Dk slaa amechakachua barua

mkuu napenda kuchangia lakini nimegundua yafuatayo:

  • hujui context halisi ya neno kuchakachua,
  • hiyo barua haioneshi sehemu yoyote jina la dr ws,
  • hiyo barua sio ya jana ilikuwepo tangia kipindi cha kampeni za uchaguzi,
  • hujatuambia uchakachuaji huo alioufanya mtajwa umefanyikaje katika barua tajwa.
  • uchakachuaji unaozungumziwa ni ule unaodhaniwa kufanywa na serikali na si mtajwa.

well, hongera mkuu umeongeza idadi ya posts.

 
Dr. Silaha alikurupuka, kila atakacholetewa na watoto wa Mjini anaona ushahidi tu, kaita waandishi wa habari kuongea pumba zilizo na ushahidi feki matokeo yake kaonekana PUNGUWANi mbele za watu, aibu zimemshika kashindwa kwenda siku ya kutangazwa Rais.Pole zake
 
Ndio ni kweli amechakachua, (kama si yeye basi washirika wake) hilo wala si mjadala. NINAPENDA kumjibu mdau mmoja hapahapa chini, kuhusu tabia ambayo samahani napenda kuiita mbaya kabisa. tena tabia hii ipo kwenye forum za kibongo. wengi wanapenda kuita michango ya wenzao kwamba ni kuongeza post ama wageni wa ghafla. kwa kweli kwa watu wanaotaka kujenga hili halitupeleki mahala pazuri kwani linaashiria UBINAFSI, CHOYO, UMIMI, WOGA, UKOSEFU WA MAARIFA TETEZI na... na... na... ni vema mtu kujibu hoja husika, tania au nyamaza kabisa. Inaboa sana aisee hebu tazama hapa:

Join Date Thu Jan 2008 Posts 53 Thanks Thanked 4 Times in 3 Posts 7 Rep Power 23 Je huko pia sio kuongeza idadi ya posts kama nilivoongeza mimi:thinking:
 
Awe amechakachuliwa au la ukweli ni kwamba SLAA ana papara ikulu haimfai
 

Kaonekana PUNGUWANi na nami, wapi na lini?? Mbona hueleweki? Mbona tunawachangiaji punguani humu? Sasa unataka tuchangie nini?
 

Inaboa sana Blog zipo nyingi tuondokee
 
Basi kama ni hivyo, ingekuwa rahisi na salama zaidi kuwasiliana kwa njia ya mdomo na sio maandishi.

Wala sielewi kwanini Dk WPS aliitumia hiyo barua kwenye kampeni na baadaye kukataa matokeo. Unofortunately, hii inaonyesha lack of seriousness kwa upande wake.

 
Makame anasema ivyo bse yeye anayo barua original ndo maana ya Slaa inaonekana kuchakachuliwa

Nimegundua kama UFISADI unaneemeka nao in one way or the other lazima uuteteeeeeeeeeeee mpka mapovu yakutoke mdomoni.
 

Kiherehere cha nini? Wenzio waliotajwa mavi debe saa hizi wewe unasema ni ya kuchakachua. Waambie wahusika waenda mahakamani kwa nini wewe unawasemea?? Makame jua kuwa wananchi ndio waliompa Dr Slaa kura. Siyo Dr. Slaa peke yake anayesema kuhusu wizi wa kura wananchi wanajiuliza kura walizowapigia Chadema na Dr Slaa zimeenda wapi? Acha kiherehere chako.
 
Hivi ww ulitegemea kuwa hao wanaopewa maagizo watatekeleza ikiwa barua yenyewe haina viwango, lazima wangeiweka pembeni; SERIKALI haifanyi kazi kichovu namna hiyo; na hiyo sahihi ilishakanushwa na KABWE; hivyo anayeijuwa ni DK WPS aliyeichakachua kwa matamanio yake ya kisiasa.

Ingelikuwa ww jina lako limetumiwa na mwanasiasa kupotosha Umma ungekaa kimya? hao wamejibu ili kutunza heshima zao na pia kuutanabahisha umma na UHUNI uliotumiwa kuwadanganya kuhusu uchakachuaji; ili Umma uamue, ni nani mchakachuaji; umma ukishajua, CCM haina haja ya kuchukua hatua yoyote.

Kuhusu HISTORIA ya Dk WPS, ww unaijua? kuna data zake nyingi ambazo hazijaanikwa. kilichomtoa kwenye umisionari kuja kwenye secularism ni nini? KAANZA KUUCHAKACHUA UMISIONARI, akachakachua mtaani, akamchakachua mkewe wa ndoa, akachakachua ndoa ya WATU, amechakachua barua; siongezi la ziada, SLAA AMECHAKACHUA SANA! kumbuka unaponyooshea wenzio kidole; vinne unajinyooshea wewe mwenyewe. Aidha EPA na Richmond, kaangalie kwenye thread zake utaona, na hapa sio mahala pake.
 
Weka Hoja Ndugu yangu, usikurupuke.

Mimi siongei siasa, naongelea reality; kwanza Dkt WPS alitaka kwenda Ikulu awape Watanzania First Lady wa Kuchakachuliwa! SAD STORY

Makame anasema ivyo bse yeye anayo barua original ndo maana ya Slaa inaonekana kuchakachuliwa

Nimegundua kama UFISADI unaneemeka nao in one way or the other lazima uuteteeeeeeeeeeee mpka mapovu yakutoke mdomoni.
 
HAHAHAHAHAHAHAHA!!
HAHAHAHAHAHAHA!!!

waliotajwa mavi debe? kakuambia nani? Watu wametoa Press Releases kumuanika Kuhani wa Uchakachuaji na uongo wake.

Waende Mahakamani, tena itakuwa SUPER; kwani hiyo barua kwa MTU wa kawaida tu, anaiona siyo AUTHENTIC; kama ni punguani, tutaona; akienda tu mahakamani juwa kachemka.

kiherehere unacho wewe unaekurupuka kama alivyokurupuka BINGWA wa kuchakachua. Watanzania Jana Walikuwa kwenye sherehe za kumuapisha JK na Bilal. Rais ana uzoefu, na makamu ana uzoefu na msomi; sio takataka ya vidole viwili. Kama mtu amechakachua ndoa ya watu, na kwenye CLERGY amechemka; munataka kumpa Nchi? That is not being serious.

 
1. Lewis Makame sio Ndugu yangu

2. Lewis Makame ni Jaji mstaafu mwenye akili timamu, busara na hekima. Anayemuita kichaa itakuwa ni yeye ndio mwenye matatizo

we kwani yule kichaa wa NEC anayeitwa lewis makame ni ndugu yako au?
 
MINDA

1. Wewe unajua maana ya kuchakachua? Hiyo Barua wewe unaiona ni authentic?
2. Angeiandika in his capacity angeweka hiyo signature yake; lakini amechakachua; wewe na Gurtu = WABWABWABWAJI.
3. Naam, barua iko muda; ilaameiwasilisha NEC baada ya kuhesabiwa kura akidai hatotambua matokeo. Unakurupuka ukitokea wapi? au internet kwako ni ya taabu?
4. SERIKALI haichakachuwi, na mwenye kutoa tuhuma za namna hiyo ni PUNGUWANI.

POSTS UMEONGEZA WEWE, kwa kutaka kuonekana unaweza kuchangia; kumbe hakuna kitu; hata hivyo nimekujibu ; huenda pengine ukaelimika.
 
hebu tuletee na ule ushahidi wa kinana kuhusu matumizi ya ndege ya
serikali kulikofanywa na bibie salma. baada ya hapo utajua tofauti
ya nyaraka halali na zilizochakachuliwa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…