Dk. Charles Kimei apewe nishani ya kitaifa

East African Eagle

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
3,759
Reaction score
2,209
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
 
Hii tuzo ni sawa kabisa kwa mtu sahihi,siyo zile anazopewa Mengi wakati hana biashara inayoeleweka.Dr.Kimei kathibitisha kuwa watanzania weusi tunaweza
 
Nakubaliana na ww ni mmojawapo wa watanzania wachache wenye uthubutu wa maamuzi na kuona matokeo chanya
 
Pesa za EPA nyingi zilipitia Bank hii, kwa kuwa ni kawaida kwa Tanzania kusifia wakwapuaji na kuwaita Free Masons, basi naye apewe tuzo!
kama kampuni ilikwa halali serikalini mpaka kuchota pesa (pamoja na usalama wa taifa kuwepo) ingekuwa vipi kwa benki ya biashara kujua uhalali wa kampuni? walichokuwa wanafanya ni ku-mobilize deposits. kumbuka kampuni zote zilizochota pesa zilifanya kazi na serikali. ukiwa meneja, kampuni inakuja kufungua account na una taarifa kuna pesa kutoka benki kuu tena pasi na shaka utakataa deposits? kama hiyo kasahifa isingeibuka, kampuni zile zingekuwa halali mpaka leo hii. na ndio maana baada ya kashifa accounts zote zilifungwa!
 
Binafsi naikubali sana CRDB, ni benki ambayo niliipenda tu kutoka rohoni.
 
Hawa ndo madoctor WA halali :thumbup: sio kina liu xao ho :thumbdown:mmmmh
 
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
Mm simuungi mkono Kimei japo n mteja wa CRDB.HAIWAJALI WATU WA CHINI,WANA RIBA KUBWA TOFAUTI NA NMB,AJIRA ZA KIKABIRA KWA KIAS KIKUBWA, WANAPENDA KUJISIFIA KWA SHEREHE NA MAKMGAMANO.WANA MATUMIZI MAKUBWA NDO MANA HATA RIBA IPO JUU.INATUMIKA KIFISADI SANA CRDB.HASITAHIRI .
 
mbona umeishia ukabila tu? ungemalizia na masuala ya udeen kabisa
 
huyu jamaa atishwi..ndio maana alipga chini kimemo kutoka kwa wapigwe tu kuzuia uuzaji wa shule za mzee wa msituni....ka professa mzima unapitisha utumbo wa PAP, iweje asijiuzulu....Kimei alipaswa kuwa gavana aisee....
ni mtazamo!

Upepo
 
kama kampuni ilikwa halali serikalini mpaka kuchota pesa (pamoja na usalama wa taifa kuwepo) ingekuwa vipi kwa benki ya biashara kujua uhalali wa kampuni? walichokuwa wanafanya ni ku-mobilize deposits. kumbuka kampuni zote zilizochota pesa zilifanya kazi na serikali. ukiwa meneja, kampuni inakuja kufungua account na una taarifa kuna pesa kutoka benki kuu tena pasi na shaka utakataa deposits? kama hiyo kasahifa isingeibuka, kampuni zile zingekuwa halali mpaka leo hii. na ndio maana baada ya kashifa accounts zote zilifungwa!

Inatumika na mafisadi CRDB na wanahisa wake wengi ndo hao wezi akiwamo Rostam.Ajira zao n kawa za BOT.
 
Hii tuzo ni sawa kabisa kwa mtu sahihi,siyo zile anazopewa Mengi wakati hana biashara inayoeleweka.Dr.Kimei kathibitisha kuwa watanzania weusi tunaweza

Mengi huwezi kumfananisha na Kimei wewe!Hana biashara inayoeleweka?Mengi anafanya biashara kwa weledi mkubwa.Ameajiri wa tz kibao, utamfananishaje na mwajiliwa anayefukuzia hela za vkao?
 
Back
Top Bottom