rajabu ndauka
Member
- Jul 30, 2015
- 9
- 0
Thatha madibaaaaaa
What can be asserted without evidence can also be dismissed without evidence.Itoshe wewe kupata taarifa tu
kuna mambo mazito sana watu hawayajui kuhusu lowasa
dr anayafahamu
lipumba ameyafahamu
ndio maana lipumba kachukua maamuzi hayo
ndio maana dr alishachukua maamuzi hayo
lowasa ana mambo mazito nyie acheni tu...hata wewe ukiambiwa hapa hautamsapoti tena
dr kwa alivyonieleza....namuunga mkono...aende tu
unajua who was behind utekaji,utesaji na mabomu miaka hii mitano iliyopita?
Mkuu nyamaza tu
Tukubaliane na Ukweli kwamba Dr Hatarudi tena
Tumtakie Heri katika maisha yake nje ya Siasa
Dr is resigning from Politics
Binafsi kama mwenye mapenzi ya kitaifa sina hamu tena na DK Slaa kama ameamua kunywa matapishi yake mwenywewe basi HESHIMA Yangu kwake imekuwa ZERO...Sasa hivi heshima yangu iko kwa LIPUMBA kwa kusimamia DHAMIRA [WILL] na sio MATAMANIO YA VISHIKIKAVYO YANI HUMAN MATERIAL.
Asante dr.slaa karibu c.c.m chama cha cha watanzani..
Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA
Source: Mimi nimeongea nae