assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
CHADEMA sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk. Slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four sasa hivi sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi.
Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata Nyerere alishindwa akang'atuka aakiilamu IMF na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la Tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe.
Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. CHADEMA mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .