kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?