Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.
Fedha hizo, Dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.Fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

4.Mnamo Tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu Dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.Million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na Josephine mshumbusi.Aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa Josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

SAKATA HILI LA DENI LA DR.SLAA limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama Mh.Freeman Aikael Mbowe ambaye amemtaka Dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.Kwa hatua za awali Mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa Lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.
Ushahidi mnao wewe na nani?
Pili mbona uandishi wako ni wakujihami sana?
Tatu akikanusha au kukubali utajisikiaje na Zito wako anayekushikia akili?
 
Najuta kumfahamu huyu kiumbe anayejiita Tuntemeke, kwa yeyote anayefikiri sawa sawa lazima atakupuuza tu.
 
Ushahidi mnao wewe na nani?
Pili mbona uandishi wako ni wakujihami sana?
Tatu akikanusha au kukubali utajisikiaje na Zito wako anayekushikia akili?

zito kafika vipi hapa mkuu?mbona kila kitu watu munamuota zito,kama nawe unataka kuolewa na zitto ruksa kama mwenzako josephine kwa slaa.
 
Ebwana ehh huyu Jamaa yupo jikoni kabisa anajua kinachoendelea ndani manake hizi habari Kama wa nje huwezi pata.
 
Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.

bila shaka umezaliwa na wazazi wa jinsia moja. Usiwe mbumbu. Leta hoja huo utoto peleka facebook. Unafikri chadema ni malkia mpaka wasikosee. Usiwe kama wazee wa ccm ambao hawasikii kitu kuhusu ccm.. Au umekunywa maji ya bendera ya chadema nini?
 
kuna aina nyingi za yule myama anayelinda wanadamu kuna koko na haachi kubweka sababu kubwa ya kumfanya abweke ni njaa poleni sana
 
kuna kundi la watu ni wajinga sana,kila slaa akipakwa matope wanamsingizia Zitto. Acheni kufikiri kwa kutumia tumbo.

Ndugu yangu mleta thread naomba ulete ushahidi ndipo nitasema lolote,ingawa kuna uwezekano kukawa na chembe ya ukweli kwny hoja yako.
 
kweli kupenda kubaya,mtu unapenda hadi unakuwa kipofu?dr slaa ana mapungufu mengi sana na mara nyingi anatumika na mkewe kama remote,kwangu mimi hata nafasi ya ubalozi wa nyumba kumi simpigii kura,ktk chadema jembe ni moja tu mbowe,so nyie munaotoka mapovu kumtetea slaa nawashangaa sana,mzinzi kama yule hatoinajisi ikulu hata siku moja,2015 mgombea mbowe slaa fisadi.
 
Du kweli makovu ni vigumu kufutika! Bado una lilia tu!

Msalimie miss Genda

Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.
Fedha hizo, Dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.Fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

4.Mnamo Tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu Dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.Million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na Josephine mshumbusi.Aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa Josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

SAKATA HILI LA DENI LA DR.SLAA limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama Mh.Freeman Aikael Mbowe ambaye amemtaka Dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.Kwa hatua za awali Mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa Lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.
 
Nlisahau manchester united na barcelona fc wametoka bila ya kufungana wayne rooney alikosa penat dk ya 45. haya ndo mambo ya kujadili sio huo ujinga wa huyo tuntemenke
 
wana jf sio kwamba nawaondolea imani na dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) kiasi cha tsh.million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya nssf aliyokopeshwa maeneo ya bunju....fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.ilihali nyumba ile ya bunju na karatu zilizojengwa na dr.slaa zinamilikiwa na bi.josephine mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za nssf .

2.pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.
Fedha hizo, dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

4.mnamo tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na josephine mshumbusi.aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

sakata hili la deni la dr.slaa limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama mh.freeman aikael mbowe ambaye amemtaka dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.kwa hatua za awali mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

Nasisitiza hii leo tar.8/8/2012 wabunge wa chadema baadhi wamegoma kwenda kwenye mkutano waleo unaofanyika maeneo ya ifakara sababbu ikiwa ni hii hii ya kuibiwa fedha zao

ikumbukwe wazi kwamba fedha zote anazo daiwa dr.slaa hazikupitia utaratibu husika wa chama wa kukopesha wafanyakazi wake, ni mwavuli wa ukatibu mkuu ndio uliopelekea kuchukua maamuzi ya kuwaforce kurugenzi ya fedha kumkopesha fedha hizo.barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

naomba kama dr.slaa anakana ukweli huu aje hapa apinge,ushahidi tunao.

jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na tlp tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.

naona kama tungeanza na zile za epa kwanza
 
Wewe tuntemeke na CCM wenzio hamuwezi hata siku moja kuangusha ngome imara ya CHADEMA. Njooni na propaganda zenu za kila aina lakini bahati nzuri wapenzi na wanachama wengi wa CHADEMA wamekwenda shule hawawezi kuyumbishwa na Propaganda zenu. Kwanza napenda kukuweka wazi wewe na Magamba wenzio Siasa za kuenezwa kwa propaganda kwa kizazi hiki huwezi kumpata mtu. Siasa hizi zilitumika miaka ya 60, 70 na 80 sasa hivi watu wanasimamia kwenye ukweli si propaganda zenu uchwara. Wewe na CCM wenzako kuvuana magamba mmeshindwa. Rushwa ya Rada mnasema hakuna Rushwa ili kuwalinda wahalifu tena na kuwapa vyeo Bungeni. Sasa kwa vijana wa sasa mtaongea nini mueleweke. Kwanza nakuweka wazi sisi Dr Slaa tunaweza kumsamehe hata kama amechukua fedha za chama ukizingatia kwa matumizi muhimu ya kushughulikia Makazi ya Katibu wetu. Si hivyo tu bado tuna uwezo wa kumchangia hata Pesa za kujenga jumba la kifahari. Lakini sisi si mafisadi kama wewe na CCM wenzako. Ukiwa unakija kwenye jukwaa hili uje na mambo ya msingi Usiongelee suala la Viongozi wetu mahiri. Kama unataka kuleta story za maana ongelea mmewachukulia hatua gani Watuhumiwa wa ufisadi ndani ya Chama Chenu cha Magamba.
 
huyu bwana si yule alinyimwa cheo afu akaanza kuongea mbofu mbofuuuuu?
makene hebu mwaga cv ya huy jamaa jukwaani tumjadili
kila chama kina taratibu zake hata ccm wanakopana pia hii sio big deal.
 
sina Data so sina uhalali wa kujadili. Ila angejitambulisha kuwa source ni nini, naye n mchangiaji wa fedha hizo, ...
Hoja naona bado ipo juu juu sana.
 
Wewe tuntemeke na CCM wenzio hamuwezi hata siku moja kuangusha ngome imara ya CHADEMA. Njooni na propaganda zenu za kila aina lakini bahati nzuri wapenzi na wanachama wengi wa CHADEMA wamekwenda shule hawawezi kuyumbishwa na Propaganda zenu. Kwanza napenda kukuweka wazi wewe na Magamba wenzio Siasa za kuenezwa kwa propaganda kwa kizazi hiki huwezi kumpata mtu. Siasa hizi zilitumika miaka ya 60, 70 na 80 sasa hivi watu wanasimamia kwenye ukweli si propaganda zenu uchwara. Wewe na CCM wenzako kuvuana magamba mmeshindwa. Rushwa ya Rada mnasema hakuna Rushwa ili kuwalinda wahalifu tena na kuwapa vyeo Bungeni. Sasa kwa vijana wa sasa mtaongea nini mueleweke. Kwanza nakuweka wazi sisi Dr Slaa tunaweza kumsamehe hata kama amechukua fedha za chama ukizingatia kwa matumizi muhimu ya kushughulikia Makazi ya Katibu wetu. Si hivyo tu bado tuna uwezo wa kumchangia hata Pesa za kujenga jumba la kifahari. Lakini sisi si mafisadi kama wewe na CCM wenzako. Ukiwa unakija kwenye jukwaa hili uje na mambo ya msingi Usiongelee suala la Viongozi wetu mahiri. Kama unataka kuleta story za maana ongelea mmewachukulia hatua gani Watuhumiwa wa ufisadi ndani ya Chama Chenu cha Magamba.

Samahani Mkuu uozo wa Slaa ukianikwa ndio propaganda?
 
Tuntemeke tzs 140,000,000,000 gawa kwa wanachama milioni moja shilingi 14000 ziuwe chama tusipate ukombozi? Teh teh sabodo atatoa
 
Back
Top Bottom