Dr slaa hawezi akapanda jukwaa moja na mtu ambaye aliyemuita msaliti.
Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa wapinzani.
Hongera sana CCM kwa kuwapata wasasiasa hawa mahiri na wabinafsi.
katika siku zote leo brother mussa allan ndio umezungumza point,watanzania sasa wamechoshwa na ccm,wanataka mabadiliko haijalishi nani anagombea kupitia ukawa,hata kama ni bata na magufuli wanagombea urais.watanzania wa sasa watampa bata
Mbona hupambanui hayo mabadiliko? Dr.Makufuri yeye anataka kuleta mabadiliko ya kimaendeleo, UKAWA wao wanataka mabadiliko ya kubalidili chama. Ni vema kuwa wazi ili wapiga kura watambue hivyo, ss naona mnajitahidi sana kufichaficha hayo mabadiliko kama ni ajenda ya kimyakimya!
Kweli siasa mchezo mchafu huyo dr slaa si alisema ameachana na siasa kweli anatamaa kama mzee fisi,vp dr zimeisha zile kwa ushauri wangu ni bora ungendelea kukaa kimya maana saa hv ndo ukuja kujizalilisha kukaa jukwaa moja na mtu uliyemtuhumu ni msaliti na kumfukuzwa uwanachama tena ukiwa kama boss wake leo yeye huko alipo ni boss so ushauri wangu dr kaa kimya.
Dr slaa hawezi akapanda jukwaa moja na mtu ambaye aliyemuita msaliti.