Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae
Sasa mimi nakupa za Uhakika
Sio Tetesi
Dr Harudi CHADEMA
Ataondoka atahamishia makazi yake Italy....baada ya kutangaza Rasmi sababu za yeye kukaa Pembeni
Dr Harudi CHADEMA...Nimeongea nae
Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.
Dr.W.Slaa hana price tag kama yule kiwaraza profesa asiye na akili.Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae
Wewe nani?Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae
Mkuu Rwanda kuna ccm?Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.
Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya Baraza Kuu la chama hicho kuridhia apumzike kwa muda, baada ya kutofautiana na Kamati Kuu kwa kile kilichoelezwa kumkaribisha Lowassa.
Vyanzo vya uhakika ndani ya Chadema vilivyozungumza na MTANZANIA juzi na jana, vilisema Dk. Slaa huenda akarejea ofisini leo kutokana na mazungumzo yaliyofanyika kwa nyakati tofauti na viongozi waandamizi wa chama hicho.
CHANZO;MTANZANIA
Mie nasikia za Chini Chini Dr wetu anafanya mazungumzo na CCM ili arudi huko
Baada ya hapo Lipumba anafatia.
Ni tetezi tu ..
Dr Anaenda Italy na haendi Vatican
Anaenda huko kwa sababu ana marafiki wengi na anaona anaweza kukaa vyema kwa kipindi kijacho
Nina uhakika na habari hizi
Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.
Aisee, sasa Dr amekwambia ni sababu ipi imepelekea yeye kuachana na CDM!
UKAWA tulikupenda lakini mamluki wamekupenda zaidi.
KWAHERI UKAWA.
Mke anathamani kubwa sana. Mke pia ni mshauri mkuu wa familia. Tumheshim Josephine ili azidi kumtunza vyema Dr. W. Slaa.