Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,284
- 10,665
Fisadi Tizeba anafanya kazi na Magufuli nowManaibu mawaziri hawaingi kwenye vikao vya Cabinet, hivyo kamwe magufuli hawezi fanya kazi na fisadi Tizeba!
Fisadi Tizeba anafanya kazi na Magufuli nowManaibu mawaziri hawaingi kwenye vikao vya Cabinet, hivyo kamwe magufuli hawezi fanya kazi na fisadi Tizeba!
Enheee, akaisababishia serikali hasara gani..?hata Mh. Lema alikutwa na hatia na mahakama na kuvuliwa ubunge wa Arusha mjini Makongoro Mahanga hakuwa na hatia pamoja na ushahidi uliokuwepo.
Go figure . . .
Noma sanaKwa hiyo Magufuli aliisababidhia serikali hasara ya Bil 14 kwa maamuzi ya kibabe na bado ni shujaa?
Mkuu, Historia ni mwalimu mzuri sana.Kwa hiyo Magufuli aliisababidhia serikali hasara ya Bil 14 kwa maamuzi ya kibabe na bado ni shujaa?
Tulokuwa Mwanza enzi hizo tunajua kuwa huyu Tizeba ni corrupt na alilambishwa kitu kikubwa na Mansoor ili apewe hati ya eneo hilo la mtaa wa misheni. Iliamriwa na mahakama Mansoor alipwe kwa kuwa tayari Mansoor alishapewa hati ya hilo eneo. Tena huyu huyu Mansoor mhindi na watu wa City walimpatia eneo lilokuwa limejengwa soko kwa ajili ya watu wa Ilemela, Pansiasi, iloganzala, kiseke na Lumala kujenga kituo cha mafuta. CCM kumejaa maizi tupu.
Usiyempenda kajaHuyu Tizeba Ndio alikuwa DC Sikonge Mida fulani!! Duh, Basi Hakuna Kitu!! ni Fisadi Full
Kwa wanaokumbuka kisa cha kuvunjwa kwa kituo cha mafuta huko Mwanza, katika eneo lililodaiwa kuwa la hifadhi ya barabara, hawatakuwa wamesahau kwamba Dk Tizeba alikuwa miongoni mwa wakuu wa idara waliofukuzwa kwa amri ya Magufuli kwa madai ya uzembe wa kuruhusu kitua hicho kujengwa barabarani
Sasa ni uso na pua, sijui wataangalianaje kwenye vikao vitakavyowakutanisha! au ndiyo kusema kwamba anayosimamia Magufuli aanayasimamia yeye peke yake ndani ya serikali ya Kikwete ndyo maana haya yanatokea! au Mhe Rais umesahau mara hii?
Tuombe Mugu, ndugu yetu Eng. Dk Tizeba iwe alisingiziwa, na hata kama hakusingiziwa, hilo la kufukuzwa na Magufuli kwa tuhuma za kuhogwa na mhindi wa kituo cha mafuta, liwe lilikuwa funzo kwake na hivyo kuamua kufanya kazi kwa uadilifu, katika unaibu waziri wa uchukuzi ambapo tunaambiwa watangulizi wake, walilambishwa asali
Dkt. Tizeba aliwahi kuwa naibu wa wizara ya uchukuzi kwenye serikali ya Kikwete. Walikuwa wakizipiga kweli, Kama sikosei kipindi hicho waziri wa Uchukuzi alikuwa Omari Nundu. Baadaye akaja Mwakyembe. Nadhini ndicho mkuuNaibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,
Au ulimaanisha kufanya nae kazi katika baraza as a whole?
Wewe huwafahamu vzr hawa akina TIZEBA. Huyo aliyepata hzo tuhuma zote zinazosemwa ni CHARLES TIZEBA ambaye ni mbunge wa BUCHOSA na pia aliwahi kuwa mkuu wa WILAYA SIKONGE. Kaka yake na huyu bwana anaitwa ADRIAN TIZEBA ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa MWANZA.Muda muda mwingi wa kuongea uongo uongo kuliko vitu vya msingi! Tizeba aliyekumbwa na hiyo kashfa siyo huyu naibu waziri,ni mdogo mtu ambaye kwa sasa ni diwan huko kwao buchosa,sengerema.punguzeni udaku basi,tutawachoka.
Magufuli haishii kuwaita mafisadi peke yake, anachukuwa hadi hatua. Na wewe pia usiishie kulalamika, chukua hatua dhidi ya magufuli.Magufuli ameshiriki sana kwa kufisadi nchi hii kwa nguvu sana aisee yaani huwezi amini kumbe alisababisha serikali ilipe samaki barabara kote amesababisha hasara harafu anaita wenzake mafisadi wakati yumo kwenye orodha ya mafisadi
Kumbe tabia hii ya kutofata sheria imeanza siku nyingi hata JK aliiona? Hii post yako ni ya 2012 lakini Leo inaonekana kama uneandika jana tuuTheo,
..pamoja na kuvunja sheria, mahakama ilieleza kwamba Magufuli pia alidharau ushauri wa wataalamu na wanasheria na kuendelea na ubabe/uhuni wake kuvunja kituo cha mafuta.
..nadhani hukumu hiyo ndiyo iliyosababisha JK amteua Mwakyembe[mtaalamu wa sheria] kuwa naibu wa Magufuli pale wizara ya ujenzi.
..nakumbuka jaji Mwesiumo naye aliteuliwa kuwa Naibu waziri mambo ya ndani kumsaidia Mrema aliyekuwa hafuati taratibu wala sheria sawa na Dr.Magufuli.