Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Naendelea kuguote.'you cant fault peaople for GUESTINING our MOTIVE or why we should indendify with christianianty when we have this long history of these things,enslavement,MURDER etc.i have read church history from the catholic to protestant to evangelical to copt church and beyond trust me it is possible to form a lastinh bonds and love those who are not of your religion you will never lose your christianity identity UNLESS IT WAS NOT THERE.mwisho wa kunukuu
 
Jamani lakini hawa ndugu zangu vipi mi sitaki kuanzia udini hapa ila sijajua elimu ya mufti ikoje ukiondoa elimu ahera sijui elimu dunia ikoje kwao. Kwa hiyo kwa mi ni no comment.
 
Well said Dr. Slaa no reaearch no right to speak ! Hatuhitaji propaganda za kisiasa kuhamia makanisani na misikitini tunahitaji wa wa kuu wa dini wanapo amua kutoa matamko yawe yatofauti na wahuni wanywa gahawa na kashata maskani.......na hawawezi kufanaya hivyo bila kufanya utafiti wa yale wanayo taka kuya tolea matamuko.

Hatahivyo una weza ukaona nikwanamnagani baadhi ya viongozi wadini wanavyo dhalilisha dini zao au madhehebu yao kwa kutoa matamko ambayo yamejengwa na hisia na mitazamo binafsi.Hakika kwa utaratibu huu wa kuu wa dini lazima tuwa kemee bila kufanya hivyo wataendelea kuzifanya taasisi zao kuonekana dhaifu na hatimaye kudharaurika katika jamii.

Unaweza ukawa huna utafiti lakini ukatoa tamko lisilo hitaji watafiti kuhoji uelewa wako na taasisi yako kwa ujumla, Kwamfano sina uhakika kama kanisa Katoliki lilifanya utafiti juu ya tuhuma dhidi yake kwa kukifadhili CDM lakini rwaichi aliwataka CCM kujitazama na kuji uliza kwa nini Dr. Slaa aliondoka CCM wakipata jibu watajua nani alaumiwe na akakataa kabisa kuwa kanisa hali toi ufadhili CDM.Yawezekana kweli kanisa halitoi ufadhili je marafiki zake Dr. Walioko katatika kanisa hili napengine wananafasi kubwa katika kanisa hili ni kweli hawa toi ufadhili hata kidogo?

Lakini Majibu ya Rwaichi haya msumbui sana kwa mtu anayetaka kuhoji kama kunautafiti umefanywa au laa juu ya tamko lake........
 
Naendelea kuguote.'you cant fault peaople for GUESTINING our MOTIVE or why we should indendify with christianianty when we have this long history of these things,enslavement,MURDER etc.i have read church history from the catholic to protestant to evangelical to copt church and beyond trust me it is possible to form a lastinh bonds and love those who are not of your religion you will never lose your christianity identity UNLESS IT WAS NOT THERE.mwisho wa kunukuu
 
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.Kauli hiyo ya Dk Slaa imekuja siku moja baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania , Mufti Issa bin Shaaban Simba kukishutumu chama hicho kwamba maandamano yake kinayofanya hivi sasa yana lengo la kuvuruga amani ya nchi.

Katibu Mkuu huyo wa Chadema alisema ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Mufti Simba kuwa chama chake kina lengo la kuvuruga amani nchini.“Nimeshangazwa sana na kauli ya Sheikh Mkuu, Mufti Simba aliyoitoa kwa vyombo vya habari.
Kimsingi kama alitaka kujua undani wa maandamano yetu angetuuliza kuliko kutoa tamko bila kujua hata undani wa Chadema,” alisema na kuongeza kuwa baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitoa tamko bila ya kufanyia utafiti jambo ambalo linawafanya watoe maelezo yasiyo na ukweli na yanayolenga kuwapotosha na kuchochea chuki kwa wafuasi wake.Dk Slaa alisema Chadema inajua inachokifanya, hivyo kama mtu anahitaji kujua madhumuni ya maandamano yao ni vyema akawauliza ili

kitoe ufafanuzi kwa kuwa kila jambo liko wazi kwa maslahi ya wananchi wenyewe.“Sioni haja ya kulumbana na kujibizana kila kukicha kupitia vyombo vya habari. Kama wana hoja ya msingi wailete sisi tutaijibu kwa hoja siyo kuongea mambo kwa mtazamo na propaganda za kisiasa. Unapozungumza ni lazima kuwe na utaratibu wa kutafiti unachokizungumza,” alisema Dk Slaa.

Aliwataka viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya chama hicho ili kusikia na kujua kinachozungumzwa na Chadema kuliko kusubiri kusimuliwa na watu na kisha kuyaamini maneno yao.Alisema amelazimika kumjibu Mufti Simba kwa kuwa amesikitishwa na kauli hiyo ambayo alisema badala ya kuwasaidia Watanzania, inachochea chuki na kuruhusu ufisadi kuendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam juzi, Mufti Simba alisema: “Wanasiasa wanataka kuivuruga nchi kwa visingizio kuwa wanataka kuilinda amani, hivyo Waislamu tumeamua kuvunja ukimya uliodumu kwa muda mrefu na kuamua kukekemea vitendo hivyo.”Mjadala wa uhalali wa mikutano na maandamano ya Chadema uliibuliwa na Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia taifa kupitia redio na televisheni mwishoni mwa Februari kwamba chama hicho cha upinzani kina lengo la kuleta machafuko nchini.

Kauli hiyo ilifuatiwa na onyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira kuwa Chadema kisije kuilaumu Serikali itakapokosa uvumilivu na kuanza kutumia dola kukishughulikia.Wakatihuo huo; Dk Slaa amesema ziara zinazofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali ni matunda ya maandamano ya chama hicho katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alisema Serikali imeanza kutekeleza madai mengi ambayo Chadema ilitaka iyafanyie kazi ndani ya siku tisa. Hata hivyo, alisema chama hicho kitaendelea kutia shinikizo hadi mambo yote yatakapokamilishwa.“Hayo ni matunda ya maandamano yetu japo utekelezaji wake hauridhishi kwa kiwango tulichotaka.

Lakini imedhihirika kwamba mambo hayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi. Inashangaza kuona wengine wanayaita maandamano kuwa ni ya kuvuruga amani,” alisema.Alisema kuwa matunda mengine ya maandamano ya Chadema yaliyofanyika mkoani Mwanza ni tamko la Rais la kupunguza bei ya sukari kutoka Sh2,200 hadi Sh1,700.Rais Jakaya Kikwete anatembelea wizara mbalimbali kukagua utekelezaji wa maagizo ya yake.

Dr Slaa kwa hawa jamaa awaache tu!! maana natajipasua kichwa,
 
Shida moja kubwa ni watu kutumika kusema bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha juu ya mambo haya hivyo kuna ulazima wa kufanya hivyo alivyosema Dr.Slaa ni kweli kabisa huyu naye anatumika
 
Kamwambie Slaa kuwa mufti na timu yake wanajua A-Z kuhusu chadema. Pia mwambie kuwa malengo ya chadema yalijulikana b4 election. Pia mwambie Slaa kuwa yeye kama amefanya utafiti aombe mdaharo na mufti tuone nani ataumbuka. siku zote Nyani haoni k....le kwahiyo chadema kupitia washabiki wake masela na wazee wenye uchu na madaraka hawajioni pindi wanapoenda ndivyo sivyo, uzalendo wameweka ma...oni na uchu wa madaraka wameweka mbele. Muulize Padri Slaa lini alisimama kuwakemea maaskofu kwa ududuzi wanaoufanya? Mufti itikadi yake inaamini kuwa Dini na siasa huwezi vitenganisha ama Slaa na maaskofu wenzake itikadi yao ni kuwa ya Kaisali muachie kaisali na ya mungu muachie mungu sasa ilikuwaje maaskofu wakatoa ILANI YA UCHAGUZI? na kilicho cha ajabu ilani hutolewa na chama kama muongozi wao wa kusaka madaraka, sasa je maaskofu ilani yao ni ya chama gani? mbona Slaa hakuwasema kuwa wamechemka.Pia Slaa sikumsikia akiwasema maaskofu walipotoa tamko kuwa hawamtambuai meya wa Arusha, ivi wao ni madiwani? maana meya huchaguliwa na madiwani na ndio wanaweza sema hawamtambui meya, haya maduduzi yote hayaonekani kwa watu wenye jicho moja. mwisho kamwambie Slaa ajibu hoja na aache kulalamika. otherwise aitishe mudaharo
 
Kauli ya sheikh ni ya kuangaliwa kwa umakini mkubwa, tunamheshimu sana kwa wadhifa wake ndani ya dini yetu na jamii kwa ujumla lakini kamwe asijiaminishe kuwa yeye anaipenda sana amani ya nchi hii kuliko umma wa watanzania wote. Amani yetu inakuwepo pale tu HAKI inapokuwa inapatikana na kufikika kwa kila mtanzania, huwezi kunishawishi kwa hali ya tofauti ya kipato miongoni mwa wakazi wa mjni (vijijini utofauti/ kiwango cha umaskini ni kikubwa zaidi) watu hawa wana amani, utulivu wa kundi kubwa la watz usikupofushe na ukadhani wana amani. Mwenye njaa hana amani kiongozi wangu

Nafikiri tumo tunaomuheshimu sana Dr Slaa lakini mtizamo wetu hauko pamoja nae kwa hivyo sisi tutaendelea kusema kuwa Amani yetu tunaipenda na hiyo Amani ndio iliyotufanya sasa tusiridhike na hali ilivyo sasa. Hata hivyo watu wa kweli na wa kukumbukwa humu Tanzania ni wachache akiwamo Saidi Abdalla Mwamwindi aliyekuwa mkweli hadi kuuliwa kwake. Sasa tuko huru kujiendeleza, kusema, na kutowa maoni ya kuendeleza nchi ndio tunasema kuwa Amani haina maana. Ama kweli ...........
 
Shida moja kubwa ni watu kutumika kusema bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha juu ya mambo haya hivyo kuna ulazima wa kufanya hivyo alivyosema Dr.Slaa ni kweli kabisa huyu naye anatumika
Hivyo mtu na akili yake aende akamuulize mtu anaesema kuwa nchi isitawalike au anaesema kuwa Bora kupigana kuliko kudanganywa na Amani? Ama kwa mimi sikuona haja ya utafiti hapo kujuwa kuwa amani haitakiwi.
Pengine ingekuwa vizuri akwatwambia maana ya maneno yake ili tujuwe kuwa kweli havunji amani.
 
Katika maelezo hakuna mahali amedharau dini ( na hawezi kufanya hivyo) ila ameshauri viongozi wetu wa dini zote wafanye utafiti ndipo watoe matamko. Kwa hiyo hoja sasa ni kujua kama Pengo alifanya utafiti ama la. Kulijua hilo ni pale unaposikia tamko ambalo content zake ni nje ya kile ambacho hicho chama kinawakumbusha watawala. Kumbukeni vyama vya upinzani ni watch dog kwa hiyo lazima viikosoe serikali na kuihimiza kurectify mambo yaendayo vibaya.

Pengo huwa anaongea kwa utafiti? Mbona mnataka kutufanya hatuelewi agenda yenu kati ya chadema/katoliki? Utafiti gani kila kitu kiko wazi! Huyo Slaa aliwahi kusema nchi haita tawalika! Anataka Mufti afanye utafiti wa gani!
 
Shehe mkuu sijawahi kumsikia akikemea ufisadi!! sijawahi kusikia akikemea Dowans n.k......asijishushie hadhi amani ipi hiyo? Angewashauri waumini wake jana waliompeleka maiti kwa mwajiri wakatembeza kipigo hadi mwajiri akaatoa pesa ya msiba milioni2!, angewaambia msiende mtavunja amani, au awalaani basi kwa kuvunja amani!! tuna mheshimu sana Shehe Simba, amani na dhiki ni uongo kama ndiyo dini anayoamani hivyo ajifikirie mara mbilimbili!!
Hii tabia ni aibu mno kwake kwa watu wenye akili!...
 
Nakushauri ukapate haraka sana kikombe kwa Babu Loliondo.

Kifupi unatakiwa uwe mtu wa kufikiria yale ya mbele na sio kusukumwa kama kondoo. Padre Slaa ana siri nzito sana na amelenga mbali sana katika kuhakikisha nchi hii inaingia kwenye vurugu na uvunjifu wa amani.

Kifupi ebu tazama sura na muundo wa Chadema hususan mtazamo wake. Utaona imelenga zaidi na kujikita kikanda, kikabila na kidini jambo ambalo ni la khatari sana kwa mustakabali wa taifa hili na kwa kuliona hilo Mufti anazindua waumini wake wawe makini na hilo.

Soma alama za nyakati kabla kuropoka

Wewe na wenzako kama mufti simba ndio mnatakiwa msome alama za nyakati.Shame on you.
 
Kamwambie Slaa kuwa mufti na timu yake wanajua A-Z kuhusu chadema. Pia mwambie kuwa malengo ya chadema yalijulikana b4 election. Pia mwambie Slaa kuwa yeye kama amefanya utafiti aombe mdaharo na mufti tuone nani ataumbuka. siku zote Nyani haoni k....le kwahiyo chadema kupitia washabiki wake masela na wazee wenye uchu na madaraka hawajioni pindi wanapoenda ndivyo sivyo, uzalendo wameweka ma...oni na uchu wa madaraka wameweka mbele. Muulize Padri Slaa lini alisimama kuwakemea maaskofu kwa ududuzi wanaoufanya? Mufti itikadi yake inaamini kuwa Dini na siasa huwezi vitenganisha ama Slaa na maaskofu wenzake itikadi yao ni kuwa ya Kaisali muachie kaisali na ya mungu muachie mungu sasa ilikuwaje maaskofu wakatoa ILANI YA UCHAGUZI? na kilicho cha ajabu ilani hutolewa na chama kama muongozi wao wa kusaka madaraka, sasa je maaskofu ilani yao ni ya chama gani? mbona Slaa hakuwasema kuwa wamechemka.Pia Slaa sikumsikia akiwasema maaskofu walipotoa tamko kuwa hawamtambuai meya wa Arusha, ivi wao ni madiwani? maana meya huchaguliwa na madiwani na ndio wanaweza sema hawamtambui meya, haya maduduzi yote hayaonekani kwa watu wenye jicho moja. mwisho kamwambie Slaa ajibu hoja na aache kulalamika. otherwise aitishe mudaharo

Kamanda nimeipenda hii! Imefika wakati Chadema na wafuasi wao wanataka kuona Watanzania hawaelewi ujinga wanaofanya kusambaratisha taifa letu! Pengo anajulikana wazi na kanisa wana agenda yao! Dr Slaa hivi unataka kumfanya Mufti ni mjinga kiasi cha kusema hakusikia maneno yako ya kumpa JK siku 9,Nchi haita tawalika, Maneno haya yanahitaji utafiti!? Chadema naomba mjipange kisiasa zaidi lakini mchezo wemu na Kanisa Katoliki uko wazi kabisa kila mtu anajua labda mashabiki wenu tu ndio wana ona kawaidi! Padri Slaa unahitakiji kukaa na kutathimini ushirika wako na Kanisa kuimarisha Chadema!
 
Ndugu wana JF, viongozi wa dini ni mwanga wa jamii na ni wajibu wao kuwaongoza waumini wao katika imani yao. Pia ni wajibu wao kuiasa jamii kuacha mabaya na kutenda mema - ikiwa ni pamoja na kusifia mema yanayofanyika katika serikali (mfano maendeleo) ili yaendelee kutendeka na kukemea maovu ili yaachwe kabisa.

Kuwajenga waumini kiimani kunasaidia pia jamii kuweza kuwa na uhuru wa kuchagua kipi cha kufanya na kipi cha kuacha. Viongozi wa dini hawapaswi kuwachagulia waumini wao mke wa kuoa, kazi ya kufanya, sehemu ya kuishi, nyumba ya kujenga, chama cha kujiunga au hata mkutano wa kuudhuria au kutohudhuria.

Kauli ya kiongozi wa dini Sheikh Mkuu Mufti Simba ina zua maswali kadhaa, ambayo ni vizuri akayatafakari:

1. Kusema maandamano ya Chadema yana lengo la kuleta machafuko na hivyo kuwaawa Waislamu wote wasishiriki maandamano ni sawa na kuwaasa Waislamu wasijiunge na chama hicho, anachodai kina lengo la kuleta machafuko.

2. Kufanya hivyo ni kuingilia uhuru binfasi wa waumini kuhusu uchaguzi wao wa mambo ya kisiasa.

3. Kwa vile kwa sasa hapa nchini kuna kauli za udini zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini, ni wazi kwamba hata kauli ya Sheikh Mkuu Mufti ina harufu ya udini na maslahi ya kisiasa.

4. Swali kwa Sheikh Mkuu Mufti Simba ni hili:

i) Je, kiongozi huyu wa dini ataendelea kutoa kauli kama hizo hata kwa vyama vingine ili Waislamu wasishiriki hata chaguzi, mikutano ya chama na kuhudhuria shughuli nyingine za kichama kwa vyama hivyo au ni kwa Chadema tu ameona kuna tatizo hilo la kuchochea fujo?

ii) Kwa Waislamu walio ndani ya Chadema na ambao hawaoni chama hicho kinaandaa maandamano ya kuleta fujo au machafuko wamweleweje Mufti Simba?

iii) Mufti Simba anaona Waislamu washiriki maandamano ya vyama vipi vya siasa?

iv) Kama maandamano ya Chadema yana lengo la kuleta machafuko, je Sheikh Mkuu Mufti Simba ana kauli gani kuhusu Waislamu kujiunga au kutojiunga na Chadema (chama, ambacho anakituhumu kuleta machafuko)?
 
KWA MTU MWENYE UCHUNGU NA NCHI YAKE, CHADEMA WAKO SAHIHI KABISA. Amani haipo kwa watu wenye njaa, tusiimbe amani tukaikosa definition yake. Mtu mwenye njaa hana amani, sasa amani aliyosema Mheshimiwa Mufti ni ipi? Chadema wako sahihi.

Chadema ni chama cha wote wenye dini na wasio na dini (wenye dini za jadi), hivyo Mufti kapotoka!
 
Nimeshagundua mapinduzi ya kimaendeleo yatakwamishwa na udini.Ni lazima kuwe na respect between hizi dini mbili hapo bongo.

However swali linakuja; ni kivipi respect hiyo itapatikana?je inaweza kupatikana bila vurugu?

Ni uweli usiopingika kuwa hii issue haiwezi kuwa ignored if we are to move forward...Nitaelezea kwa ufupi ni kwanini...

Inaonekana kuna wakati kila mtu itabidi atangaze dini yake kabla ya kusema chochote in respect to campaingning for elections.
Ile issue ya kupokezana uongozi wa nchi kwa vigezo vya kidini ni wazi inaelekea ukingoni.

Kwasababu kama wananchi hawaletwi tena pamoja kwa kutumia issue za kitaifa ie ufisadi,umasikini nk,then sidhani kama muungano wa wananchi wenye kuzingatia udini utaleta manufaa zaidi ya kuzichapa wenyewe kwa wenyewe.

Nilipotembelea bongo 2007,niligundua Tanzania imebadilika sana,imebadilika kwa misingi ya kidini,yani siasa na dini havitenganiki tena,ukimzungumzia mwanasiasa ambaye ni mkristo mbele ya musilam,basi ni kumtia kichefuchefu musilam huyo,sikuamini.

Na tokea hapo niliamini kuwa ni lazima kuna siku tutazichapa,itatokea kwasababu kama kelele za udini za waislamu zinatokea wakati rais ni muislam,then sijui itakuwa vipi kama rais ni mkristo ama anayegombea ni muslam.

Tunapouliza maswali mbona haya malalamiko hayakuwepo when rais alikuwa mkristo hatupati majibu sahihi.

Shida ya maextremist being from Moslems or Christians,most of the time si kwamba wanataka usawa,bali dini moja iwe juu ya nyingine!No living side by side with peace and harmony and with mutual respect...Kuna wenye kuamini kuwa ni lazima dini moja itawale in every aspect of our lives,na ukiwa dini ya tofauti ni uadui mkubwa sana tu, na maneno mengi ya dhihaka dhidi ya wasio wana dini wao,na ndio maana kuna wenye kuamini udini in everything,na ndani ya watu wenye kufikiri namna hii kwasababu wanahisi all the time kuwa kila uamuzi unazingatia udini,basi watakuwa wenye kulalalmika tu,na ukiwapa nafasi,wao wataendeleza udini kwasababu ndicho wanachokiamini,yani kiongozi asipokuwa wa dini yao,basi wanaamini kuwa maslahi so yako hatarini.However kama wakimpata kiongozi mwenye dini yao ie JK,watataka kuprotect maslahi ya dini yao ambayo wanadhani yako hatarini,kwa hiyo utaweza kuona kuwa kupokezana uongozi kwa misingi ya udini ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu....Kiongozi atayetuondoa kwenye umasikini huu ni yule ambaye atakuwa hafungwi na maslahi ya kidini.Tatizo ni kwamba kuna wanaoamini kuwa kiongozi wa kutuletea maendeleo ni lazima atokee kwenye dini yao..Na kwa misingi hiyo basi,the only way tutapa kiongozi mwenye kujali issue za wananchi wote kiujumla,ni pale atakapokubalika na wananchi walio wengi kuwa atayatatua matatizo tuliyonayo kama jamii ya watanzania na si kama jamii ya dini hii ama ile.

Yale yaliyokuwa yakifanyika kwa nia nzuri kutoka kwa viongozi wenye busara ie Mwalimu Nyerere kwa kuwashirikisha wananchi wa dini tofauti kwenye uongozi wa nchi ili kuleta umoja wa kitaifa yanaweza kupotea kama umoja huo wa kitaifa ukitafsiriwa vibaya na vibaraka wa kidini wenye nia za kuwatetea viongozi wa kisiasa bila kujali madhara yake kwa jamii.

Kwa mfano wananchi wengi sasa wanunganishwa na vita dhidi ya ufisadi,umasikini,ujinga,njaa na maradhi..Hata hivyo kwa kustaajabia ya Musa ni kwamba viongozi wa dini especially huyu Mufti Simba,anaelekea kuamini kuwa shida hizi si za kitaifa,maybe ni shida za wakristo peke yake,sasa nashangazwa shida za waislam ni zipi?Je hatuwezi kupigania maendeleo ya nchi moja yenye wakristo,waislam,Hindu,wapagani nk?

Unapoona kuna viongozi wenye kushabikia yale yanayotutenganisha,ujue huyo ni wa kuogopwa kuliko kifo chenyewe.
Je hatuwezi kupata maendeleo ya kitaifa bila kuuana kwanza?Tafakari.
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

Pole sana ndugu naona umekeleka sana. Dr. Slaa naona amemjibu Mtu siyo dini. Kama ukiwa hauna uwezo wa kutofautisha mtu na dini hapo kuna tatizo kubwa. Na ni vigumu kukusaidia.
 
Back
Top Bottom