Dk. Slaa aache kudanganya watu ''awadanganye CHADEMA basi''

Dk. Slaa aache kudanganya watu ''awadanganye CHADEMA basi''

.
Wewe ni Kiboko.....na umeandika kiushahabiki zaidi " Hata sisiem wenyewe wanatetemeka wanapolisikia jina la Dr. Slaa. Waulize Mafisadi watakupa habari yake na mfadhaiko wanaoupata....

acha uongo slaa ndo nan
 
mkuu ur mistaken mm sio ccm
.
Wanasisiem wanajifaliji bro... we wacha wataisikia habari yake 2015. Zaidi zaidi waombe kura ziesabiwe gizani na safari hii hakuna kukimbia na masanduku ya kura kama lile jimbo la Segerea.....
 
we mtoa maada nahc utakua brn ucye jua hstria. hv unauhakka km nyerere alshndwa kutoa elimu bure? kasome tena ulpo soma
 
Kwani doctor kakukosea nini? Mpaka ujikakamue utafikili unakunya kupinga aliyo zungumza Dr slaa raisi aliyoko moyoni Kwangu
 
Katika watu ambao nawapuuza hapa duniani wako wawili kwanza kabisa ni shetani wa pili ni dr slaa hana kitu mweupe kweli sawa na debe tupu.

Kama yule mzee ni mweupe kichwani, basi wewe na ukoo wenu wote ndani ya vichwa vyenu ni VACUM.
 
.
Wanasisiem wanajifaliji bro... we wacha wataisikia habari yake 2015. Zaidi zaidi waombe kura ziesabiwe gizani na safari hii hakuna kukimbia na masanduku ya kura kama lile jimbo la Segerea.....
mkuu kazi ya kukimbia na masanduku ya kura watapewa polisccm na tissccm!
 
infact tuna hitaji kiongozi au viongozi atakae/watakao simamia na kulishughulikia tatizo la RUSHWA zaidi ya asilimia mia, Hiilo ni jambo la kwanza kabla ya kuongelea juu ya elimu bure au matibabu ya bure, hizo ni sera za zamani na bado waTanzania tunazidi kudanganyika.. it doen't matter ni CCM AU CHADEMA. Elimu bure, matibabu bure je hizo hela zita tiririka tokan mbinguni??? Si shabikii CCM wala CHADEMA lakini ningependa sisi watanzania tufungue macho, na tufikirie kiundani. Ilitupate hudama hizo bora inabidi serikali ichange kwanza hela na si chini ya miaka 10 kwani kuna huduma nyingi tu ambazo zitahitaji hela.
 
Wajanja wa Dr.Slaa walikuwa kina Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo ndiyo walikuwa wanamuandikia hoja za kitaifa, sasa anaandikiwa na Lema pamoja na Yericko Nyerere.
 
Kwi! Kwi! Kwiiii!!! Eee bhana haya mapovu ungeyatumia kufulia mashuka unayojifunika , hakika yangetakata sana !
 
Chadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akang’atuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .

usimwamini mtu yeyote aliyewahi kuanguka chooni utapata shida maisha yako yote
 
Wajanja wa Dr.Slaa walikuwa kina Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo ndiyo walikuwa wanamuandikia hoja za kitaifa, sasa anaandikiwa na Lema pamoja na Yericko Nyerere.
teh teh, duh, umenikumbusha kwenye mtandao wa jk, washauri wake wengi ni mizigo.
 
Katika watu ambao nawapuuza hapa duniani wako wawili kwanza kabisa ni shetani wa pili ni dr slaa hana kitu mweupe kweli sawa na debe tupu.

Hapo ndipo mwisho wa upeo wako wa kujenga hoja.
 
Kama kuna kitu cdm wataimaliza ccm basi ni hizi ahadi wanazowapa wananchi, ccm wameshapoteza mvuto kwa wananchi kwa cdm chenye mvuto kikiwaahidi wananchi ccm inabidi itekeleze hata kwa shingo upande, rejea katiba mpya na nguvu iliyotumika kukanusha kampeni zilizopita kuhusu bei ya mfuko wa cement. Nadhani kilichopo kuanzia sasa cdm kila wanapopita waahidi kutoa kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu, maji na umeme kila kijiji, kufufua reli zote na kujenga mpya, kufufua viwanda vyote na kujenga vipya kutoa ajira, afya bure nk. Sasa ccm maana watalazimisha kuchakachua matokeo hata wakifanikiwa watakuwa na mtihani wa maendeleo ambapo ni faida kwetu watz.
 
Hebu tuambie chadema imeanza lini na ccm imeanza lini,chadema kila kitu kimeiga kutoka ccm mpaka muundo wa chama halafu we kituko unaongea uchuro wako.

Hoja dhaifu sana umeulizwa juu ya ilani za vyama 2010 nadhani ungejenga hoja yako hapo
 
Wwe assad uelewa wko mdogo sana unakimbilia kusema anadanganya ahadi ya jk iringa aliahidi nni yeye aweze dr ashindwe?nchi yetu ina laslimali ya kutosha kufanya yote hayo tatizo ni ukilitimba na uozo wa maccm.
 
Back
Top Bottom