Dk. Possi: Nimejiuzulu

Dk. Possi: Nimejiuzulu

Rais anaapa kuilinda na kuitetea katiba. Nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais bali kwa mujibu wa sheria.. Ikiendeshwa kwa utashi wa rais ni udikteta.
Ukisema popote ulimwengu unajidanganya au kwa kujua au kutojua. Kwa arguments zako inaonekana wewe ndiye darasa la 4. Acha GT wajadili.

Hayo ni maneno tu, wewe unafikiri ingekuwa hivyo kule Marekani wangeandamana? Fungua macho uone reality na uache kukremishwa. Kuna ideal world na real orld, wewe baki sasa na hivyo vikatiba vyako uone watu wanavyopiga kanyaga twende. Ni utashi tu baba, dunia ndivyo ulivyo, kama hukujuaga ipate leo
 
Mkuu katiba aliyo apa kuilinda sio ya nchi ni katiba ya kikundi cha Saccos kuweka na kukopa
 
Hayo ni maneno tu, wewe unafikiri ingekuwa hivyo kule Marekani wangeandamana? Fungua macho uone reality na uache kukremishwa. Kuna ideal world na real orld, wewe baki sasa na hivyo vikatiba vyako uone watu wanavyopiga kanyaga twende. Ni utashi tu baba, dunia ndivyo ulivyo, kama hukujuaga ipate leo
Endelea na imani yako. Nami nasimamia hoja zangu.
 
Endelea na imani yako. Nami nasimamia hoja zangu.

Kusimamia hoja hakumaanishi hiyo hoja ni ya ukweli au ina nguvu. Kama ungekuwa unajiweza usingesimamia hoja badala yake ungeitetea hoja yako. Unasimamia hoja ambayo imekufa? Ukweli si unaonekana kwa macho au wewe dunia huioni inavyokwenda unasubiri kuambiwa tu. Eti katibaaaaaaa!
 
Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............

Tatizo siyo kuwa na raisi asiyefuata katiba, tatizo ni kuwa na katiba isiyomdhibiti raisi. Bila kupata katiba mpya, Tanzania haitabadilika kwa sababu kila raisi ni binadamu na atakuw akiongoza nchi kwa utashi wake akijua katiba haina makali kwake.

Itakuwa ni mvurundo na makitaimu siku zote. Nimewaambia.
 
Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.

Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.

Chanzo:Mtanzania

Swali:

Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Sasa mmeona ilivyo ngumu kwenu ukawa kumpiku Magufuli kwenye siasa? Jembe linaendelea kuchapa kazi.
 
Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.

Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.

Chanzo:Mtanzania

Swali:

Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
wameziba mashimo
 
Kutokana na swali la mtoa mada nami naomba niunganishe na hili ''kama umekula ugali kwa dagaa na baada ya dakika 10 ukatapika'' vipi historia itabadilika kuwa hukula eti kwa sababu tu ya kutapika kwako????
Au tukijikumbusha na kujiuliza Dr Posi aliupata vipi ubunge wake tutajibu vipi??
HISTORY NEVER CHANGE
uteuzi ulikuwa batili kwa vile possi kajiuzulu baada siyo kabla ya uteuzi hivyo sanasana ni kuziba mahandaki wapaswa kuomba msamaha tu hakuna ubabaishaji hapo
 
Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.

Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.

Chanzo:Mtanzania

Swali:

Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Hivyo vyeo kwani kagombea? Sasa swala la uroho hapo linatoka wapi? Rais ndo anampa hivyo vyeo kwani anayempa hivyo vyeo haoni kwamba anamlimbikizia vyeo vingi mtu mmoja? Halafu kukataa kutii mamlaka ni kosa maana mkuu anaweza kuona kwamba unamdharau, yeye achape kazi usiku na mchana ndo maana ya HAPA KAZI TU.
 
Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Acha usabiki-vitumbua weee! Kuteua wanaume au wanawake ni sensitive? Inahatarisha usalama wa taifa ennhh??? Sawa
 
Kusimamia hoja hakumaanishi hiyo hoja ni ya ukweli au ina nguvu. Kama ungekuwa unajiweza usingesimamia hoja badala yake ungeitetea hoja yako. Unasimamia hoja ambayo imekufa? Ukweli si unaonekana kwa macho au wewe dunia huioni inavyokwenda unasubiri kuambiwa tu. Eti katibaaaaaaa!
Domokaya. Domokaya. Hoja imekufa. Ni uwezo wako mdogo wa kuchambua issues au?
Soma hoja zangu. Rais asiyefuata katiba ni dikteta. Sijasema hawapo ambao hawafuati katiba. Hao ni madikteta. Hata hili huelewi.
 
Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Jinsi mlivyo kama viroboto, akijikuna huku unamwa huku,! Hakuna jema kwenu..!! Poor opposition!
 
Hii serikali bwana kila siku ni teuzi nakumbuka mwaka uliopita Mourinho nusu aishushe daraja chelsea kwa sababu hana kikosi maalumu cha first eleven (hakujipanga)

Pamoja na pangua yote hiyo sijaona dalili za viwanda kama kuwa train watu(human capital) wala kufanyia utafiti wa masoko na viwanda vya bidhaa zinazohitajika na ni wapi?
Anatumia tight monetary policy ila inapingana na kanuni cha uchumi inflation iko juu na exchange rate na dolla inazidi kupanda (nina wasiwasi BOT hamna nyakati mbaya ambazo wamepitia kuingilia uhuru wao kama hizi) haiji akilini kwenye nchi changa kama yetu utoe amri ya billions of money zitumike kufanyia kitu fulani ukiwa jukwaani
Conclusion-nchi inaendeshwa sana na utashi wa mtu
Na ndiye Rais wa Nchi yetu kama hutaki atafuta ukimbizi Nchi yoyote.
FB_IMG_1484972119679.jpg
 
Back
Top Bottom