Kamanda J D
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 200
- 166
Baada ya Kujiuzulu maana yake nafasi iko wazi, nadhani mkuu alipoona amekosea kupitiliza idadi ikabidi amteue kuwa balozi na kuachia nafasi ya ubunge na unaibu waziri
Mkuu ulisikiliza clip ya mwakasege?Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......
Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........
Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................
Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Mkuu tatizo watu wengi hawajui mkataba wa SAP......Tuendelee kuwa wachambuzi wakati wakenya na wahindi wanamiminika kuja kuanzisha viwanda. Hayo yote unayoyadai yanapaswa kufanywa na sekta binafsi kwani serikali ilijiondoa kwenye uzalishaji baada ya kuridhia SAP. Usitegemee serikali iwe na kiwanda chake kwa sasa.
Tulia dawa iingie acha kubana makalio gamba weweJinsi mlivyo kama viroboto, akijikuna huku unamwa huku,! Hakuna jema kwenu..!! Poor opposition!
Kujifungia ndani unamaanisha nini?We usijidanganye huwezi kuwa na viwanda bila biashara (masoko),viwanda lazima vi integrate kilimo nishati etc huwezi kuzungumzia viwanda huku umejifungia ndani the issue inahitaji dimensions nyingi sana labda unazungumzia viwanda vya matofali
Na suali jengine lipi linakuja mwanzo Yai au Kuku ?Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Kuna mijitu wajinga humu, eti katiba imevunjwa Mara inachezewa, wapi katiba imevunjwa au kuchezewa???
Rais sio kwamba alikuwa hajui kateua wanaume 6 alikuwa anajua Sana ingekuwa kosa tu kama angewaapisha prof. Na bulembo ila kabla hajaapisha akatengua nafasi ya Posi na kabla hajaapisha Posi kajiuzulu. Sasa nyie mabush lawyer tuelezeni wapi kavunja au kachezea katiba, mmekurupuka Rais kacheza na technicalities za kikatiba.
Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Tatizo bila matukio hamna cha kusema, je unajuaje walipanga iwe hivyo? Wanajua ninyi watu wa matukio, hivyo wawatengenezee tukio ili wiki nzima mkimbie nalo na msifanye mambo productive kwenu. Au tuseme ni kweli walikosea, na sasa wamerekebisha, je ni vibaya kurekebisha makosa? Kuna asiyekosea? Msiwe watu wa matukio sana. Jifunzeni kuibua agenda mpya na kuwa na ubunifu japo kidogo.Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
We kenge kweli mtu aendeshe nchi kwa utashi wake? Labda Gambia hiyo , halafu ngoja nikuulize kile kiapo ambacho unaapa kuilinda na kuitetea katiba huwa unakielewa?Kila anyeombea urais anataka na ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake popote pale ulimwenguni acheni kudanganyana na videmokrasia vyenu vya darasa la nne!
Basi sisi ni watu wazima tumeshaelewa.mkubwa hakosei huambiwa kateleza haya Bw.Possi tunashukuru kwa kumuondolea aibu Mkuu.
Hii aibu bado anayo, ni aibu kubwa sana mkuu.Basi sisi ni watu wazima tumeshaelewa.mkubwa hakosei huambiwa kateleza haya Bw.Possi tunashukuru kwa kumuondolea aibu Mkuu.
Mi nimefumba macho ili nisione tunakoenda!Watu wazima wameshaelewa kama mkuu alichemka!
nani alikuwa hajui kama ili ionekana hajakosea itabidi ajiuzuru?