Kama kuna mtanzania yeyote anayedhani kuna mtanzania yeyote yule ambaye amewahi kuwa religion extremist (yaani alikuwa kiongozi wa dini, call it Sheikh, Mchungaji, Askofu au Padri) atawahi kuongoza nchi hii nadhani atakuwa amepotoka mno na hiyo ni ndoto ya mchana....
Watanzania hapendi extremist yeyote... yanayongolewa kuhusu wanasiasa ambao wamekuwa viongozi wa dini kwenye maisha yao sio kwamba wana makosa yoyote bali it is simply the fact that hakuna uwezekano kwa kiongozi aliwahi kuwa wa dini kuongoza nchi hii... mjadala mwema!
Nanu,Mpevu, binafsi nimekupata. Lakini kauli hii kama ni ya kuasa ingefanya kwa Watanzania wote bila kutaja neno Waislamu. Kwanini: itajenga hisia kuwa kwa sasa wanaoandamana ni Wakristo na siyo Waislamu, hivyo baadhi ya Waislamu wanaweza kujitokeza kuleta vurugu katika maandamano hayo kwa kusema kuwa Wakristo wanataka kuiangusha serikali inayoongozwa na Muislamu. Huu ni upande mmoja.
Upande mwingine ni kwamba Waislamu pia wanaweza wakapuuzia agizo la Mufti na hapo Mufti anaweza akawagawa Waislamu katika makundi ya kuhasimiana yenyewe kwa wenyewe!! Na kama Waislamu wakiendelea kuwepo kwenye maandamano Mufti atachukua hatua gani?
Ni vizuri watu wakajua kuwa maandamano yanayotokea yakiongozwa na Chadema, Je yanasema serikali iliyopo madarakani hatuitaki au inasema mapungufu ya serikali ili kuiamsha serikali ifanye kazi yake ya kuhudumia wananchi.
Lakini ya Mufti sishangai maana aliyeanza kulalamika ni JK mwenyewe wakati akiwa kama Rais na Mwanasiasa Mwenyekiti wa Chama Kinachotawala cha CCM ilitakiwa ajibu hoja zilizokuwa zinashadadiwa na Chadema kuwa kama ni uongo aseme kama serikali wamefanya nini na kama hawajafanya nini mipango yao na tutarajie nini wakati gani. Wananchi tungeweza kuelewa na kuipa serikali muda lakini kwa serikali kulalama kwa wananchi, sasa wananchi walalame kwa nani?
Hayo matatizo yaliyopo yafanyiwe kazi na hilo ndilo suluhisho la manung'uniko ya wananchi. Wakumbuke tu kuwa Misri ilipiga marufuku maandamano kwa miaka 30 iliyopita na hata juzi wananchi wake walipoandamana mpaka Mubaraka akaachia ngazi bado sheria hiyo ilikuwapo na kwa sasa imefutwa.
Jamani viongozi wafunguwe masikio na macho wawasikilize na kuwatazama wananchi na wasitumie uwezo na vyeo vyao vibaya. Usipowasikiliza wananchi, masomo utayajifunza Mwanza kwa Masha na Diallo. Waliona wao walifika lakini walisahau kuwekeza kwa wananchi wapiga kura!!!
Nimekusikia kaka. Nimekurupuka. Kumradhi!huenda ukawa na lengo zuri sana la kufikisha ujumbe lakini maneno uliyotumia hayapendezi, hayajengi zaidi ya kujaza chuki baina ya mtu na mtu, yule sheikh ni kiongozi wa watu na unaposema hana akili ya kufanya hivyo ina maana hata waliyeridhia yeye kuongoza hawana akili. Kauli hizi zichungwe kwa sababu ndo huwa mwanzo wa chuki ambazo baadae huzaa machafuko katika nchi. Yaliyotokea rwanda yalisababishwa kwa kiwango kikubwa na kauli zenye chuki ambapo hamna mtu mwenye akili aliye tayari kuzipokea na kukubaliana nazo. Unapaswa kuwa na kauli za busara hasa linapokuja suala linalogusa imani ya mtu kama hili.
Heshima kwenu wanajamvi,
Wakuu kauli ya Sheikh Mkuu Simba inaweza kuwashangaza wasiofuatilia siasa za BAKWATA na CCM.
BAKWATA kama taasisi ya waislam Tanzania imeshindwa kutekeleza majukumu yake ya msingi,si ajabu waislam wengi Tanzania wanaiona kama ndiyo chanzo cha kudidimia kwa Uislam Tanzania katika sekta za kiuchumi,kijamii,elimu na Afya.Ofisi za makao makuu BAKWATA Kinondoni ni kielelezo halisi jinsi ilivyoshindwa kusimamia mambo yake yenyewe,kuna kipindi hata mkutano wa kumchagua Mufti ulishindwa kufanyika kisa uswahili na ubabaishaji ulipitiliza.
BAKWATA imeshidwa hata kumlipa mshahara Sheikh Mkuu hali iliyoilazimu serekali kujitolea kinyume cha katiba kumlipia mshahara Sheikh Simba jambo hamblo ni aibu kubwa kwa Waislamu wote Tanzania.Baada ya viongozi kubaini utamu wa kulipwa mshahara na marupurupu kibao wakaleta hoja ya mahakama ya Kadhii ili kutanua uwigo wa viongozi wengi kulipwa mishahara na serekali.
Sheikh Mkuu lazima aseme upupu wowote ili mrija wake usikatwe.
Heshima kwenu wanajamvi,
[

we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
Nimeshaomba kumradhi katika thread moja. Ukinipakulia ubwabwa nitakula tu.We jasusi ni BWABWA huwezi kusema sheikh Mkuu hana akili. we unazo ngapi hizo akili?
Kama kuna mtanzania yeyote anayedhani kuna mtanzania yeyote yule ambaye amewahi kuwa religion extremist (yaani alikuwa kiongozi wa dini, call it Sheikh, Mchungaji, Askofu au Padri) atawahi kuongoza nchi hii nadhani atakuwa amepotoka mno na hiyo ni ndoto ya mchana....
Watanzania hapendi extremist yeyote... yanayongolewa kuhusu wanasiasa ambao wamekuwa viongozi wa dini kwenye maisha yao sio kwamba wana makosa yoyote bali it is simply the fact that hakuna uwezekano kwa kiongozi aliwahi kuwa wa dini kuongoza nchi hii... mjadala mwema!
Mbona yale makontena baadhi ya vifurushi vyake vilikamatwa Musoma? Serikali ya CCM ikanyamaza.Hivi Yale makontena ya kura kuna utafiti ulifanyika? Mh Slaa pamoja na kuwa sina mlengo wowote lakini nashauri si kila hoja ukurupuke kujibu maana viongozi Wa dini yenu wakikusifia unakaa kimyaaa wala huuulizi utafiti huwa sipendi kuchangia masuala ya dini lakini hapa imebidi I am not happy with Padri Dr Slaa Statement yenye kamfumo ka dharau kwa mbaaaali