Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT-Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.

Karibuni Wadau
 
Kama lowasa na sumaye wanavyofanana sifa zao
Lowassa na Sumaye wana sifa zinazofanana na zile zile za watanzania wapenda mabadiliko, wanaoichukia CCM na kazi zake zote za kishetani! Huwezi kuwafananisha na hao Zitto na Dr.W.Slaa ambao wamejipambanua kama wapinga mabadiliko na Tanzania yote inawafahamu kama vibaraka wa CCM.
 
Last edited by a moderator:

Katika siku zote leo brother MUSSA ALLAN ndio umezungumza point,watanzania sasa wamechoshwa na ccm,wanataka mabadiliko haijalishi nani anagombea kupitia ukawa,hata kama ni bata na magufuli wanagombea urais.watanzania wa sasa watampa bata
 
Last edited by a moderator:
Kweli siasa mchezo mchafu huyo dr slaa si alisema ameachana na siasa kweli anatamaa kama mzee fisi,vp dr zimeisha zile kwa ushauri wangu ni bora ungendelea kukaa kimya maana saa hv ndo ukuja kujizalilisha kukaa jukwaa moja na mtu uliyemtuhumu ni msaliti na kumfukuzwa uwanachama tena ukiwa kama boss wake leo yeye huko alipo ni boss so ushauri wangu dr kaa kimya.
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndg.Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.

Karibuni Wadau

Hapatakuwa na jipya, wote hao ni mawakala wa shetani! Ma Yuda Iskariot!!
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndg.Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.

Karibuni Wadau

Ni watu huru waache waendelee wakiishapata mwongozo wa Mamaa
 
Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa wapinzani.

Hongera sana CCM kwa kuwapata wasasiasa hawa mahiri na wabinafsi.

Unawezaje kuzuia treni liendalo kasi likiwa katika spidi ya mwisho?Wananchi wanamabadiliko wameamua,hakuna wa kuwazuia!
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndg.Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.

Karibuni Wadau

Ipo sawa, wapige kazi itakuwa ok sana.
 
Back
Top Bottom