TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,187
- 18,211
Ikiuma sema....Mode, hamishia habari hii kule Chit chat na baadae Hoja Mchanganyiko. Habari hii haistahili Jukwaa la Siasa!. Hizi double standards zitatufikisha pabaya!.
Ikiuma sema....Mode, hamishia habari hii kule Chit chat na baadae Hoja Mchanganyiko. Habari hii haistahili Jukwaa la Siasa!. Hizi double standards zitatufikisha pabaya!.
Jinga hilo, bahasha za msafara wa JK zimeshamlevya kilaza huyo.Ikiuma sema....
Tulishajadili hili, tena kwa undani.
Wana JF,
Poleni kwa misiba miwili ya Wabunge, kuna hili jambo linakuzwa na baadhi ya Watu ya kwa nini Dr. Slaa hakusalimiana na Rais aka JK ??? Naona Dr.Slaa ameliamulia kulitolea ufafanuzi wake. Nitanukuu baadhi ya maelezo yake:
"Siyo hulka ya Dk Slaa kutumia misiba kama sehemu ya kusalimiana, wala kutengeza mambo yaliyoharibika, mimi huwa naenda kwenye msiba kwa lengo moja tu la kumwombea marehemu, huwa simtazami hata mtu aliyekaa pembeni yangu, alisema Dk Slaa.
Sasa kutoka alipokuwa amekaa Rais mpaka kwenye banda nilipokuwa mimi, kulikuwa na umbali wa karibu mita 20, sasa mlitaka nikimbie kumsalimia Rais nivunje protokali kisha nikamatwe na usalama wa taifa, alisema Dk Slaa.
Mimi sipendi kuweka siasa kwenye mambo kama ya msiba, Dk Slaa siyo kichaa siyo kichaa aanze kukimbia kumsalimia Rais. Katika sehemu kama ile Rais huwa anakuja baada ya watu wote wakiwa wameshakaa, yeye ndiye hupita na kuanza kusalimia watu na hamjaona hata sehemu moja aliponyoosha mkono kunisalimia nikamkwepa, alisema Dk Slaa.
Msiba siyo mahali pa kutengeza urafiki, au kutengeza mambo yaliyo haribika, pale ni ibada tu na kumuombea marehemu siyo sehemu ya kufanya siasa alisisitiza Dk Slaa.
Source: Mwananchi
Nawakilisha
rais wa yanga huyo,hana mpya.Safi sana Rais Slaa, umefuata kilichokupeleka full stop! Mambo ya kujipendekeza wewe siyo mpenzi wa ubwabwa kama Shibuda. 2015 naona kama iko mbali mpaka natamani uapishwe kabla ya uchaguzi.
Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???[/QUOTE silaha mzushi tu.
Kwenye Itifaki hasa kwenye matukio kama hayo, anayepaswa kusalimia ni Rais, maana yeye ndo anakuja wa mwisho kwa hiyo anawasalimia wale aliowakuta, na amba wako katika mstari wa mbele. Vinginenvyo, huwezi tu kukurupuka ukatoka sehemu unasema unaenda kumsalimia Rais, ukifanya hivyo, usalama wa Taifa wanakukamata mara moja.