angalia post za nyuma gazeti mwananchi liliwekwa miongoni mwa magazeti makini kisa liliwabeba magwanda,lakini sasa laitwa la udaku,kisa linaweka ukweli juu padiri slaa kumkwepa JK.kusema kwenu eti la udaku hakulifanyi kuwa la udaku.Mlisema Jk sio rais,kauli zenu zimemfanya kutokuwa rais? kelele za mlango.......