Dk. Slaa aungopea umma mjini morogoro

Hivi Dr Slaa nae ana size yake ndani ya CCM? labda ajifananishe na wapora wake za watu huko na aachane kabisa na makada wa CCM.
Hata wewe P, umefikia hii stage? na taluma yako unajivua nguo kiasi hiki?
 
Babu anazidi kuzeeka vibaya na kila siku anazidi kupoteza kumbukumbu
unajua kuna vijana ccm ambao mawazo yao ni ya kizee kuliko hata hao unaowaita eti wamezeeka kwa mtazamo wa ukomo wa ubongo wako?
 
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu

.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"

.

unajua mtu kabla ya kuwa katibu wa askofu anakuwa na vigezo gani
chezea kanisa katoliki wewe
 
Ukiona mbabu ana ndoto ya kuingia ikulu ujue anaupungufu wa kinga za mwili
 
NAIJUA SANA ELIMU YA SLAA. HII HAPA KWA UFUPI:

1: MWAKA 1972-1973 ALISOMA CERTIFICATE IN PHILOSOPHY

2: MWAKA 1974-77 ALISOMA CERTIFICATE IN THEOLOGY

3: KISHA MWAKA 1977-1981 ALISOMA PHD YA SHERIA ZA UKRISTU MBAYA ZAIDI HATA BILA KUSOMA SHAHADA YA KWANZA NA NDIYO MAANA SIKU ILE PALE MOROGORO ASILIMIA 78 YA MAZUNGUMZO YAKE YALIKUWA NI MATHAYO 9;4

4; baada ya hapo slaa alisoma alama za nyakati na hivyo kwenda kusoma elimu hii ya secular ngazi ya advanced diploma mwaka 1981 na kisha mwaka 1985 alisoma certificate in management

mkuu hiyo ndo elimu ya katibu wenu wa chadema saccos. kuna raisi hapo
 
slaa amechanganyikiwa na mambo ya josephine kwa hiyo kila akianza kuzungumza anamfikiria mkewe wa kupora
Inaelekea alimtosa mama yako mbona kila siku habari za Josephine hata mahala pasipostahili Kinana si saizi yake kwa sababu ni mwizi ni jangiri,meli zake zinafilisi nchi,yeye mwenyewe kaingia ubia wa gesi na kampuni ya Artumus sasa atakuwa vipi ya saizi ya mfuja mali za nchi
 
NAIJUA SANA ELIMU YA SLAA. HII HAPA KWA UFUPI:

1: MWAKA 1972-1973 ALISOMA CERTIFICATE IN PHILOSOPHY

2: MWAKA 1974-77 ALISOMA CERTIFICATE IN THEOLOGY

3: KISHA MWAKA 1977-1981 ALISOMA PHD YA SHERIA ZA UKRISTU MBAYA ZAIDI HATA BILA KUSOMA SHAHADA YA KWANZA NA NDIYO MAANA SIKU ILE PALE MOROGORO ASILIMIA 78 YA MAZUNGUMZO YAKE YALIKUWA NI MATHAYO 9;4

4; baada ya hapo slaa alisoma alama za nyakati na hivyo kwenda kusoma elimu hii ya secular ngazi ya advanced diploma mwaka 1981 na kisha mwaka 1985 alisoma certificate in management

mkuu hiyo ndo elimu ya katibu wenu wa chadema saccos. kuna raisi hapo
Baba yako angekuwa ndio anatambua PhD za watu ndio tungekuamini lakini maadamu ni chombo cha serikali kilichowekwa kwa mujibu wa sharia tunathamini elimu yake na process nzima aliyopitia elimu hiyo,by the way Kinana aliyesoma kila aina ya shule nzuri ametusaidia nini zaidi yakuingia kwenye biashara haramu za binadamu
 
Ni mzinifu kuliko mwenyekiti wenu,anayebeba kila mwanamke anayemkalia mbele yake?
mpaka watoto wa shule?!!!!
 
Yeye ndo anakosa usingizi kwa jinsi anavyoiona ikulu ikimpitia mbali
Yaani umeingia hapa JF juzi ukaona uingie na Uzi unaomuhusu Dr.? Imekula kwenu na sikilizia maumivu ya majibu utakayo teremshiwa hapa!
 
Mwenye 'CV kubwa' yupo bize kuboresha CV yake, hana muda wa midahalo

elephant1-20120904181820105747-620x414.jpg

....jamaa hawana aibu kweli wamevaa sare ya chama chao hata wakati wanahujumu uchumi...?!,au ndo maana wamepewa nafasi za juu ili kutekelieza malengo ya chama...
 
Kila ukizeeka na akili zinapungua usimshangae slaa shangaa wale vijana wasiojielewa kuamini kila asemacho
 
Mleta mada usiwe mburula tofautisha Dr na jangili hapo ndo utajua kwamba sio size yake shame on you gambaz
 
Kuna watu wametumwa humu jf kwa kazi maalum.mtu akiangalia comment zao kwa makini anaweza kuwajua.
 
Nyadhifa alizowahi kushika mh Dr Slaa huwezi kulinganisha na za mwizi wa pembe za ndovu.

Kinana zaidi ya ubunge wa hapa Arusha hajawahi kuwa na nyadhifa nyingine zaidi ya mjumbe wa kamati kuu ya magamba.

Angalia elimu ya Dr Slaa then uangalie na ya huyu jangili wa nyara za serikali. Yaani utofauti wake ni sawa sawa na mbingu na ardhi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hee huyu babu kaanza kujinadi kama yeye kidume hapo ndo anaharibu kabisa kinana kokote ulipo kama umesikia hili usijibu lolote kwani ndio jibu la mjinga hilo tena dunia haitambui hivyo alivyosema na imeshangaza kila mwenye akili timamu yani slaa mwenye mawazo sawa na josephine leo asimame na kinana? pumbavu huyu babu.
 
Dalili za kufilisika kisiasa,mawazo ya mzee huyu kwa sasa hayana maana tena.
 
Nyadhifa alizowahi kushika mh Dr Slaa huwezi kulinganisha na za mwizi wa pembe za ndovu.

Kinana zaidi ya ubunge wa hapa Arusha hajawahi kuwa na nyadhifa nyingine zaidi ya mjumbe wa kamati kuu ya magamba.

Angalia elimu ya Dr Slaa then uangalie na ya huyu jangili wa nyara za serikali. Yaani utofauti wake ni sawa sawa na mbingu na ardhi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
inawezekana umemjua kinana juzi kwa kuwa wewe ni .com pole ngoja uletewe mambo yake hapa utajua hicho cheo alichopata juzi ni cha ngapi
 
unazingumza kitu gani unaijua elimu ya slaa. au unapiga domo
hahahaha,elimu ya slaa...hahahaha...!!

Nasikia eti hajui kingereza,hawezi kututia aibu kweli kule UN?.
Halafu hata apige mkanda nje hatokelezei,kiasi kuwa pale UN wakimuona watafikiri ni homeless kutoka mitaa ya Blooklin
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom