Dk. Mwakyembe aitahadharisha CCM

Gamba la Mwakyembe ni la kinyonga inategemea anapolivua yuko kwenye rangi gani . Mnafiki mkubwa , wacha wafu wawazike wafu wenzao. Mgamba yatamalizana yenyewe
 
uzalendo wa kweli wa mtanzania hujionyesha katika mtazamo. Sidhani kama nyie mnaochangia hapa dhidi ya Dr. ni watanzania wa kweli. Inasikitisha kwamba leo hii kuna mtu mzima na ndevu zake nne, anadiriki kumkejeli Dr. Mwakyembe. Kweli nchi hii imetekwa na watu wanalio na ndoto ya kwamba Lowassa atakuwa rais 2015. Mtatumika sana kama condom.

Sisi hatutaki unafiki. Kama si mnafiki aseme yale aliyo yaficha kwenye report ya richmond pia aseme siri ya kulishwa sumu.
Lakini haya mambo yake ya kusema sema pembeni wakati mambo haweki hadharani mimi yamenichosha.
Huyu hana tofauti na sitta sitashangaa siku moja anajikosha kwa JK kama sitta alivyo msifia juzi eti wanaombeza kikwete wanafiki kikwete kafanya mambo mengi.
Siwezi kumwita mwakyembe mzalendo kwakuwa angekuwa mzalendo asingeendelea kuficha maovu ya richmond anayodai hakuyasema mpaka leo.
Naloona zaidi zaidi anatafta umaarufu wa kisiasa.
Peoples power ndo mpango mzma
 
Hakyamungu!!!! Hivi nyie Chadema mnataka nini lakini?? mbona hata hoja za msingi hivi mnazipotezea? Yani ningekuwa na mamlaka ningekifutilia mbali hiki chama. CCM imewalea mpaka hapo mlipofika, sasa hivi mnajidai kusahau fadhila?? kweli ubinadamu kazi

Yani watu wenye fikra na mawazo mgando kama wewe mnanikera sana na nawaonea huruma. Eti CCM imetulea!???
Basi nyerere angesema serikali ya kikoloni imemlea yeye na wazee wenzake wasingepigania uhuru kisa kasoma shule ya mkoloni na kazaliwa kipindi cha mkoloni.
Acha mawazo mgando think big hivi wewe huoni aibu nchi yako yenye rasilimali nyingi na utajiri mwingi kuwa among nchi masikini yani tunazidiwa na majirani zetu ambao hawana kitu.
Ningekuwa karibu na wewe ningekuchapa makofi.
 
unatumiwa na mafisadi kama wewe siyo fisadi

Mimi sina permanent friend au enemy kama wewe na wengine wenye fikra mgando.
Mwakyembe nilimwona shujaa kipindi kile alipoibua madudu na lowassa akajiuzuru, lakini mara ooh kaficha mambo mengine mpaka sasa hajayasema.
anayaficha kwa maslai ya nani?
ukiangalia kauli zake inaonesha kwamba anaamini kwamba kapewa sumu na waliompa anawafahamu kwanini hawataji?
Yani mimi unafiki siupendi na nishamuona ana agenda yake nyingine si mpambanaji ana rangi nyingi.
 
Mwakyembe, kitaaluma ni mzuri sana, hilo halina ubishi
Lakini kisiasa, na hasa UBUNGE wa Kyela, kwangu hajafanya la maana kwa wananchi wanyonge,
Bado Kyela inamatatizo mengi ambayo kwa nguvu zake kama mbunge na naibu waziri, angetumia muda kidogo, at least angezipunguza,
Ugomvi ndani ya chama chake na kuyaleta nje, hii ni shida, kuna siku itamcost sana, zaidi ya sasa,
Kwa muda huu uliobakiza Dr. Mwakyembe jitahidi utatue kero za jimbo la Kyela achana na malumbano na hao mafisadi, tumeshawajua na tumejua hawawezi chukuliwa sheria na nyie wenye serikali, we ongoza Kyela kwenye maendeleo kabla ya 2015!
 
mpuuuuuuzi....japo mi ni mwanakyela mwenzie......! hana jipya na bora jimbo liwe wazi tujue moja....!
 
anyamaze...........ukurutu umeisha?

comment kama hii nchi zenye ustaarabu sasa hivi ungekua polisi unatoa maelezo, si unamkumbuka yule aliyeongea kwa fabrice muamba ujinga usiotofautiana sana na kauli yako
 
Kwenye hiyo tahadhari mi sijaona wapi kamtaja JK. anawaambia wana CCM wenzake kuwa kuna marumbano ndani ya chama chao hapo kuna ubaya gani. unasema akaongelee kwenye baraza la mawaziri kwani kila alichoongea hapo ni cha level ya juu hivyo?. mwache atoe dukuduku lake maana kwenye mikutano ya ndani mnamziba mdomo!

Mkuu ujanielewa ninacho sema humu, ni kwamba, hivyo vikundi kwenye chama tawala (CCM) anavyo zumzungumzia Dr.Mwakyembe kama anajua vinara wao ni akina nani, kwa nini amwabii JK kuhusu tataizo hilo, wakaitisha kikao cha ndani wakawekana sawa bila ya kuogopana kwa maslahi ya chama chao.

Mimi namshauri kwa nia nzuri tu, kwamba kutokana na wadhifa wake ingekuwa busara zaidi atoe dukuduku lake ndani ya NEC au kwenye Cabinet; akiona anapuuzwa (na siamini kama anaweza kupuuzwa) basi ajihuzuru uwaziri hili aweze kuwa free kutoa dukuduku lake kwenye mikutano ya adhala.

Labda nikuhulize swali: Kwa kawaida nani uongoza vikao vya NEC? Nani anaongoza Baraza la mawaziri including Waziri Mkuu, sasa kama tatizo la vikundi liko kwenye chama tawala au Baraza la Mawaziri we unafikili ni nani anaweza kumaliza tatizo la vikundi? Sina shaka umekwisha pata jibu, kwa hiyo sijakosea kitu kumtaja JK.
 
Back
Top Bottom