assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #61
Daaa mkuu leo umelikana chama lako! Bas neno la kakobe limetimia live and direct aseee
wana macho lakini hawaoni wanamaskio lakin hawasikii
Daaa mkuu leo umelikana chama lako! Bas neno la kakobe limetimia live and direct aseee
Acha upuuzi wewe mbuzi.ina maana miaka 50 ccm mmefanya nini?unashangaa nini Dr.slaa kusema elimu itakuwa bure akishika dola?ccm mmezoea wizi sasa mwisho wenu ni mwala huuChadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akangatuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .
mm ni mzalendo
mkuu ur mistaken mm sio ccm
chadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akangatuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .
mkuu umetokea st kayumbba namna ulivomweupe da!
ndo mchepuko wa shangaz yako
Hivi assdy uko sawa? ebu rudia kusoma kichwa cha habari yako hapa:[h=2]Dk slaa aache kudanganya watu ''awadanganye chadema basi''[/h]
kwahiyo CHADEMA ni jitu kuubwa ama ni zombie?? rudisha ubongo wako ndugu yangu. ushabiki usikufanye hamnazo!
'
umetumwa ama?
we unaonaje
Chadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akangatuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .
teh teh, je yule aliyeanguka majukwaani vipi?usimwamini mtu yeyote aliyewahi kuanguka chooni utapata shida maisha yako yote
duh, uanze wewe kwanza!Dr.Slaa awahishwe haraka Mirembe. Muda si mrefu ataanza kuokota makopo jalalani
Hakuna mzalendo anayefana kenge kama wewe
mm nataka cement ishuke bei mpaka 5000 ndo tujue ukweli.
Umeagizwa