Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa hana mpango wa kurejea CHADEMA

Source: Mimi nimeongea nae

Kumbe dogo huyu aliacha kidato cha 3, fom three, sa uliona wapi m2 alemaliza kdato cha 4 au aleacha shule akatoa mada nzito, kwanza harufu ya ccm inakuw haijakatika, mana mashulen c wanamezeshwa kuw ccm ndo kila ki2, sa akija mtaani na harufu yke ndo ataelewa, na akfka chuo ndo ataona kuw ccm wanazngua, ila huyu jamaa naona km amemalza 4m 4 au aliacha fom 3, nyie wanafunz w O'level hamtakiw jamii f:::mnatuahibisha bhana nyie nendeni facebook mkakutane na watoto wenzenu hili jamvi ni la wasomi tu::::tokaaa
 
Well Come Back Commando Slaa Wewe Ni Kamanda Wa Nchi Kavv, Wanajeshi Tuko Front Line Tunasonga Mbele
 
Mmmm mie bado nina dukuduku nae, yani hizi tabia za kususa alafu watu waende kukubembeleza kwenye harakati kama hizi zinazohusu ukombozi wa taifa.... naamanisha watu wanafanya kama vile hìzi harakati is about them na wakati its not about them at all....ukiwa mwanasiasa kiongozi inamaana wewe ni mpiganaji wa hili taifa, sasa kwanini mtu utake kuturusha roho kiasi hicho?
 
Sasa mimi nakupa za Uhakika

Sio Tetesi

Dr Harudi CHADEMA

Ataondoka atahamishia makazi yake Italy....baada ya kutangaza Rasmi sababu za yeye kukaa Pembeni

Dr Harudi CHADEMA...Nimeongea nae

Aisee, sasa Dr amekwambia ni sababu ipi imepelekea yeye kuachana na CDM!

UKAWA tulikupenda lakini mamluki wamekupenda zaidi.

KWAHERI UKAWA.
 
Huna hadhi ya kwenda paradiso we gamba! Yaan hata nkikukuta hapo naenda kwa Mungu kumwambia kuwa hiyo vertung ya kumleta huyu ---- paradiso ilikosewa tangu awal
Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.
 
Ki- ukweli sijapendwezwa na hii taarifa...

Hahahahaa....
 
Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.
Mkuu Rwanda kuna ccm?
 

slaa-300x151.jpg



Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya Baraza Kuu la chama hicho kuridhia apumzike kwa muda, baada ya kutofautiana na Kamati Kuu kwa kile kilichoelezwa kumkaribisha Lowassa.

Vyanzo vya uhakika ndani ya Chadema vilivyozungumza na MTANZANIA juzi na jana, vilisema Dk. Slaa huenda akarejea ofisini leo kutokana na mazungumzo yaliyofanyika kwa nyakati tofauti na viongozi waandamizi wa chama hicho.

CHANZO;MTANZANIA

Moderator Invisible nilikuwa na Ombi mmoja kama itawezekana kule twitter (JF) wekeni hash Tag# sijui mnavyopenda kuiita yenye ujumbe wakumtaka/kumuomba Dr.Slaa arejee Makao Makuu ya CDM Ufipa awe sehemu ya tukio hili la kihistoria ya kuwaondoa magogoni CCM kwa kupitia Lowassa na amini Mhe.Lowassa nyuma ya pazi atakuwa ameeleza vitu vingi kuhusiana na Ufisadi wa Chama Chake .

Miezi hii michache iliyobaki. yaani hadi 26.10.2015 siyo mbali baada ya hapo astaafu Siasa kwa Amani na wajukuu watamtambua kama Mkombozi wao-uhuru,haki na kujiamini kwa kutetea haki bila Uoga.

CC Mzee Mwanakijiji

 
Last edited by a moderator:
Siasa za Tanzania michosho tu,ngoja nisikilize tu kibao Kipe Yayo cha JB
 

Attachments

  • 1438946830805.jpg
    1438946830805.jpg
    4.1 KB · Views: 772
Simshauri kurudi. Kurudi itakua anafanya uamuzi wa hovyo kabisa katika maisha yake. Ni vizuri afanye kama mwenzake Lipumba, lakini sisi kamwe hatutarudi nyuma katika vita hii.

Dr. Slaa Umeshafanya kosa la kususa, NAKUSHAURI USIFANYE KOSA LA KURUDI..
Naaimini umenisoma ila tangaza haraka sana ili iwe ni rasmi.
Mnyika naye alijitoa ila watu walimuuliza kwa umri wake na alipofika kisiasa anadhani atakuwa anafanya jambo sahihi? Akachanganya na zake akaamua kurudi.
 
Dr Anaenda Italy na haendi Vatican

Anaenda huko kwa sababu ana marafiki wengi na anaona anaweza kukaa vyema kwa kipindi kijacho

Nina uhakika na habari hizi


Mkuu sasa tukisema Dr. Slaa ni mnafki tunakosea (kama hayo unayoyasema ni kweli)

Alikuwa anapigania Watanzania wote ili CCM itoke madarakani, sasa kwanini na yeye sasahivi hasikilizi hizo sauti za Watanzania kama kweli alikuwa na uchungu nazo?? Wanavyama wa UKAWA na Watanzania wengi kwa ujumla wanataka CCM iondoke, kwanini yeye anatusaliti?? Sisi Watanzania tumemridhia huyo Lowassa kwanini yeye hatusikilizi?? Nilidhani ni CDM pekee ndio inaupigania UKAWA lakini jana na juzi nimeona live kwenye TV wanachama wa CUF wakimrushia maneno mazito aliyekuwa mwenyekiti wao LIPUMBA.. Hicho pekee kinaonyesha ni kwa jinsi gani watu wanautegemea UKAWA uwakomboe..

Mimi ningeona Dr. Slaa kama anasema kuna jambo halikuwa sawa, angesaidiana na wenzake kuiondoka CCM kwanza then mwishoni wawe wameshindwa au wameshinda ndio angefanya hayo maamuzi. Angeheshimika sana kwa hilo na daima asingesahaulika na Watanzania. Hii kukimbia nchi na kwenda kuishi huko mbali ni unafki uliopitiliza, askari anafia vitani na kamwe harudi nyuma.

Lakini nikuweke sawa tu, Wananchi wanaitegemea sana UKAWA iwaondolee CCM, hao UKAWA wakizingua au nyie CCM mkichakachua huu mwaka utakuwa mbaya sana kuwahi kutokea kwa wanachama/kada wa CCM. Juzi tu tuliona wanachama wa CCM wakizomewa pale K/koo, kule Mtwara tulishuhudia nyumba za wanavyama na viongozi na ofisi za CCM zikichomwa moto.. Hiyo ni tafsiri ni kwa kiasi gani mnachukiwa. Sasa na hizi ngonjera za kina Slaa na Lipumba ndio zinawaongezea hasira zaidi kwamba watu tuliowaamini wataiondoa CCM kwa boksi la kura wanatugeuka ghafla tena tukibakiza safari ndogo, hapo sasa ndio wenyewe wataamua kuingia barabarani. Siombei haya, lakini tutayaona kama mtaendelea kufanya fitna zenu kuivuruga UKAWA.
 
Mkuu Wewe Ndiyo Leo Unajua au Kutambua Kuwa Watanzania Ni WANAFIKI TULIOTUKUKA? Hao Wote Uliowanukuu Hapo Majuzi Ndiyo Walikuwa Wanamdhihaki Mno Dr.Slaa Leo Ghafla Wamegeuka. Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu Kupitia Mwanae Wa Kipekee Yesu Kristo KUNIONYESHA Na KUNITAKA Niwe Mwana CCM DAIMA Hadi Hapo ATAKAPOKUJA KUNICHUKUA Kutoka Huku Duniani Na Kwenda Na Kadi Yangu Ya CCM Paradiso.

Kijana. Wa escro huyoo.wewe ndio ulibeba zile sandarusi za fedha sio ??
 
Aisee, sasa Dr amekwambia ni sababu ipi imepelekea yeye kuachana na CDM!

UKAWA tulikupenda lakini mamluki wamekupenda zaidi.

KWAHERI UKAWA.

Kuachana na Imani na Misingi ya Chama....
Chama kushindwa kusimamia kinachoyahubiri
 
Mke anathamani kubwa sana. Mke pia ni mshauri mkuu wa familia. Tumheshim Josephine ili azidi kumtunza vyema Dr. W. Slaa.

ana mke gani?mbona mnadhalilisha hii heshima ya ndoa?yaani jitu linazini zee zima halafu muse eti mkewe nyie vipi?chadema ni genge la wazinifu na walaghai ndio maana jembe letu professa baada ya kuona unafiki wao akatimka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom