Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

ahaha haaaaaaa kama ni mwamba kwenu CCM ngoma nzito uliza uambiwe

Chama
Gongo la mboto DSM
Jaribuni kumfukuza sasa!!!! wakina Nape na Mukama si walikuwa wanamuita Fisadi atakisambaratisha hicho chama mpaka historia yake ifutike kwenye hii dunia. yule ndiye mtume wa siasa za CCM
 
Jaribuni kumfukuza sasa!!!! wakina Nape na Mukama si walikuwa wanamuita Fisadi atakisambaratisha hicho chama mpaka historia yake ifutike kwenye hii dunia. yule ndiye mtume wa siasa za CCM

Fungua thread nyingine mods wanawasaidia kundoa tunazowabana; hapa tunajadili wizi wa mchana kuigueza Chadema saccos .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Fungua thread nyingine mods wanawasaidia kundoa tunazowabana; hapa tunajadili wizi wa mchana kuigueza Chadema saccos .

Chama
Gongo la mboto DSM
Thread nyingine ya nini wakati kinachoongelewa hapa ni Umbeya watu wanaiba matrilioni makimbilia umbeya Jaribuni kwa huyo Mtume wa siasa za CCM muone joto ya kufutika kwenye medani za siasa
 
Jaribuni kumfukuza sasa!!!! wakina Nape na Mukama si walikuwa wanamuita Fisadi atakisambaratisha hicho chama mpaka historia yake ifutike kwenye hii dunia. yule ndiye mtume wa siasa za CCM

Ha!ha!.. CCM kumfukuza Lowassa sawa kung'oa kucha kwa praizi lazima izimie. Si umesikia juzi kaongelea vita na Malawi watu wamechanganyikiwa hadi kumlaumu kikwete kwamba kwa nini anamruhusu lowassa auze sura kwenye tv na magazeti.!
 
Kwenye siasa kuna kitu kinasemwa 'counter attack' yaani unajibu mapigo. Lakini ukiona huna ubavu basi unafanya kitu kingine kinaitwa 'divert attention' yaani kuwaondoa watu katika mada pengine inayokuharibu au kukuharibia.

Anachokifanya Tuntemeke ni ku-(divert attention). Tunafahamu wiki mbili zimekuwa na joto la kisiasa kwa baadhi ya wanasiasa, sasa wanataka kutuondoa katika mada.

Madai ya Tuntemeke ni mepesi sana ukifiyafikiria, sasa kama Dr Slaa amefanya 'uhalifu' na wewe umeamua kuweka hapa kitu gani kinakuzui usitoe ushahidi hadi yeye aje hapa. Lakini pia kama alivyosema Mimibaba, mbona wewe mwenye ushahidi hujitokezi ili hali unaushahidi ili kukinusuru chama?

Hivi tunawezaje kuamini maneno yako, halafu tujizuie kuamini kuwa ni wewe uliyemwekea vipaza sauti Dodoma? Nasema hivi kwasababu nyote (wawili kama nitofauti) hakuna aliyewahi kujitokeza japo kwa jina halisi.
 
Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Duh, Kumbe jamaa kakopa !! Mimi nilidhani kaiba, au 'kakwapua' kama jamaa wa chama fulani wanavyokwapua pesa zetu za mafao ya NSSF !!
Kama ni mkopo basi atalipa tu. Ua kama atashindwa basi atafilisiwa kufidia deni. Sioni tatizo hapo.
Ila kubwa hapo mimi naona huu utaratibu wa KUKOPA unaweza ukafaa sana kama jamaa wa chama fulani watautumia kama ifuatavyo:-
  • Watu wote walioiba pesa za EPA za BoT nao pia wageuziwe pesa hizo ziwe 'mkopo' ili wazilipe.
  • Watu wote waliojimilikisha mgodi wa Kiwira nao wageuziwe mradi huo kuwa 'mkopo' ili walipe.
  • Mafisadi wote waliokwapua pesa maeneo mbali mbali kama vile kwenye ununuzi wa rada, ndege ya rais, richmond, dowans, n.k wote hao pesa hizo zigeuzwe kuwa 'mikopo' kwao ili wazilipe zote.
Atakayeshindwa afilisiwe kufidia 'mkopo'.
 
Ngoja kwanza swaumu iishe ndio nimjibu nisije nikafungua bila kujijua na kupigwa burn.
 
Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!

Umesema 'wapinzani' haku-convince !! Sasa wewe unewaweka wapinzani wote kwenye kapu moja tu kwa sababu ya mtu mmoja ?? Kwa nini ? kwa sababu jamaa kakopa? Hivi jamaa wa CCM hawakopi?
Ina maana inabidi uwaweke CCM wote kwenye kapu moja kwa sababu ya mtu mmoja !! Sasa kwa sababu hiyo, basi waweke CCM wote kwenye kapu moja kwa sababu ya ufisadi, ili uone kama hao CCM wataku-convince !!!
 
Kwenye siasa kuna kitu kinasemwa 'counter attack' yaani unajibu mapigo. Lakini ukiona huna ubavu basi unafanya kitu kingine kinaitwa 'divert attention' yaani kuwaondoa watu katika mada pengine inayokuharibu au kukuharibia.

Anachokifanya Tuntemeke ni ku-(divert attention). Tunafahamu wiki mbili zimekuwa na joto la kisiasa kwa baadhi ya wanasiasa, sasa wanataka kutuondoa katika mada.

Madai ya Tuntemeke ni mepesi sana ukifiyafikiria, sasa kama Dr Slaa amefanya 'uhalifu' na wewe umeamua kuweka hapa kitu gani kinakuzui usitoe ushahidi hadi yeye aje hapa. Lakini pia kama alivyosema Mimibaba, mbona wewe mwenye ushahidi hujitokezi ili hali unaushahidi ili kukinusuru chama?

Hivi tunawezaje kuamini maneno yako, halafu tujizuie kuamini kuwa ni wewe uliyemwekea vipaza sauti Dodoma? Nasema hivi kwasababu nyote (wawili kama nitofauti) hakuna aliyewahi kujitokeza japo kwa jina halisi.

Hakika, hii inaitww Political Diversion. Sawa sawa na ile iliyotumika baada tu ya uchaguzi kwa kulileta swla la babu wa Loliondo,kisha watu wengi wakawa wanashabikia swla hilo na kusahau swla kubwa la wizi mkubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2010.
 
NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

Kumbe ushahidi wa deni unao, sasa unataka nini tena. Au jamaa kasema halipi ?? Kama una ushahidi kuwa jamaa kasema hatalipa, weka ushahidi huo hapa tuuone ndio tujue.

Angalia mfano huu jinsi ya kuweka ushahidi hadharani:

Hoja: Elimu ta Tanzania inadorora sana.
Sababu: Ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali yake.
Kivipi: CCM na serikali yake wasingeiba ma-trilioni ya pesa, shule zetu zote zingekuwa bora.
Angalia hapa jinsi shule zetu zilivyodorora.
 
Attachments

  • Elimu Tz.jpg
    Elimu Tz.jpg
    12.5 KB · Views: 81
Mwanzoni nilianza kukuamini lakini hapo kwenye red umearibu kabisa, kwa nini hukusubiri u-scan kabisa ndo uje uanzishe uzi? Kwani kwenye mikutano ya chadema huwa wanafika wabunge wake wote, wajangwani nilikuwepo natse, shibuda, kasumbai, kahigi na wengine wengi hawakuwepo, unasemaje hapo au ndo walishaanza kususia?

Uzuri ni kuwa tumeshakujua hautusumbui, Tuna mambo mengi yakufanya kwa sasa, Tunahangaika na CCM tu sio na wewe, Dr. asije kujibu haya majungu yako na akija ntamshangaa
IFAKARA wamefika wote?
 
Kumbe ushahidi wa deni unao, sasa unataka nini tena. Au jamaa kasema halipi ?? Kama una ushahidi kuwa jamaa kasema hatalipa, weka ushahidi huo hapa tuuone ndio tujue.

Angalia mfano huu jinsi ya kuweka ushahidi hadharani:

Hoja: Elimu ta Tanzania inadorora sana.
Sababu: Ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali yake.
Kivipi: CCM na serikali yake wasingeiba ma-trilioni ya pesa, shule zetu zote zingekuwa bora.
Angalia hapa jinsi shule zetu zilivyodorora.

multimedia pictures, siyo za kweli hizo.
 
DU kazi ipo mbona hapa....Ndio tatizo la watawala wote lengo lao 1 wanawaza matumbo yao tuu hakuna kingine kelele zote ni kutumake cc maful dem politicians!!!!!:lalala:
 
Mkuu wangu TUNTEMEKE edit hapo kwenye Sh140 halafu twende sawa Kamada wa ukweli.

Mkuu wangu Ritz,
Tambua kuwa kumwamini mwendawazimu kunahitaji moyo! Huyo ni kama kichaa aliyetoroka mirembe!
Kama yeye ni dume anatakaje kulitumia jina la Dr. Slaa huku yeye kajificha kwenye id ya TUNTEMEKE?
Kukopa siyo dhambi kama kuna ukweli, maadam ana source ya kurudisha hizo pesa!
 
Last edited by a moderator:
multimedia pictures, siyo za kweli hizo.

Kuna shule ya msingi niliiona kule Karatu ina walimu wawili tu, na shule yenyewe ina darasa la kwanza mpaka darasa la saba!!
Nikauliza kisa ??? Wakasema walimu hawataki kwenda huku maana mazingira magumu.
Sana kama jamaa wasingeiba ma-trilioni ta pesa zetu, zingetumika kuboresha mazingira kule Karatu ili waalimu waende huko.
 
Siyo kila jambo unaloliona au kusikia uchangie, napita tu!
 
I thought Tuntemeke passed away,oh you are still alive!!!!!! Hivi wewe unaibukaga kukiwa na operation
Sangara au uchaguzi mdogo tu!!!!!.
 
Back
Top Bottom