anti-fisadi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 368
- 31
huu ni upuuzi, sidhani kama dr (wa ukweli) anawajibika kujibu kitu hapa.
Kwa nini isiwe Jk alikwepa kumsalimia Dr Slaa na iwe kinyume chake? Kama Kikwete alikuwa na hamu ya kupiga picha na Dr Slaa, kama mkuu wa nchi si angewaelekeza hivyo watu wa usalama wa Taifa. Habari hii ina mkono wa mtu au ina malengo ya kisiasa yaliyojificha.
mkuu rais kikwete hana dharau ni kweli kuna mambo simkubali lakini at least sio jeuri,tukumbuke kuwa alimpa heshima kubwa mpiganaji wetu kwa kushiriki kumzika na niliona sura yake kuwa sincere na hakuwa na uso wa bashasha kama ilivyo ada yake.dawa ya kiburi ni jeuri, huyo jk ni mtu mwenye madharau sana sasa kuna haja gani kupeana mikono na mtu waaina hiyo? Dk slaa sio mnafiki ameonyesha hisia zake waziwazi na huo ndio msimamo wa kiukweli huyo jk anacheka huku anafundo moyoni huo ni unafki kabisa . Ongera dk wa ukweli sio huo wa kuomba na ndio maana anashindwa kufanya hata maamuzi ambayo hayahitaji kutafakari kwa muda mrefu
kweli mkuu anawajibika kwa hili lakini kama alivyotuasa regia hatimaye tumsamehe.Hongera Pasco kwa kuasisi hii fitina.
Political- agenda!why is this so important?
kweli mkuu anawajibika kwa hili lakini kama alivyotuasa regia hatimaye tumsamehe.
hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje zk, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu ws, katibu mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya zk kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa mh ws.........!!!??? Anachotuaminisha ws ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
ni kweli mkuu rais ndie angetakiwa amfuate dr. kumsalimia lakini halazimishwi naye pia anaongozwa na wanausalama na si kweli kuwa rais anatapatapa kutaka kusalimiwa na dr.haya ni maneno tu ya wazushi ambao wanataka kumbambikia maneno rais wetu.ukweli ni kwamba kuna uwezekano hata rais hakumuona dr. kwa jinsi jiografia ilivyokuwa. rais wetu alionyesha heshima kubwa kwa kuja kumzika kamanda regia.kule tabata slaa na zito hawakuwepo alipofika kikwete walikuwa makao makuu wakiratibu mipango kwa upande wa chama
Si umemwelewa Dr alicho kieleza utaratibu wa kukaa unapangwa na usalama wa taifa, kuwa mbali au karibu na Raisi wapangaji walilijua hilo, jibu linajitoshereza!!! Ahsante Dr Slaa kwa jibu zuri!!!Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
Kama kikwete ana vizia misiba ili ajisafishe au alete uchawi wake amekwama.Huwezi kuwapiga watu mabomu,kuiba kura na kuwabambikia kesi arafu upewe mkono wa nini.mkono ni ishara ya kutakiana amani sasa kikwete kweli ana amani na slaa?
Tumuache mzee wawatu afanye mambo ya maana ya kulikomboa taifa,tuachane na gazeti la mwananchi limeharibika tayari na ukanjanja wake
ni kweli mkuu rais ndie angetakiwa amfuate dr. kumsalimia lakini halazimishwi naye pia anaongozwa na wanausalama na si kweli kuwa rais anatapatapa kutaka kusalimiwa na dr.haya ni maneno tu ya wazushi ambao wanataka kumbambikia maneno rais wetu.ukweli ni kwamba kuna uwezekano hata rais hakumuona dr. kwa jinsi jiografia ilivyokuwa. rais wetu alionyesha heshima kubwa kwa kuja kumzika kamanda regia.kule tabata slaa na zito hawakuwepo alipofika kikwete walikuwa makao makuu wakiratibu mipango kwa upande wa chama