Dk. Slaa Ajibu Mapigo ya CCM

Waswahili husema "mfamaji haishi kutapatapa". Chadema ipo katika "ulevi" wa kifo.
Hakuna kitu kibaya kama sikio la kufa. Halisikii.

Chadema baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi dhidi ya matarajio yao, na kwa kuwa wameshaonja kifo cha kushindwa, hivi sasa wanafanya kila hila na mbinu kwa kuwa they have nothing more to lose, kama kushindwa wameshashindwa. Iliobaki ndio haya tunayoyaona, kila jema na zuri la JK kwao kosa.

Na natumai wa Tanzania wengi wameshawashtukia mbinu yao "suicidal". Wapo tayari wafe, watu wauwane, lakini JK hapana asiwe madarakani! Wanajuwa fika kuwa wanawaweka wananchi katika hali ngumu kwa maandamano yao ya kila siku.

Nawaasa CCM, waacheni waaandamane mpaka waseme basi. Mradi wasitukane na kusema uongo kama walivyozowea.
 
no uelewa unakua kwa kasi sana, hii inatokana na kuona azi yale yalio kua yakipigia kelele na CHADEMA dhidi ya CCM yakitukia live na ugumu a maisha ukikua kwa kasi ya ajabu kwa sisi wanamapinduzi tunaungana kwa hali na mali na CHADEMA kuendelea na harakati ya kweli ya ukombozi wa TAIFA letu
 
Nawapa maneno yangu chadema,wawe makini sana wa wale wahafidhina wanaotoka ccm na kungia katika chama hili la chadema,wanaweza kutumiwa hao na wana ccm ili waingie chadema na badal ayake wakivurugeee,hizi mbinu watazitumia..

LAZIMA MUWE MAKINI 2015 katika 2015 mukija kusimamisha wagombea,wale wananjidai kuwa wanakimbia ccm ni waongo wanataka vyeo tu,ikiwa wao ni wakweli kwa nini wasiwangue mkono bungeni pale munapokuwa munaleta upinzani ?

Kuweni makini sana ili musonge mbele....
 
Waswahili husema "mfamaji haishi kutapatapa". Chadema ipo katika "ulevi" wa kifo.
Hakuna kitu kibaya kama sikio la kufa. Halisikii.

Chadema baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi dhidi ya matarajio yao, na kwa kuwa wameshaonja kifo cha kushindwa, hivi sasa wanafanya kila hila na mbinu kwa kuwa they have nothing more to lose, kama kushindwa wameshashindwa. Iliobaki ndio haya tunayoyaona, kila jema na zuri la JK kwao kosa.

Na natumai wa Tanzania wengi wameshawashtukia mbinu yao "suicidal". Wapo tayari wafe, watu wauwane, lakini JK hapana asiwe madarakani! Wanajuwa fika kuwa wanawaweka wananchi katika hali ngumu kwa maandamano yao ya kila siku.

Nawaasa CCM, waacheni waaandamane mpaka waseme basi. Mradi wasitukane na kusema uongo kama walivyozowea.

Mkuu, Kikwete has to pack and go!! no way..imefikia point of no return..
pamoja na CDM kutumia diplomasia ya hali ya juu, bado inaonekana somo halijaeleweka kwa ccm na serikali yake
 
Nduli JK, nia ya kumg'oa tunayo! sababu tunazo lukuki! nguvu ya umma tunayo!
 
Dr amewapasha kuwa tunda la amani linapatikana kwenye mti wa haki..yaani ni filosofia iliyotukuka..wengi ccm, serikalini na makuwadi wao wengi ni vigumu kuielewa
 
Rais wa Moyoni wa Watanzania waliochakachuliwa Maisha.KAMA KUNA MTANZANIA ANABISHA AJARIBU.DR SLAA SIYO MNAFIKI NA HUWA AMUMUNYI MANENO.

Aliulizwa siku moja humu JF, kuhusu kesi ya Mke wa mtu. Akachakachuwa hakujibu imeishaje. Habari za kiIntelijensia zinasema alimhonga fedha kibao yule jamaa aliekuwa anadai mkewe akanyamaza na kufuta kesi.

Kama hayo ni uongo atufafanulie bila kuchakachuwa, yaliishaje?
 
Mpango mkubwa wa Chadema ni kumfanya Padre Slaa awe Rais, ili alete Ukatoliki serikalini. Waislamu hawatokubali kumuona Slaa anakuwa Rais. Kama mnataka nchi iwe kama Sudan, Iraq, endeleeni na maandamano. No way, Padre Slaa awe Rais.
 
Mkuu, Kikwete has to pack and go!! no way..imefikia point of no return..
pamoja na CDM kutumia diplomasia ya hali ya juu, bado inaonekana somo halijaeleweka kwa ccm na serikali yake

Sababu tunazo!nguvu ya umma ya kumwondoa Nduli JK tunayo! nia tunayo! viva CDM!
 
Uchaguzi umeshapita. Padre Slaa anafikiri siasa ni kama Kanisa, kutoa hotuba kila siku. Padre Slaa nenda kafanye kazi, acha ujinga.
 
Mpango mkubwa wa Chadema ni kumfanya Padre Slaa awe Rais, ili alete Ukatoliki serikalini. Waislamu hawatokubali kumuona Slaa anakuwa Rais. Kama mnataka nchi iwe kama Sudan, Iraq, endeleeni na maandamano. No way, Padre Slaa awe Rais.

CUF na CCM tulia na hiyo Psychopolitic stratergy is very weak.Vipi Kuhusu Askofu G.Rwakatare Mbunge CCM na anamiliki Kanisa Mbezi?.Watz wako macho this time,hawadanganyiki! Mkiendelea kutumia udini kumbuka bibi yako,mjomba,babu yako,mamako nk wataweza kukimbia hiyo vita ya kidini? Jibu hoja za CDM na not rushing to cheap politics,am sure tutaangamia wote.Waislam si Ngazi(weak point) ya kufanyia ufisadi,msiwadanganye maisha magumu Nduli JK ,wote wanaona.
 
Mpwa, nilichokipenda zaidi ni hayo maneno hapo mwanzoni ..." 'kwa mwenye akili"
 
Ninachokiona mimi..........endapo Chadema and the entire opposition camp wataendeleza moto huu ambao Chadema wanauonyesha sasa, basi the 2015 presidency is theirs to lose..

And the opposition will certainly flounder when they will yield against empty threats za akina Tendwa.

Trust me.
 
Rais wa Moyoni wa Watanzania waliochakachuliwa Maisha.KAMA KUNA MTANZANIA ANABISHA AJARIBU.DR SLAA SIYO MNAFIKI NA HUWA AMUMUNYI MANENO.

Aliulizwa na Kinana kwenye mdahalo wa Star TV wakati wa kampeni pale alipokuwa akiahidi huduma za afya na elimu bure,, akaulizwa kwamba yeye ni mwenyekiti wa CCBRT na pia anamiliki shule kadhaa,, sasa ni lini ametoa huduma bure shuleni au hata kuhamasisha pale CCBRT iwe bure?........................"ALIMUMUNYA" siku hiyo. Nadhani ulitaka kusema "HAMUNG'UNYI"
 
crap
hana akili anayesema maneno machafu juu ya slaa
Aliulizwa na Kinana kwenye mdahalo wa Star TV wakati wa kampeni pale alipokuwa akiahidi huduma za afya na elimu bure,, akaulizwa kwamba yeye ni mwenyekiti wa CCBRT na pia anamiliki shule kadhaa,, sasa ni lini ametoa huduma bure shuleni au hata kuhamasisha pale CCBRT iwe bure?........................"ALIMUMUNYA" siku hiyo. Nadhani ulitaka kusema "HAMUNG'UNYI"
 
Mkuu,
Mbinu za ccm zimeaanza kufanikiwa...Umeshaanza kuwaita Dkt Slaa na Mbowe wahuni.
lol yawezekana hukunielewa kwani ujumbe wangu unawahusu CCM wenyewe, kwa maana kwamba kama sii uhuni wa baashi ya viomgozi wa CCM haya maandamano ya Chadema yasingekuwepo wala kupata nguvu hii..
Nachowaomba CCM na hsa JK, ni kujiangalia wenyewe ndani ya chama na kuchukua maamuzi magumu kuliko kuwavaa Chadema kwani kwa kila kauli yao ya kutisha ndio kwanza wanawapa umaarufu zaidi Chadema..
 
Back
Top Bottom