Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Si ya kucheka
Dunia tambara.....
kweli si ya kucheka lakini waliondoka kwa nyodo, kumbuka Dk alifikia mahali akataka kukiua chama chake alichokijenga na kuharibu future ya vijana aliowagroom kisa lowasa tu.
 
Sio lazima awe kamlisha kitu kupitia mdomoni Mkuu,
Wanawake wana mbinu nyingi sana za kumteka Mwanaume ikiwemo hata Kitandani,
Umpate Mwanamke aliefundwa akafundika mbona unaweza kujenga kwao hata Ghorofa wakati kwenu Mama yako analala ndani ya Kibanda cha nyasi.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...aisifiaye mvua, ilishamnyeshea
 
Lile fungu la kusaliti limeisha? Mwenzie Lipumba bado anavuta
 
Halafu utashangaa akiwa humu JF anawakejeli wasomi wanaolalamika kukosa ajira hapa Tanzania kwa kuwaambia watumie usomi wao kujiajiri wakati yeye mwenyewe ameajiriwa.
Hii ndio sifa mojawapo ya wasomi wanasiasa hapa Tz.
 
kurejea CCM hakujawahi kumuacha mwanasiasa yeyote salama.

[HASHTAG]#MasumbukowaLamwai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MkiaMpendazoe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MachaliMachale[/HASHTAG]
 
Hivi kweli Chadema ndo shukrani mnayompa mpambanaji wenu. Kuja kumkashfu kwa msimamo wake. Hivi mnajua hata kabila lake. Mnajua historia ya maisha yake na misimamo yake. Mkoje nyinyi lakini Mbona hamna Jema. So sasa Slaa mbaya ila CCM na Lowassa ndo Wema wenu. When will you people grow when will we see maturity in You. When will your arguments and discussions be grounded on reasonable and profitable vision and mission. Are you so desperate to attack and smear CCM that you use even your great and focused Commander as means to an end. Why .so sad

And secondly .in this country and most of the Countries in Europe ,to work is what makes one to be human .here ukiona tajiri ana Hotel wengi wao ndo walikuwa wapishi wazuri. Hakuna Kazi Halali yenye heshima au Sio heshima. Kazi ni Kipimo cha utu. Ndo mana sishangai sasa why mmekazana kumtukana hata mkuu ni kwa kuwa nyie ni mission town Watu wa maboom. Its so sad and the saddest thing ,is that you do not even know it that you are stupid and are being used. Cause when you loose that capacity ya kutumia akili yako ,you are just a dead person or animal for that matter. Grow and remember Change is what you make of your life.
 
Lowassa sasahivi mnamuita Fisadi, Nyalundu mnamuita muhujumu, hizi ndo shukrani zenu? When will you grow up and act like matured one?
 
Hivi kweli Chadema ndo shukrani mnayompa mpambanaji wenu. Kuja kumkashfu kwa msimamo wake. Hivi mnajua hata kabila lake. Mnajua historia ya maisha yake na misimamo yake. Mkoje nyinyi lakini Mbona hamna Jema. So sasa Slaa mbaya ila CCM na Lowassa ndo Wema wenu. When will you people grow when will we see maturity in You. When will your arguments and discussions be grounded on reasonable and profitable vision and mission. Are you so desperate to attack and smear CCM that you use even your great and focused Commander as means to an end. Why .so sad

And secondly .in this country and most of the Countries in Europe ,to work is what makes one to be human .here ukiona tajiri ana Hotel wengi wao ndo walikuwa wapishi wazuri. Hakuna Kazi Halali yenye heshima au Sio heshima. Kazi ni Kipimo cha utu. Ndo mana sishangai sasa why mmekazana kumtukana hata mkuu ni kwa kuwa nyie ni mission town Watu wa maboom. Its so sad and the saddest thing ,is that you do not even know it that you are stupid and are being used. Cause when you loose that capacity ya kutumia akili yako ,you are just a dead person or animal for that matter. Grow and remember Change is what you make of your life.
Unamtetea muhuni? Usiendelee hadi uondoshe hishma yako.
 
Sidhani kama hayo ndio maisha aliyoyachagua Dr.Slaa, hayo ndio maisha anayolazimika kuyaishi hata kama hajayachagua.

Daktari wa falsafa kukimbilia ughaibuni ili kwenda kuajiriwa kuuza duka la mtu??!
It does not make sense at all. He must be desperate.
Si alipenda kukimbilia hukoo
 
Daktari ni msomi na alikuwa katibu mkuu wa chadema.
Naomba kujuzwa. .. Huko canada yuko kama mkimbizi au anasoma..??kama ni mkimbizi ni makosa gani kayafanya na kama anasoma kwa nini asipewe mkopo..
Yupo honey moon na mchumba wake!
 
Mwacheni mzee ajishughulishe kama ameona hiyo kazi inamfaa.
Ni hatari sana kwa umri ule kukaa tu bure bure ndo mwanzo wa kunyemelewa na magonjwa.
Hivi wameshafanikiwa kupata mtoto na chumba wake?
 
Back
Top Bottom