Dk. Possi: Nimejiuzulu

Sasa iliwahaidi wananchi nini? Acha Dias's tunapokuja kwenye maswala ya kitaifa
 
Mkuu unamiliki kiwanda gani hapo kwako? Acha uchizi wewe ngoja na wachina waje wagome kuleta viwanda 200 vilivyoadiwa tutakimbilia wapi maana nishati tu shida mnakera kishenzi
Mwenda wazimu ni wewe usiye nijua na unafikiri watu wote ni ma chizi kama wewe. ..if you think education is expensive try ignorance. .SO STAY!
 
Kila anyeombea urais anataka na ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake popote pale ulimwenguni acheni kudanganyana na videmokrasia vyenu vya darasa la nne!
Ww ndo hamnazo kabisaa,yaan ujiendeshee nchi utakavyo? Mbona kwa Tanzania rais anaapa kuilinda katiba ya jamhuri nini maana yake? Tumia kichwa kufikiri usitumie tumbo
 
Kurekebisha hakuondoi ukweli kwamba katiba ilisiginwa. Kujiuzulu kulitakiwa kuanze kwanza... inawezekana kuaminiana kulikuwa tatizo... kwamba unajiuzulu halafu huteuliwi..
 
Kilikuwa kipind kile watu hawajaelimika now watu wapo vzur kichwani
 
eti kiongozi makini...
hahahaaaaaaaa..
tanzania oye..
kweli ccm kumedoda..
kama huyu ndio kiongozi makini tanzania,basi nchi inaugua UKIMWI..
 
Hajafuata katiba kivipi? mbona siasa kila sehemu ukweli tunaweka pembeni just to satisfy our little IQUUED brains? Yani hauoni kwamba hao wabunge walioteuliwa na Rais bado hawajawa wabunge mpaka wale kiapo? Is that so hard to understand? au niweke swali vizuri, mbunge anakuwa mbunge na kuwa na haki na sifa za kibunge baada ya kuteuliwa au kushinda tu au mpaka ale kiapo? Waziri anakuwa waziri baada tu ya kuteuliwa au baada ya kula kiapo? Rais anakuwa Rais baada ya kushinda au baada kula kiapo? Ishughulishe akili yako. QUOTE="technically, post: 19388988, member: 373722"]Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............[/QUOTE]
 
Hizi shule mlienda kusomea nini?msomi hawezi kuja na hoja ya namna hiyo!!!!!!!Asii elimu yetu iko katika kiwango chini,hasa hii ya kipindi cha 2000_nakuendelea hadi sasa ni aibu.
 
Kama KAJIUZURU hapo sawa
Lkn ile ya jana kama kawa balozi haikuwa na nguvu kisheria
Sasa ina maana kateua wanaume 5 na watani LZM wawe wanawake
Acha upuudhi wewe, kujiudhulu Kwa mbunge wa kuteuliwa na rais kupitia nafasi 10 za rais hakufuti namba za uteuzi.
Tukikubaliana na mtazamo wako wa kijinga nafasi 10 za rais zinaweza kuwa hata 20.
Kikatiba rais tayari kashateua wabunge 8 kwenye nafasi zake 10 bado ana nafasi 2 tu
 
Obviously inapungua. Ila kama ataendelea kuteua, itabidi sasa wawe kinamama tena wasiozidi watatu.

Hawa jamaa walichemka ila sasa wanazidi kutia aibu. Huyu Possi kaambiwa ang'oke tu ili kuficha aibu na sio eti "itakuwa uroho kung'ang'ania ubunge"
Nimekaa nimejiuliza siku zote ubunge ni cheo kikubwa kuliko ubalozi..

Je, mfano Dr. Possi angegoma kung'atuka ubunge.

Je, mheshimiwa ingempasa atengue uteuzi wake wa awali?
Muungwana Akivuliwa Mguo Huchutama
By Mjomba Mrisho Mpoto
 
Kifungu kipi cha katiba kilichovunjwa?
Ibara ya 66

Hata hivyo kusahihisha kosa haifuti historia kuwa ulikosea. Hapa ilitakiwa hili la Possi kujiudhuli lifanyike kabla ya Kabudi na Bulembo kuteuliwa.

Yani unafunga Mkanda baada ya Gari kupata ajali!!?
 
Hii ndio hoja ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…