Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,171
- 28,821
Ila huyu si ni mchagga ? .......
Ndiyo!!! Ulitakaje...???
Ila huyu si ni mchagga ? .......
mbona umeishia ukabila tu? ungemalizia na masuala ya udeen kabisa
Unauliza kabila, unataka kutambika?
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
Hii tuzo ni sawa kabisa kwa mtu sahihi,siyo zile anazopewa Mengi wakati hana biashara inayoeleweka.Dr.Kimei kathibitisha kuwa watanzania weusi tunaweza
hahahaha uzi huu umeni furahisha...mleta uzi umeandika kwa uchungu fulani pia...natumai prezidah atakuwa amekuskiaaaa
naona yuko kitandani lkini katuma salam za pole kwa amigolas si unajua alitamani angekuwepo msibani kucheki yale mamboz
kwa nini asiwe mchechu ambae kazi yake inaonekana waziwazi sio kimei
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
Ukimpa Governor siku hiyo hiyo Tz inafutiwa misaada yote na kujiondoa TzTaarifa nyeti toka ndani ni kuwa anamulikwa sana ili aje awe Governor wa Bank kuu.
Mm simuungi mkono Kimei japo n mteja wa CRDB.HAIWAJALI WATU WA CHINI,WANA RIBA KUBWA TOFAUTI NA NMB,AJIRA ZA KIKABIRA KWA KIAS KIKUBWA, WANAPENDA KUJISIFIA KWA SHEREHE NA MAKMGAMANO.WANA MATUMIZI MAKUBWA NDO MANA HATA RIBA IPO JUU.INATUMIKA KIFISADI SANA CRDB.HASITAHIRI .
toa hoja dada...acha majungu!Ivi una akili au umekunywa pombe jana sasa leo bado zipo kichwani na kwa bahati mbaya alie kununulia pombe ni Mzee Kimei sasa inabidi umrushe kwa stail hii, laiti ungejuwa usinge andika ni mjinga anaandika haya ila sio mtu alie soma na ana akili timamu. Pole
Wezi hao jamaa, si wa kuweka benki kuu.NI WEZI MUNO NA WANAPENDA KUBEBANA WAO KWA WAO.
Taarifa nyeti toka ndani ni kuwa anamulikwa sana ili aje awe Governor wa Bank kuu.
nahitaji kumjua mkurugenzi wa NHC,huyo ndo anastaili tuzo za maana kwa kuitoa NHC kabulini
Hii tuzo ni sawa kabisa kwa mtu sahihi,siyo zile anazopewa Mengi wakati hana biashara inayoeleweka.Dr.Kimei kathibitisha kuwa watanzania weusi tunaweza