Dk Slaa: Kwanini sikumsalimia JK

Dk Slaa: Kwanini sikumsalimia JK

huyu mzee anatapatapa.kwa kweli me namheshimu dr slaa kwa uzee wake,taaluma na busara alizonazo LAKINI naomba kumuuliza maswali machache.
.

1.kwanini alikwepa kwenda ikulu pamoja na timu ya chama kumuona rais abt katiba.

Kwa nini unadhani ilikuwa LAZIMA aende? isitoshe, kwenda ikulu ni kwa mwaliko. Una UHAKIKA kuwa alikuwa na mwaliko?

2.kwanini pale tabata nyumbani kwa kina Rejia alimkwepa rais alipoenda kutoa pole.

Again, kwa nini unadhani alimkwepa? do you think seriously kuwa kila mwananchi anaweza kusalimiana na Raisi anavotaka? Ni nani wanaoratibu watu wa kuslimiana na Rais kwenye shughuli kama hizo? Kwa nini Rais asimsalimie Dk, Slaa ambaye nduye aliyefiwa 'zaidi'? Ukienda msibani, mwenye msiba anakuja kukusalimia au wewe ndo unamfata aliyefiwa kumsalimia?

3.kwanini alimkwepa rais pale ifakara?watanzania sio wajinga.huu utetezi alioutoa hapa ni wa kitoto, si wa katibu mkuu wa chadema

Soma no 2 hapo juu...the same story
4.atuthibitishie ni kweli kabisa hana chuki ya asili?

Chuki ya asili ni ipi an isiyo asili ni ipi hapa?
5.kwanini ana ng'ang'ania hata vitu visivyo na maana,kwanini hapendi kukosolewa na hapendi yaishe tusonge mbele.
NTASHUKURU DR KUPATA MAJIBU MAZURI.NAKUTAKIA AFYA NJEMA

Sidhani kama kuna kitu ameng'ang'ania.If anything, he has given his best for the benefit of this country., wanaong'ang'ania ndo hao wanaotapatapa kutaka kusalimiwa misibani!
 
Malumbano yote haya ya nini laikini. Suala la kujiuliza hapa ni kama mtu anaweza kuondoka mahali alipokaa na kumfuta Rais ili amsalimie, hasa baada ya lile sakata la Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi kupigwa kofi jukwaani kule Karimjee.
 
Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???

Amavubi, sina hakika na maelezo yako kuhusu hicho kiti kilichokuwa kushoto ya Zito (ZK) kuwa kilikuwa cha Dr Slaa (WS), na kwa vile hatuna picha kuona huo mpangilio wa ukaaji inakuwa ngumu kufanya uchambuzi sahihi maana nijuavyo mimi msaidizi hakai kulia kwa bosi wake. Na kutokana na hilo, basi huenda maelezo ya Dr Slaa ni sahihi zaidi. Kwa sababu hiyo, huenda Zito alikuwa kwenye jukwaa hilo sio kama kiongozi wa chama bali kama Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hivyo kwa vile Dr. Slaa si mbunge asingeweza kukaa kwenye jukwaa hilo.
 
Babu anapenda sana kuwatajataja usalama wa taifa au ni mwenzao nini.naanza kupata hofu apa.hebu pia anifafanulie hili.
usalama wa taifa na rais ndo walikuwa incharge pale makaburini. kwa mfano kikwete alitoa ushauri (amri) kuwa viongozi wa chini kama mwenyekiti wa halmashauri na yule wa kitongoji wapewe nafasi ya kuweka mashada kwa niaba ya wenyeji badala ya viongozi wa kitaifa tu.
 
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.

Hivi ni kweli kabisa kwamba Dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?

unamuuliza nani wakati keshasema?fikiri kabla hujaandika.yeye kasema hivo na ndo kamaanisha na ndo anavyoamini we unatuuliza !
 
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.

Hivi ni kweli kabisa kwamba Dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?

Mkuu Kimbunga, Maswali unayo jiuliza hapa yana ajenda ya sili moyoni mwako. Mara nyingi nikisoma michango yako kuhusu Dr. W Slaa huwa nauchungulia unafiki wako wa dhahili kuhusu mpambanaji huyu. Nakushauri chukua msimamo unaoeleweka kama akina: FF, Ritz, Rejao, na MS.
 
Mkuu Dr. anasema alionyeshwa na watu wa usalama ili akae alipokaa. Sasa kama kulikuwa na kiti hicho ambacho kimantiki kilikuwa cha Dr. Slaa na hao watu wa usalama wakamwambia akae kwingine, basi Dr. Slaa anataka kutuambia kuwa watu wa usalama ndio waliomweka mbali na Rais au?

nawapongeza sana wanausalama kwa kujua hali halisi,wanamuepusha rais ajae asijedhurika na sumu ya mwakyembe
 
Kwa nini isiwe Jk alikwepa kumsalimia Dr Slaa na iwe kinyume chake? Kama Kikwete alikuwa na hamu ya kupiga picha na Dr Slaa, kama mkuu wa nchi si angewaelekeza hivyo watu wa usalama wa Taifa. Habari hii ina mkono wa mtu au ina malengo ya kisiasa yaliyojificha.
 
Kwani ni lazima kumsalimia rais? Mbona watu wanajaribu kukuza mambo yasiyo na msingi wowote? Bora dr wa ukweli umewajibu ipasavyo!
 
Gazeti la Mwananchi linatusaidia kutafuta tatizo ni nani, ni Rais wetu au shujaa wetu Dr Slaa. Ni vizuri pia mkakumbuka kwamba "chuki" ya JMK kwa Dr Slaa haikuanza na uchaguzi wa 2010. JMK alimchukia Dr Slaa tangu ile orodha ya mafisadi 11 wa MwembeYanga ilipotolewa. CCM ingekuwa makini tangu wakati huo historia ya nchi hii ingekuwa nyingine kabisa.
 
Nadhan inabidi ieleweke Kuwa Dr Slaa anamashabiki wengi Katika Nchi Hii!! Kwani Katika Uchaguzi alipata Kura Nyingi sana!! Hivyo kama angejiweka Karibu sana Na Mheshimiwa Rais Ingeweza Kujitokeza Vijana wakaanza Kushangilia na kuleta Tafrani ambayo Baadae Ingeonekana Imeandaliwa na CDM!! Ni busara ya Kawaida Mtu Kujiweka katika Mazingira ambayo Hayo Hayawezi Kutokea!! Kwana najua mwisho wa siku watu wangesema wameandaliwa!!
 
Kama kikwete ana vizia misiba ili ajisafishe au alete uchawi wake amekwama.Huwezi kuwapiga watu mabomu,kuiba kura na kuwabambikia kesi arafu upewe mkono wa nini.mkono ni ishara ya kutakiana amani sasa kikwete kweli ana amani na slaa?

Tumuache mzee wawatu afanye mambo ya maana ya kulikomboa taifa,tuachane na gazeti la mwananchi limeharibika tayari na ukanjanja wake
 
Wasalimiane ili iweje? Salamu zao zinatatua nini Kati ya haya
1. Umeme Juu 40%
2. Inflation Juu 19%-30%
3. Tz ni nchi ya ya Tatu kwa kuongoza kwa umaskini duniani
4. Tz nchi ya 3 kwa kuzisha Madini na ya 3 kwa umaskini duniani
4. Tz nchi ya mwisho kwa miundo mbinu ya Barabara kwa nchi za East Africa
5. Maisha ya mtanzania wa kawaida ni utata mtupu.....
6....
7....
8....

Unaweza ongeza orodha hiii...

Haya ndio mambo ya msingi ya kuzungumza na Sio kusalimiana kwenye misiba.... Period

Naongeza mkuu:
6. Akina mama wajawazito wanalala chini watatu watatu kwenye godoro moja!
7. Watoto wa shule za kata hawafundishwi sababu shule hazina waalimu wala vifaa.
8. Watoto wa shule za msingi hata zilizoko dar wanakaa chini!
9. Hospitali hazina madawa
10.Wezi wa mali ya umma hawakamatwi wala kushtakiwa bali wanapewa ruhusu ya kurudisha walichoiba na bado wapo wanaogoma kurudisha!
11. Mafisadi wanalindwa!
12.
13.
14.
Orodha ni ndefu wengine wanaweza kuongeza!
 
mbona dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.

Hivi ni kweli kabisa kwamba dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?

dawa ya kiburi ni jeuri, huyo jk ni mtu mwenye madharau sana sasa kuna haja gani kupeana mikono na mtu waaina hiyo? Dk slaa sio mnafiki ameonyesha hisia zake waziwazi na huo ndio msimamo wa kiukweli huyo jk anacheka huku anafundo moyoni huo ni unafki kabisa . Ongera dk wa ukweli sio huo wa kuomba na ndio maana anashindwa kufanya hata maamuzi ambayo hayahitaji kutafakari kwa muda mrefu
 
Kwa nini unadhani ilikuwa LAZIMA aende? isitoshe, kwenda ikulu ni kwa mwaliko. Una UHAKIKA kuwa alikuwa na mwaliko?

Again, kwa nini unadhani alimkwepa? do you think seriously kuwa kila mwananchi anaweza kusalimiana na Raisi anavotaka? Ni nani wanaoratibu watu wa kuslimiana na Rais kwenye shughuli kama hizo? Kwa nini Rais asimsalimie Dk, Slaa ambaye nduye aliyefiwa 'zaidi'? Ukienda msibani, mwenye msiba anakuja kukusalimia au wewe ndo unamfata aliyefiwa kumsalimia?

Soma no 2 hapo juu...the same story

Chuki ya asili ni ipi an isiyo asili ni ipi hapa?

Sidhani kama kuna kitu ameng'ang'ania.If anything, he has given his best for the benefit of this country., wanaong'ang'ania ndo hao wanaotapatapa kutaka kusalimiwa misibani!
ni kweli mkuu rais ndie angetakiwa amfuate dr. kumsalimia lakini halazimishwi naye pia anaongozwa na wanausalama na si kweli kuwa rais anatapatapa kutaka kusalimiwa na dr.haya ni maneno tu ya wazushi ambao wanataka kumbambikia maneno rais wetu.ukweli ni kwamba kuna uwezekano hata rais hakumuona dr. kwa jinsi jiografia ilivyokuwa. rais wetu alionyesha heshima kubwa kwa kuja kumzika kamanda regia.kule tabata slaa na zito hawakuwepo alipofika kikwete walikuwa makao makuu wakiratibu mipango kwa upande wa chama
 
huyu mzee anatapatapa.kwa kweli me namheshimu dr slaa kwa uzee wake,taaluma na busara alizonazo LAKINI naomba kumuuliza maswali machache.
1.kwanini alikwepa kwenda ikulu pamoja na timu ya chama kumuona rais abt katiba.
2.kwanini pale tabata nyumbani kwa kina Rejia alimkwepa rais alipoenda kutoa pole.
3.kwanini alimkwepa rais pale ifakara?watanzania sio wajinga.huu utetezi alioutoa hapa ni wa kitoto, si wa katibu mkuu wa chadema
4.atuthibitishie ni kweli kabisa hana chuki ya asili?
5.kwanini ana ng'ang'ania hata vitu visivyo na maana,kwanini hapendi kukosolewa na hapendi yaishe tusonge mbele.
NTASHUKURU DR KUPATA MAJIBU MAZURI.NAKUTAKIA AFYA NJEMA.

Namnukuu Dr. Slaa kama ifuatvyo: “Mimi sipendi kuweka siasa kwenye mambo kama ya msiba, Dk Slaa siyo kichaa siyo kichaa aanze kukimbia kumsalimia Rais. Katika sehemu kama ile Rais huwa anakuja baada ya watu wote wakiwa wameshakaa, yeye ndiye hupita na kuanza kusalimia watu na hamjaona hata sehemu moja aliponyoosha mkono kunisalimia nikamkwepa,”
My take: Uelewa na IQ ya Dr. Slaa ni ya hali ya juu sana kiasi kwamba alijua mapema kwamba kwenda ikulu kufanya mazungumzo na Rais Kigeugeu kama JK kungukuwa kuwavimbisha vichwa akina: Hojatete, FF, MS, Rejao, Kimbunga, na Ritz1
 
Hivi kusalimiana na rais ni kitu kinafanya gazet liandike kwenye headlines, This can be termed as a ............of our journalists
 
HAKUNAGA URAFIKI NA SHETANI, rudin nyuma tuone walikuwa wanaandika nini kuhusu chadema na slaa 2010/2011

And same people were surpoting them!
 
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni.

Hivi ni kweli kabisa kwamba Dr. Slaaa akiwa msibani hamwangalii aliye pembeni yake?

Kimbunga,

Wewe unaamini kwamba ukisalimiana msibani na mtu uliyehitilafiana nae ndio umetengeneza?

Je kama kuna tofauti miongoni mwao unaamini kwamba kama wangesalimiana, hizo tofauti zingeisha?

Kila siku nakuona unasema Dr. Slaa ana siri nzito moyoni, umekuwa sheikh yahya siku hizi mkuu?

Raisi ana mambo mengi sana ya muhimu ya kufanya kuliko hili la kupewa mkono na Dr. Slaa, na kwa jinsi mnavyoulilia mkono wa Dr. Slaa napata picha kwamba huenda ninyi mna siri nzito mioyoni mwenu.
 
Namnukuu Dr. Slaa kama ifuatvyo: "Mimi sipendi kuweka siasa kwenye mambo kama ya msiba, Dk Slaa siyo kichaa siyo kichaa aanze kukimbia kumsalimia Rais. Katika sehemu kama ile Rais huwa anakuja baada ya watu wote wakiwa wameshakaa, yeye ndiye hupita na kuanza kusalimia watu na hamjaona hata sehemu moja aliponyoosha mkono kunisalimia nikamkwepa,"
My take: Uelewa na IQ ya Dr. Slaa ni ya hali ya juu sana kiasi kwamba alijua mapema kwamba kwenda ikulu kufanya mazungumzo na Rais Kigeugeu kama JK kungukuwa kuwavimbisha vichwa akina: Hojatete, FF, MS, Rejao, Kimbunga, na Ritz1

Nimependa sana penye red, Dr. Slaa hatimaye anatambua JK ni rais wa tz
 
Back
Top Bottom