Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Inavyoonekana Uenyekiti wa BAVICHA ndiyo ilikuwa Carrier ya TUNTEMEKE. Kuukosa tu imekuwa tabu. Mi namshauri mwanamme hutakiwa kuwa na kinyongo wala kukata tamaa. Ukilima Mahindi yakikauka kabla ya kuvuna hamia kwenye kuchoma mkaa. Miti ikiisha hamia kwenye boda boda. Boda boda zikiwa nyingi kijiweni haamia kwenye ukondakta. Ndivyo maisha ya uanaumme.

Siyo mtu umekariri tu ntakuwa mwenyekiti BAVICHA basi without having Plan B. Your too Fool
TUNTEMEKE but am sory!

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),

tumbiri@jamiiforums.com

1. Huwa una sign PhD Hull................is this how you argue? discussing a person instead of the subject matter????
2. Nini unaongea juu ya hii kadhia inayoelekezwa kwa katibu mkuu is this true or not???? Delineate mkuu.......not blah blah mtoa mada kasema aje akanushe yeye ataleta evidence.......need he say more???
3. Can you say that you are not obsessed with party politics and hence you act in an addiction manner (follower) than a critical party supporter????
 
Naona mmeamua kushindana na SHIGONGO,habari kama hii bila ushaidi nimajungu,lkn kwakuwa bado naomboleza msiba wa asikari mtiifu DUNGA inabidi nipite tu.
 
Njia ya mwongo ni fupi...sasa wewe unataka tumsubiri Dr.Slaa akanushe au akubaliane na wewe ama tukusubiri wewe ulete ushahidi wa barua?
 
Huwa una sign PhD Hull is this how you argue? Nini unaongea juu ya hii kadhia inayoelekezwa kwa katibu mkuu is this true or not???? Delineate mkuu not blah blah mtoa mada kasema aje akanushe yeye ataleta evidence need he say more?

Dk Slaa aliposoma orodha ya mafisadi pale Mwembe Yanga alimwaga na ushahidi pale pale. Hakuwapa muda kina Rostam, Mgonja, Rutabanzibwa, Chenge, Mkono, Kikwete, Mkapa, Balali, Karamagi et al wakane tuhuma ndiyo atoe ushahidi. Huyu TUNTEMEKE tunamjua vizuri ni nani na kwa nini anafanya hivi.

Kwa kifupi hizi ni story za kutunga na hana ushahidi ndiyo maana analazimisha Slaa aje hapa kukana ili aanze kuzozana nae apate ujiko! Nipo Dar kwa sasa ndiyo maana huoni Signature ya HULL. I will be back this weekend!

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Hii ni page ya 6 bado unascan hizo supporting document za allegation zako usipoziweka wewe ni muongo wa kufa mtu
 
PANDIKIZI JINGINE! eti umerudi! Umetumwa. kudaiwa ni jambo la kawaida. hata kina mama, vijana etc walalamika kila kukicha benki zipunguze riba ili wakope. Leo hii, Dr Slaa kapata fursa inakuwa nongwa?
 
Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.
mkuu matusi ya nini tena kaka. kama mtu anao ushahidi basi hoja yake ni ya msingi, tumpuuze akishindwa kutuletea ushahidi hapa.Ama ingekuwa nzuri zaidi ungekanusha kwa hoja. Wengine wataishia kusema katumwa, lakini ni vizuri mtu huyo akalipa hilo deni kabla ya kuingia ikulu manake asije kutumia fedha za walipa kodi kulipa deni la chama chake.
 
PANDIKIZI JINGINE! eti umerudi! Umetumwa. kudaiwa ni jambo la kawaida. hata kina mama, vijana etc walalamika kila kukicha benki zipunguze riba ili wakope. Leo hii, Dr Slaa kapata fursa inakuwa nongwa?
dawa ya deni kulipa, sasa kama mtu halipi wengine watapaje fursa ya kukopa kama yake.
 
Mamluki mtatapatapa sana kuhakikisha mnaivunja nguvu ya Chadema lakini hamtaweza maana mnasimamia dhuluma na ufisadi wakati Chadema kinasimamia HAKI na UKWELI na kumshirikisha Mungu kwa mikakati yake yote. Kwa hofu hizi za magamba ni dhahiri Chadema inachukua nchi 2015.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Je watu wa aina ya Tuntemeke wanahitajika katika siasa za kisasa za leo? Je wananafasi ya kuiona pepo au?
 
Dk Slaa aliposoma orodha ya mafisadi pale Mwembe Yanga alimwaga na ushahidi pale pale. Hakuwapa muda kina Rostam, Mgonja, Rutabanzibwa, Chenge, Mkono, Kikwete, Mkapa, Balali, Karamagi et al wakane tuhuma ndiyo atoe ushahidi. Huyu TUNTEMEKE tunamjua vizuri ni nani na kwa nini anafanya hivi.

Kwa kifupi hizi ni story za kutunga na hana ushahidi ndiyo maana analazimisha Slaa aje hapa kukana ili aanze kuzozana nae apate ujiko! Nipo Dar kwa sasa ndiyo maana huoni Signature ya HULL. I will be back this weekend!

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),

tumbiri@jamiiforums.com

OWk mkuu though retrograde composition is boring but still it is one among the methods.......
 
Ha!ha!ha!ha! Unamuonea wivu sana bi Josephine kweli unataka uolewe wewe nini? maana kila hela dk.slaa ambayo unadai alikopa alimpa yeye we ndiyo walewale wakina R.Kamili.Hivi unajua utaratibu wa kutoa hela CDM?unajua wahidhinishaji ni nani na nani?au unafikiri zinachotwa tu kama za EPA? Siku nyingine ukiwa unaandika story zako zingatia hayo fanya study ya kitu unachotaka kukielezea ili uongo wako ukaribiane na ukweli.Nikukumbushe tu dk.slaa bado ajafunga ndoa jitahidi unaweza ukaolewa wewe baada ya mshumbuzi

Nafikiri hili jibu linamtosha
 
tuntemeke toa ushenzi wako hapo wewe ni agent wa chama tawala chadema haikamatiki kamwe na subiri 2015 na amini usiamini slaa ni kiongozi bora kuliko wote wa chama chako potea mbali huko wewe mzushi mkubwa
 
hii kitu inaniboa sana,ctak burn saiz!hiv ww mleta mada unamjua slaa au unamsikia?do u think ni wa hivihivi tu!yan mtu unakurupuka tu nakuanza kiandika vitu ambavyo havina ukweli wwt,hizi siasa za kupakana matope zitaisha lini?,,..najua mnapima upepo,kawaambie tumejipanga kwa kila angle!pia we a busy na m4c msituharibie ratiba
 
Back
Top Bottom