilaya ya sikonge,tabora, kabla ya kuwa mbunge.JF itakuwa haina maana tena endapo tutaendekeza usenge usenge.unabishabisha nini.mijitu kama nyie huku kwetu mara ni kuikomesha tu,ovyoo!!!
 
Wewe ni wa kuhurumiwa sana kwani hata hujielewi sembuse kuelewa kinachotokea kwa wengine?
Endelea kuchapa usingizui tu siku ukiamka utauliza majirani watakusaidia.

wewe ungekuwa kwetu huku mara zawadi yako ungeipata mapema tu,haiwezekan ubishie ukweli.Tizeba aliyechaguliwa kuwa naibu waziri kabla ya hapo alikuwa mkuu wa wilaya ya sikonge,tabora na siyo yule aliyekumbwa na kashfa.Acha ujinga,muraa.
 
Theo,

..mahakama ilimkuta Magufuli na makosa kwa kuvunja kituo cha mafuta mwanza.

..serikali iliamriwa na mahakama imlipe mmiliki wa kituo cha mafuta kiasi cha sh bilion 14 hivi.

kumbe! ndiyo maana rafiki yangu Manssor baada ya hapo mambo yalimnyookea hadi ubunge na sasa mwenyekiti wa tenda bodi ya kuagiza mafuta kwa pamoja... Tanzania ni zaidi ya unavyoijua

Kufukuzwa kwa Dr.Tizeba ni one case na serikali kushindwa kesi Vs mwenye kituo cha mafuta ni jambo jingine...........

hata Mh. Lema alikutwa na hatia na mahakama na kuvuliwa ubunge wa Arusha mjini Makongoro Mahanga hakuwa na hatia pamoja na ushahidi uliokuwepo.

Go figure . . .

Asante sana Mkuu Kongosho.........kama ulivyoshuhudia kwenye kesi ile ilivyoenda.....na sasa Dr Tizeba ndio huyo kapewa Unaibu...........wakakt mwingine nasema SIASA ZINACHEFUA SANA........Pamoja na mambo mengine....hapa ndipo NINAPOKUBALIANA na Dr. Hassy Kitine.........hizi vetting zinafanyika kweli?........

......Hata hivyo....Dr. Tizeba awe Muangalifu sana....inabidi afnaye kazi kufuta madoa yake..ashukuru kuna mtu kamsimamia......kwani Mwakyembe is another "Magufuli" aliye makini zaidi.....akileta za kuleta......mbele ya Mwakyembe hataweza ku-survive....trust me...........
 
Kwa wanaokumbuka kisa cha kuvunjwa kwa kitua cha mafuta huko Mwanza, katika eneo lililodaiwa kuwa la hifadhi ya barabara, hawatakuwa wamesahau kwamba Dk Tizeba alikuw miongoni mwa wakuu wa idara waliofukuzwa kwa amri ya Magufuri kwa madai ya uzembe wa kuruhusu kitua hicho kujengwa barabarani

sasa ni uso na pua, sijui wataangalianaje kwenye vikao vitakavyowakutanisha! au ndiyo kusema kwamba anayosimamia Magufuri aanayasimamia yeye peke yake ndani ya serikali ya Kikwete ndyo maana haya yanatokea! au Mhe Rais umesahau mara hii?

Tuombe Mugu, ndugu yetu Eng. Dk Tizeba iwe alisingiziwa, na hata kama hakusingiziwa, hilo la kufukuzwa na Magufuri kwa tuhuma za kuhogwa na mhindi wa kituo cha mafuta, liwe lilikuwa funzo kwake na hivyo kuamua kufanya kazi kwa uadilifu, katika unaibu waziri wa uchukuzi ambapo tunaambiwa watangulizi wake, walilambishwa asari
kAMA HII NI KWELI INAONYESHA YA KUA NI JINSI GANI MH. RAIS JK NA WASHAURI WAKE WASIVYO MAKAINI.IKUBUKWE YA KWAMBA KUNAWAKATI ALIWAHI KUSEMA YA KUA UTAKUTA KATIKA WIZARA WAZIRI NA NAIBU WAKE AU KATIBU WAKE HAWAZUNGUMZI WALA KUSALIMIANA.UNATEGEMEA UTENDAJI GANI CHANYA KWA VIONGOZI HAO MBALI NA MAJUNGU?
 
Nimeanza kuwa na wasiwasi na hii Tanzania, inawezekana jeshi la polisi na mahakama ni mali ya mtu mmoja.
 
JK ni mtu wa ajabu sana............. siamini kwamba hayo yote alikua hayajui

Anyway, labda watafanya kazi pamoja vizuri

Mkuu Janjaweed,hapa wa kulaumu ni zaidi ya rais mwenyewe. Lawama kubwa ziende kwa washauri wake,haswa watu wa TISS,ambao jukumu lao kubwa ni kuchunguza viongozi wa umma.

Lakini kwa upande mwingine,pengine unaweza kuwa sahihi kumlaumu rais,endapo tu kama TISS walifanya kazi yao,ila rais hakuweza kuzingatia ushauri. Na hii yaweza kuwa sahihi kabisa,tukizingatia jinsi rais hasivyopenda kusikiliza ushauri wa washauri wake.
 
Last edited by a moderator:
siyo tizema,ni tizeba.wewe ni kenge maji,hv unafikiri mi siwajui?huyu aliyeteuliwa kuwa naibu waziri alikuwa mkuu wa wilaya ya sikonge,tabora, kabla ya kuwa mbunge.JF itakuwa haina maana tena endapo tutaendekeza usenge usenge.unabishabisha nini.mijitu kama nyie huku kwetu mara ni kuikomesha tu,ovyoo!!!

Ndugu yangu Nzenga Kaya, punguza jazba. kuna watu humu wapo ktk harakati za kusababishia wenzao Ban.
Mods wanaweza kukupitia. msamehe bure
 
Tulokuwa Mwanza enzi hizo tunajua kuwa huyu Tizeba ni corrupt na alilambishwa kitu kikubwa na Mansoor ili apewe hati ya eneo hilo la mtaa wa misheni. Iliamriwa na mahakama Mansoor alipwe kwa kuwa tayari Mansoor alishapewa hati ya hilo eneo. Tena huyu huyu Mansoor mhindi na watu wa City walimpatia eneo lilokuwa limejengwa soko kwa ajili ya watu wa Ilemela, Pansiasi, iloganzala, kiseke na Lumala kujenga kituo cha mafuta. CCM kumejaa maizi tupu.

Tatizo lako ndugu haujui kumtambua adui.Chanzo ni mheshimawa Pinda Mizengo ambaye alipata pesa ya chai ambapo Mansoor anasema siyo rushwa. Na mpaka akawa anafanyiwa mpango wa kuchukua uwanja wa nyamagana ajenge hotel na ndipo dili likagoma then akapewa soko la samaki so ramani za viwanja zinaweza badilishwa kutokana na uhitaji wa mafisadi.
 
Nzenga Kaya unaonekana kumfahamu Dr. Tizeba, na una hasira sana wakimsema vibaya. Kuna maelezo ya kutosha kabisa hata kabla ya uchaguzi mkuu 2010, kuwa mkuu wa Wilaya ya Sikonge ndiye aliyetimuliwa na Magufuli. Kwa hiyo kile unachotaka kifahamike kuwa aliyetimuliwa ni Diwani sikubaliani nacho labda kwa ushahidi, alikuwa anaposition ipi hapo Mwanza City.
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1670.jpg
First Name: Dr. Charles
Middle Name:John
Last Name:Tizeba
Member Type:Constituency Member
Constituent:Buchosa
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 11689, Mwanza
Office Phone: +255 682 723 839/+255 766 603 141
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: ctizeba@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1961
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Izindabo Primary SchoolPrimary Education19701976PRIMARY
Mazengo Secondary SchoolO-Level Education19771980SECONDARY
Dar es Salaam Technical CollegeBSc.(Civil Engineering)19811984GRADUATE
Tambaza High SchoolA-Level Education19811983HIGH SCHOOL
Kalinin Polytechnic InstituteMSc.(Civil Engineering)19851991MASTERS DEGREE
Tver State Technical UniversityPhD (Technical Science)19921995PHD
Kishinev State UniversityRussian Language Course19851986CERTIFICATE
Lund Univeristy, SwedenInternational Construction Management19991999DIPLOMA
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Buchosa Constituency20102015
Tabora Municipal CouncilMunicipal Engineer20062006
Prime Ministers' OfficeSikonge District Commissioner20062010
Mwanza City CouncilCity Engineer19972006
Dar Es Salaam City CouncilCity Building Engineer19951997
Tver State University, RussiaTutorial Assistant19911993
Mwanza Municipal CouncilTechnician (Civil Engineer)19851991
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Tabora Regional Council20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Parents Association Board20032010
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Youth National Union20032010
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson - CCM Youth Dar Tech. College19831984
PUBLICATIONS
DescriptionDate
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1993
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1994
Dr. C. Tizeba: Stockholm Journal, Stockholm Techniska Hogskoln1995
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1993
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1994
Dr. C. Tizeba: Stockholm Journal, Stockholm Techniska Hogskoln1995
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1993
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1994
Dr. C. Tizeba: Stockholm Journal, Stockholm Techniska Hogskoln1995
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1993
Dr. C. Tizeba: Russian Science Journal, Tver State University1994
Dr. C. Tizeba: Stockholm Journal, Stockholm Techniska Hogskoln1995






CV ya Tizeba hii hapo ondoeni ubishi usio na tija.
 
siyo tizema,ni tizeba.wewe ni kenge maji,hv unafikiari mi siwajui?huyu aliyeteuliwa kuwa naibu waziri alikuwa mkuu wa wilaya ya sikonge,tabora, kabla ya kuwa mbunge.JF itakuwa haina maana tena endapo tutaendekeza usenge usenge.unabishabisha nini.mijitu kama nyie huku kwetu mara ni kuikomesha tu,ovyoo!!!

Fikiria Kabla ya kuandika hapa JF, huyo Tizeba alikuwa jiji mza kabla ya kuwa dc wa sikonge. kama huna data uliza utapata mkuu. usitoke jasho kwa jambo ambalo pengine hulifahamu vizuri, uliza na anayejua anakupa data ndio JF tuitakayo.
 
Back
Top Bottom