Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kama ni kweli zitakuwa ni habari njema kwa wananchi wote walikuwa wanamsubiri kauli kutoka kwa #Dr .Slaa tutafurahi sana tutapomwona ameingia ofisini .Aliyekuwa kikwazo kwenye vikao vya #UKAWA ameshaondoka kwenye nafasi yake jana ameona mwaka huu hana njia za kuwasaidia wanafiki wenzake ccm tena .

duh mipasho mnaiweza-alipogoma Slaa mlimtukana na mkewe na kumsifia Lipumba, leo kwa kutumia fununu tu tayar mnamtukana Lipumba na kumsifia Slaa ! halaf tunajadili kwann nchi haiendelei ? watu wenyewe si ndio ninyi
 
Hata mawe yaamshangaa DR SLAA akirejea ofisini baada ya kudhalilishwa kwa kuonekana hafai kuwa mgombea wa URAIS!!!!!!!!!
chaikavu
 
Last edited by a moderator:
kurejea kwa Dr Slaa kutafifisha na kuondoa pendo la Prof Lipumba UKAWA
 
Mie nasikia za Chini Chini Dr wetu anafanya mazungumzo na CCM ili arudi huko

Baada ya hapo Lipumba anafatia.

Ni tetezi tu ..
 
karibu kamanda ili wana wa lumumba wawashwe zaidi

Wewe ndo mnafiki namba moja. nani alimtukana Doctor wetu wa ukweli. Mtu kusema ukweli wa moyoni mwake ndio tusi. Hata sis wenyewe tunaheshimu uamuzi wake wa kupumzika lakini safari yetu iko pale pale. Hakuna kurudi nyuma.
 
Acheni kufuata propaganda za gazeti la Bashe,Mtanzania

Dr Slaa hana mpango na wala hatarajii muujiza wa kurudi Ofisini,kwa majukumu ya katibu Mkuu wa Chama

Dr Slaa ameshaandika barua ya kujiuzulu nyadhifa zote za chama na amekabidhi ofisi yake rasmi.....

Kinachosubiriwa ni majibu kutoka Uongozi wa Chama

Dr Ni mtu makini...Hakurupuki.......

Wazee walienda kuongea nae kumsihi abaki kuwa kimya....

Hizi habari ninazotoa ni za uhakika...Nimeongea nae uso kwa uso asubuhi ya leo

asante kwa taarifa kamanda humu ndanui watu wanapenda kusikia wanachotaka kusikia..tukubali kuheshimu maamuzi ya watu.
msimesema safari ya uhakika inaweza kuendelea acha iendelee tuone..
asiyeamini aendelee kutoamini ukweli uko wazi..tu dr hawezi kurudi chadema..tukubali ..makamanda
 
Nyie nyumbu juzi tu mlikuwa mnamtukana yeye na familiayake...leo mnasema anarudi?? Wanafiki wakubwa nyie

Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.
 
Mwambieni Edward Lowassa "akafanye " Mazungumzo na Josephine Mushumbuz nawahakikishia Siku inayofata mtamkuta Dr.anasubiri Mlinzi aje afungue Geti aingie Ofisini.

Mke anathamani kubwa sana. Mke pia ni mshauri mkuu wa familia. Tumheshim Josephine ili azidi kumtunza vyema Dr. W. Slaa.
 
Huna hadhi ya kuongea na Dr. Slaa wewe

Usichokijua nyamaza tu mkuu

Ukimya ni busara kubwa sana......Hadhi inawezekana sina

Take it From Me...Nimeongea na Dr...HANA MPANGO NA HATARUDI CHADEMA.
 
Mie nasikia za Chini Chini Dr wetu anafanya mazungumzo na CCM ili arudi huko

Baada ya hapo Lipumba anafatia.

Ni tetezi tu ..

Sasa mimi nakupa za Uhakika

Sio Tetesi

Dr Harudi CHADEMA

Ataondoka atahamishia makazi yake Italy....baada ya kutangaza Rasmi sababu za yeye kukaa Pembeni

Dr Harudi CHADEMA...Nimeongea nae
 
Dr. Slaa chonde chonde usije ukawa kama Musa aliyeshindwa kuwafikisha wana wa Israel nchi ya ahadi
 
Mie nasikia za Chini Chini Dr wetu anafanya mazungumzo na CCM ili arudi huko

Baada ya hapo Lipumba anafatia.

Ni tetezi tu ..

Well katika wale mafisadi 11 aliowataja mwembe Yanga mmoja amejiunga Chadema na 10 wapo ccm.

Hapa hata mtoto wangu ukimueleza swala hili hawezi kukuelewa. Sanasana tu nitakuwa nimepata majibu ni kwa nini Dr Slaa kadi yake ya ccm hajaichoma moto mpaka leo.

Kama kweli Dr Slaa anashiriki mipango haramu kama hiyo basi alaaniwe yeye na kizazi chake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom