assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #81
ila hunishindi akili.umesoma shule za wakubwa ila hujui kuwa nchi inaweza kutoa Elimu bure na bora,Afya na hata Pensheni.sasa wewe msomi wa aina gani,unadhani nchi ni kama familia ya mtu mmoja?ina maana wewe kwa akili zako zoote unadhani kwanini hiyo elimu bure inasubiri katiba mpya?libya chini ya Gadafi ilifanya yote hayo na malipo juu ya kila mwezi hapa hapa Afrika.Nchi ni mtaji mkuu utachekwa,unazungumzia Marekani wakati mfano upo Afrika?eti nyerere alishindwa,hivi mkuu we mzima kweli?sasa nyerere alikuwa na skilled labour ku exploit resources kama sasa hivi?unapaswa kumpongeza sana mtu ambae alitumia kilimo cha Pamba,korosho na tumbaku kujenga viwanda na mashirika makubwa ya uma.Mawazo yako mafupi sana,huna tofauti na wanaoongeza deni la Taifa kwa kukopa hela world bank kwaajili ya expenditure.
ati huyu ndio analyst hahaha mtasubiri sn kupt our level