Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Sasa mimi nakupa za Uhakika

Sio Tetesi

Dr Harudi CHADEMA

Ataondoka atahamishia makazi yake Italy....baada ya kutangaza Rasmi sababu za yeye kukaa Pembeni

Dr Harudi CHADEMA...Nimeongea nae

Nilidhani anaondoka na Chadema.. I kumbe Anaiacha kama Alivyoiacha CCM Nyerere na Karume.. Acha wana UKAWA waendelee na UKAWA yao na wewe komaa kumtangaza Makomeo.. Kukesha kwenye ngoma ya jirani huku unaiponda na kuiacha yako ikikosa wahudhuriaji ni dalili kua Umefunikwa ...
 
Sasa mimi nakupa za Uhakika

Sio Tetesi

Dr Harudi CHADEMA

Ataondoka atahamishia makazi yake Italy....baada ya kutangaza Rasmi sababu za yeye kukaa Pembeni

Dr Harudi CHADEMA...Nimeongea nae

Italy?? Vatican?? Ooohh najaribu connect the dots..

Kumbe Vatican wamechukizwa na yeye kutoswa
 
Sasa mimi nakupa za Uhakika

Sio Tetesi

Dr Harudi CHADEMA

Ataondoka atahamishia makazi yake Italy....baada ya kutangaza Rasmi sababu za yeye kukaa Pembeni

Dr Harudi CHADEMA...Nimeongea nae

Naona unakiherehere,haya niambie baadala ya kwenda kulima unashokea ugomvi wa ndugu,semabasi nikuletee TENDE au HALUA?Maana Ubuyu haukufai.
 
Naona unakiherehere,haya niambie baadala ya kwenda kulima unashokea ugomvi wa ndugu,semabasi nikuletee TENDE au HALUA?Maana Ubuyu haukufai.

Mkuu nyamaza tu

Tukubaliane na Ukweli kwamba Dr Hatarudi tena

Tumtakie Heri katika maisha yake nje ya Siasa

Dr is resigning from Politics
 
Siasa za Tanzania zinaumiza vichwa wapiga kura/wananchi kuliko viongozi wa chama. Hadi sasa wengi bado hawajaju nini hatma ya kura yke. Mwananchi anahitaji kujua mengi katika umoja wa UKAWA.
 
Italy?? Vatican?? Ooohh najaribu connect the dots..

Kumbe Vatican wamechukizwa na yeye kutoswa

Dr Anaenda Italy na haendi Vatican

Anaenda huko kwa sababu ana marafiki wengi na anaona anaweza kukaa vyema kwa kipindi kijacho

Nina uhakika na habari hizi
 
Hata asiporudi chadema na ukawa vitakuwepo tu, maana ukawa ni muunganiko wa watu waliochoshwa na CCM na vitendo vyake

Ukawa ni muunganiko wa wananchi wanaoshabikia mambo wasiyoyajua + viongozi wa vyama pinzani wenye nia mbaya na Taifa hili. Watanzania watajutia sana endapo nchi hii watamkabidhi mbowe na Lowasa
 
...asiefanya kazi na asile...chama kimekukuwa kikimlipa mapesa mengi toka "alipokutana na za kichwa" kwenye uchaguzi uliopita...!kama hataki kukitumikia chama, hakuna kulipwa...!..lkn kubwa..ajifunze, na akome kuropoka, kuzua, na kupiga majungu...yatamtokea puani aaibike kama alivyoaibika na majungu na uzushi wake juu ya lowassa ktk upuuzi wake wa "ati orodha ya mafisadi papa"....ni aibu hajawahi kusikika akizungumzia uhalifu na hujuma za pesambili & co.....hii inadhihirisha alivyojawa na pepo la majungu & uzushi...! tena, na tena, na tena...asiefanya kazi....."peeeeeeeoples.......power....!"
 
Ile kazi tuliyomwachia Edo kama ameshaikamilisha hakuna shaka atarudi.
 
Uloi nga mâché68;13547911 said:
Hata mawe yaamshangaa DR SLAA akirejea ofisini baada ya kudhalilishwa kwa kuonekana hafai kuwa mgombea wa URAIS!!!!!!!!!
chaikavu

MKUU NI LINI MMEANZA KUMPENDA Dr. slaa? kwani siku hizi Dr, AMEACHA KUWA PADRI MZINIFU KAMA MLIVYOMCHAFUA HAPO MWANZO?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom