Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

Tumia Basi Akili Zako Mkuu. Unajidhalilisha Sana Kudhani Magufuli Ataweza Kuibadilisha Tanzania Ambayo Chama Kile Kile Sera Zile Zile, Ambazo Zimeshindwa Kufanya Kitu kwa miaka 50?

Uwezi kusafiri Kwa usafiri wa Kiforokobe. Utegemee utafika Kwa wakati. ccm Imechoka Haifai ipumzike.

Kije Chama Chenye Mtazamo Mbadala, kwa Maendeleo ya Taifa, wale wote Wanaopingana na Mabadiliko basi Watu hao wameridhika na umaskini wa nchi hii chini ya chama cha mapinduzi.

China walitumia chama kilekile kuondoa mfumo wa chama chao kwa kubadilisha kiongozi na kuwa china mpya unaiyoiona leo
 
Lengo lao ni kuhakikisha kwa uvumba na ubani watanzania hawapati mabadiliko wanayotaka na pia kuhakikisha ccm haiondoki madarakani.
 
China walitumia chama kilekile kuondoa mfumo wa chama chao kwa kubadilisha kiongozi na kuwa china mpya unaiyoiona leo

Kwa hiyo unalinganisha chama cha kikoministi cha China na ccm? Mkuu lets be serious japo kidogo. Wameshindwa nn kuleta mabaduliko miaka 54 waje wayalete ndan ya miaka mitano?

Kulinganisha mchwa usioshiba wa ccm na Chama cha Kikoministi cha China ni sawa na kulinganisha mbingu na dunia jaribu kuwa na huruma kdg.
 
Alisema amepumzika siasa, sasa anakwenda kufanya kampeni kama nani?
 
Tunamsiba kwanza wa mchungaji mtikila harafu hao hata wakiungana hawana nguvu ulishaona wapi wasariti wakaungana wakawa na nguvu?
 
Sasa huyo Zitto akiwa na Slaa watatangaza ACT au wataponda Ukawa?
 
Ngoja uchaguzi upite....muaze kuomba msaada kwa makonda kwenye daladala...mmesahau kua mna wajibu mkubwa kwel wa kuiokoa hii nchi midomoni mwa wezi...watu wanapaki twiga mchana kweupe alaf nyi mnashabikia ujinga...aiseeh
 
Mtu yeyote anaekwamisha upizani huyo ni msaliti kwa nchi ake moja kwa moja...wapizan wametusaidia mambo meng sana bungeni...leo hii taha escro msingeijua...
 
Kwa kweli mm acha niseme ukweli nasema ukweli kabisa, mwaka huu ccm imepita katika wakati mgumu sana lkn watashinda hivyo bac nafikiri watajifunza kutokana na makosa,sasa kwa upande wa Dr Slaa na Lipumba mm nawapa hongera sana,kwa maamuzi magumu, nawaomba wahamie Act CC tutawapa kura mwaka2020,kwani nyinyi mmeonyesha kweli mnataka mabadiliko ya kweli lkn hii chadema ya sasa au ukawa wao wanataka mabadiliko ya bandia sio halisi,kwa kweli nimewakubali.
 
ZZK na Dk. Slaa ni wasaliti wa MABADILIKO waliamua kuunda ushirika katika uovu...."Bakutano ba Walozi"
 
Back
Top Bottom