Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Antanov 225
Kweli leo hii unaongelea kuua upinzani? Umekufa mawazo kabisa. Kama ingekuwa ni kukata tamaa inapaaswa kuondoa ccm maana miaka 50 lakini utasema imeanza jana. Pia kwa taarifa yako ccm inakuwa wapinzani soon.
ndoto za alfajiri hizi...
 
Yani wewe sredi zako zote chadema,dr slaa,josephine na zitto,vp kwani? Una ugomvi nao? Ebu nenda hata chitchat na mmu kidogo upunguze hasira zako!!
 
Aaaaah umemkamata patamu ruzuku Alifikiri zinatoka mifukoni mwao

kwani kukopa ni kujigaia siku hizi hapo mnatamani angekuwa kaiba mpatepo cha kuongea bahati mbaya kakopa............tuntemeke kasema Dr. kakopa na hajaiba au hujui kusoma
 
Kimsingi mtu yeyote ana haki ya kukopa kwenye sehemu inayomuamini na makubaliano ya kurejsha ni ya pande 2 husika kwa maana ya mkopaji na mkopeshaji. Sasa kama ni kwli mh. Slaa anadaiwa si dhambi na muda ukifika atarejesha. 2ntemeke kwan ww hudaiwi?
 
Hapa napata ujumbe wa aina mbili:
1. Akili za Slaa ziko kwenye kiganja cha Josephine.
2. Josephine is very expensive to maintain.
 
Kwa mwendo huu CDM Itakufa vibaya sababu hawapendi kuambiwa ukweli, yaani tuhuma zikimlenga slaa, au mbowe haraka sana wanaanza kukushambulia na kutoa lugha chafu.

Hoja imetolewa, mlengwa yupo na ameona shutuma kwanini asije kujitakasa hapa Jamvini
 
Hapa napata ujumbe wa aina mbili:
1. Akili za Slaa ziko kwenye kiganja cha Josephine.
2. Josephine is very expensive to maintain.

Siamini ile point 3 ndio inatema pumba namna hii,hv ukiwa ccm ndio brain unakwisha?
 
Hata mtoto wa primary school atajuwa huu ni uongo wa kutungwa.
 
kwani kukopa ni kujigaia siku hizi hapo mnatamani angekuwa kaiba mpatepo cha kuongea bahati mbaya kakopa............tuntemeke kasema Dr. kakopa na hajaiba au hujui kusoma

Anakopa ruzuku alafu apoapo mnawakamua wabunge wenu wachangie chama hakina pesa?! Kweli nyie misukule hamna mnachokiona
 
Kichwani wewe jamaa huko mweupe kama nazi ya Bagamoyo....

602440_407238745984369_218148923_n.jpg
 
umetumwa ww,hizo ni propaganda za magamba hauna jipya

Unalalamika! Acha ukweli uelezwe! Hii ni embezzlement kama ilivyo kwa wale ambao tunatoka povu kuwakemea. Tena fedha hizi ni zetu sisi walipa kodi maana ni ruzuku iliyotolewa kujenga chama na siyo kujenga ndoa na unyumba. Leo ni katibu tu analamba hazina yote, kesho akipewa ikulu si atakomba hazina yote? Halafu jamaa ametoa hoja ya kisheria kwamba kama atashindwa kulipa enforcement ni ngumu maana property ambazo zingekamatwa na kunadiwa kurejesha deni ni mali ya mtu ambaye ni stranger kwenye mkataba. Mnalo hilo CDM.
 
Inavyoonekana Uenyekiti wa BAVICHA ndiyo ilikuwa Carrier ya TUNTEMEKE. Kuukosa tu imekuwa tabu. Mi namshauri mwanamme hutakiwa kuwa na kinyongo wala kukata tamaa. Ukilima Mahindi yakikauka kabla ya kuvuna hamia kwenye kuchoma mkaa. Miti ikiisha hamia kwenye boda boda. Boda boda zikiwa nyingi kijiweni haamia kwenye ukondakta. Ndivyo maisha ya uanaumme.

Siyo mtu umekariri tu ntakuwa mwenyekiti BAVICHA basi without having Plan B. Your too Fool
TUNTEMEKE but am sory!

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.
Fedha hizo, Dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.Fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

4.Mnamo Tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu Dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.Million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na Josephine mshumbusi.Aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa Josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

SAKATA HILI LA DENI LA DR.SLAA limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama Mh.Freeman Aikael Mbowe ambaye amemtaka Dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.Kwa hatua za awali Mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa Lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.

Wewe si mchochezi? Hebu tueleze wewe ni msemaji wa CHADEMA.Hebu acha kuwadhalilisha viongozi wa CDM. Lini Lema kawa mtunza fedha wa CDM?
 
Daaa...yaani matusi kwangu maji...naogopa ban.\jibu hoja.mm ni legend wahayo yote unayo yafikiria kichwani mwako..punguza hasira twende taratibu.Haya unasemaje?

mzee bandika ushaidi na si porojo unakuwa kama dhaifu
 
Kwa hiyo hizi story ndio zimeku-convince? We have a really long way to go aisee!

siyo hivyo King'asti, ila ni kwamba story kama hizi (plus madudu ya kina zitto) zinanikatisha tamaa sana kuwapa kura wapinzani ili waongoze nchi
 
Duh kama ataupata Urais itakuwaje? Ila mi naona tatizo ni huyu mama ukimuona tu unaona kuna kitu anatafuta kwa Dr Slaa. CDM kinapata ruzuku na ni kodi za watanzania kama hizi shutuma ni za kweli namuomba mtoa uzi apeleke ushahidi wake kwa Mkaguzi mkuu wa hesabu azifanyie kazi.

CHADEMA NI CHAKA LA KUJICHOTEA TOKA UKANDA HULEEE
 
Kweli leo hii unaongelea kuua upinzani? Umekufa mawazo kabisa. Kama ingekuwa ni kukata tamaa inapaaswa kuondoa ccm maana miaka 50 lakini utasema imeanza jana. Pia kwa taarifa yako ccm inakuwa wapinzani soon.

Sina maana ya kuua upinzani mkuu, ila kiukweli issues kama hizi, plus madudu ya kina zitto, meya wa mwanza n.k zinaniogopesha sana kuwakabidhi nchi wapinzani
 
Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.
Fedha hizo, Dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.Fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

4.Mnamo Tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu Dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.Million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na Josephine mshumbusi.Aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa Josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

SAKATA HILI LA DENI LA DR.SLAA limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama Mh.Freeman Aikael Mbowe ambaye amemtaka Dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.Kwa hatua za awali Mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa Lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.
Ha!ha!ha!ha! Unamuonea wivu sana bi Josephine kweli unataka uolewe wewe nini? maana kila hela dk.slaa ambayo unadai alikopa alimpa yeye we ndiyo walewale wakina R.Kamili.Hivi unajua utaratibu wa kutoa hela CDM?unajua wahidhinishaji ni nani na nani?au unafikiri zinachotwa tu kama za EPA? Siku nyingine ukiwa unaandika story zako zingatia hayo fanya study ya kitu unachotaka kukielezea ili uongo wako ukaribiane na ukweli.Nikukumbushe tu dk.slaa bado ajafunga ndoa jitahidi unaweza ukaolewa wewe baada ya mshumbuzi
 
Back
Top Bottom