Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Mnalishwa uchafu eti wasaliti,bora hao kuliko wezi na mafisadi,wasaliti niwale waliowaita wengine mafisadi,Leo haohao wanawasafisha mafisadi walewale,
 
Anazidi kujidhalilisha tu, bora angeendelea kula mihogo tu
 
Sasa Dk.Slaa Atapanda Jukwaani Kama Nani? Au Ndo Amejiunga Huko?

Hili zee nyoko sana si lilisema halitajishughulisha na siasa tena? Sasa huko linafuata nini? Wana Iringa jiandaeni kulipopoa mawe kama walivyomfanya Mtikila kule Tarime!!
 
lowasa ,sumaye kufanaya kazi kwenye jukwaa moja eti ni mashujaa ila zitto na dr.slaa kufanya kazi kwenye jukwaa moja ni wasaliti,msijitoe ufaham nyinyi mazwazwa na misukule

Zwazwa wewe,slaa kasema kaacha siasa sasa atapanda kwenye majukwaa ya siasa kufanya nn,
 
Mbona hupambanui hayo mabadiliko? Dr.Makufuri yeye anataka kuleta mabadiliko ya kimaendeleo, UKAWA wao wanataka mabadiliko ya kubalidili chama. Ni vema kuwa wazi ili wapiga kura watambue hivyo, ss naona mnajitahidi sana kufichaficha hayo mabadiliko kama ni ajenda ya kimyakimya!

Watu wengi wanasema kuwa wao wanaamini katiba ya warioba ndio ilikuwa katiba yao na wanaamini italeta maendeleo na mabadiliko..hivyo watawapa kura ukawa ili wapate katiba ya warioba
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT-Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.

Karibuni Wadau

Sio ajabu kwa Ndege wanaofanana kuruka pamoja.

Via #TeamWasaliti
 
Back
Top Bottom