Umejipanga kwa PESA za UMMA KUHONGA viongozi wa UPINZANI you are so Stu......!Yaani hamfai hata kidogo.Chezeni mpira with FAIR Ground!!!!!!!Acheni ujinga wa kuhonga viongozi ni aibu kubwa.........Pole haji ng'oooooooooooooooooooo huko haji ,hata mwanangu wa miaka tisa ukimpa hesabu hii anashinda...
Hebu fikiria CDM kaingia FISADI mmoja tu huko kwenu wamebaki mafisadi lukuki,wazee wa madawa ya kulevya,majingili yaani ni aibu kusema,wazee wa ESCROW akiongozwa na Mwenyekigoda..........Bado unawaza eti Dr.Slaa atakuja huko duh!!!!!!!Kama Fisi vile akisubiri mkono wa binadamu udondoke.................Pole sana anaweza kuondoka CDM lakini kuhamia CCM hata mfunge Ramadhani ya Mwaka mzima HAJIIIIIIIIIIIIIIII NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO pesa hizo waoneeni huruma wafanyakazi wa serikalini hawajalipwa....Mmekula imetoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Unajua nyie NYINYIEM ndiyo mliowafanya VIJANA wakubali hata kumpigia Kura Fisadi kwa sababu wamewachokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwaka huuu MKATWEEEEEEEEEEEE TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU