Dk. Slaa aache kudanganya watu ''awadanganye CHADEMA basi''

Chadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akang’atuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .

Mumeo ZZK hajambo?
 
Katika watu ambao nawapuuza hapa duniani wako wawili kwanza kabisa ni shetani wa pili ni dr slaa hana kitu mweupe kweli sawa na debe tupu.

Ajute sana m@m@ aliekuzaa,na bora b@b@ angetumia king@
 
Chadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akang'atuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .

1.Hakusema watatoa elimu bure bali "Elimu bure na bora".lakini pia katiba ya SITA kila kitu kinasubiri sheria itakayotungwa na bunge kwahiyo usiwe na imani sana na katiba mpya.
2.kuhusu pensheni simjasikia kwa kweli,ila pensheni huwa hapewi kila mtu bali "wachangiaji",hapo naona wewe ndo unaripoti ovyo.Lakini pia hiyo kitu inawezekana tu maana pensheni huwa tunachangia na serikali(muajiri) anakuongezea mara 2.Sasa wewe unaonaje,mama ntilie hawezi kuchangia Kwa kiwango chake?au umezoea kuwa michango ni maelfu,malaki na mamilioni?
3.Afya bure pia sikumsikia,alisema "Afya bure kwa nani?"lakini kubwa ni kwamba nchi hii inaweza kufanya mambo makubwa kuliko haya unayoyagopa na unavyodhani hayawezekani.maana nchi yetu ndio "dhamana ya maisha yetu na sio huruma ya watu" Ardhi kubwa na nzuri,madini,gesi,wanyama,bahari,maziwa na mito.tukifuta mikataba ya kinyonyaji na kukusanya kodi vizuri tunaweza.
NB😀r slaa anaamini sana ktk viwanda,unapata picha gani nchi hii ikiwa na viwanda vingi hasa kipindi hiki cha gesi na chuma?hoja yako ipo General general sana na upo negative kwake ndomaana humuelewi.
 
mkuu umetokea st kayumbba namna ulivomweupe da!
 
Mwenye kufilisika ni yupi kati ya ccm na chadema kwani mwaka ule chadema kwenye election manifesto yao walisdma wakiingia madarakani watatoa elimu bure na ccm wakadai eti huo ni uongo kwani kutao elimu bure haiwezekani, laki leo ccm hao hao wameichukua sera ile ile wakiishadidia. Wamedandia kwa mbele suala la katiba mpya toka chadema angalia inavyo wasumbua hadi wanajiaibisha kwa kufanya mambo ya kushangaza.
Chadema sasa imefilisika kisera wakati vyama vinajiaandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu dk slaa amesikika akisema
1. Eti elimu bure mbona hoja hiyo sio sera tena wakati huu. Hata katiba mpya inasisitiza uwepo wa elimu ya bure adi form four. Ndo maana hata ualimu ngaazi ya cheti imefutwa kwa kua kufika form four saiv sio issue tena
2. Kuwadanganya watu kwamba kila mtu atapewa pensheni bila kueleza ni vipi watachangia mifuko ya jamii ni upotoshaji wa wazi. Kama hela ya kula tu ya mama nntilie ni shida vp atachangia mifuko ya penshoni, ni aibu zama hizi kiongozi kufikiri eti serikali itafanya kila kitu hata nyerere alishindwa akang’atuka aakiilamu imf na world bank bila kuelewa soko huria na serikali kujitoa kubeba watu sio suala la tanzania bali ni world wide.
3. Dk slaa kafirisika kudai eti atatoa huduma za afya bure. Nilizani huyu mzee ni mwerevu lakini hapa nimemdharau sana. Angesema angeboresha afya ningekubali lakini kudai eti huduma ya afya iwe bure ni uwongo wa wazi hata marekani afya sio bure kila mtu lazima alipe. Angesema afya bure kwa special groups like wazee watoto waalemavu wajawazito lakini si kwa kila mtu kujifanya kipofu ni jambo baya. Nyerere alijaribu hili na alishindwa vibaya sana sasa kuja na sera ucdkhwara sasa hivi ni ujinga mtupu.
4. Chadema mpaka sasa hakina sera tangible na zinazoweza kutekelezeka zaidi ya kutaka cheap popularity .
 
Mwenye kufilisika ni yupi kati ya ccm na chadema kwani mwaka ule chadema kwenye election manifesto yao walisdma wakiingia madarakani watatoa elimu bure na ccm wakadai eti huo ni uongo kwani kutao elimu bure haiwezekani, laki leo ccm hao hao wameichukua sera ile ile wakiishadidia. Wamedandia kwa mbele suala la katiba mpya toka chadema angalia inavyo wasumbua hadi wanajiaibisha kwa kufanya mambo ya kushangaza.

mkuu inaelekea umepiga dash
 
mkuu inaelekea umepiga dash hujala dinner
 
Dr.Slaa awahishwe haraka Mirembe. Muda si mrefu ataanza kuokota makopo jalalani
 
Back
Top Bottom