Dk. Charles Kimei apewe nishani ya kitaifa

Dk. Charles Kimei apewe nishani ya kitaifa

Moja ya kazi ya riba ni kugharamia uendeshaji na upatikanaji wa faida.KWA FAIDA WANAYOJIVUNIA KUPATA INGETOSHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MIKOPO.
Am talking from practical focus (what is actually taking place on the field) wee unaleta theories. Nakwambia Kwa Tanzania hata bank zingekuwa na zero operation cost, riba ingebaki above 18%. Does your theory apply?
 
UPATIKANAJI WA MIKOPO KWA WATU WA CHINI NI MGUMU KUPITIA CRDB.
UKO nchi gani?Watu wa chini wanakopa sana tena sana kwenye benki ya CRDB.Ila wanapitia SACCOS zao za mijini na vijijini.CRDB inachofanya haikopeshi direct hao watu wa chini kwa kuwa mara nyingi huwa hawana dhamana za kuaminika na benki na kuwa-trace wakikopa huwa vigumu sababu hawana ofisi wengine hata nyumba hawana ni wapangaji wanaoweza hama leo hapa wakahamia kwingine.Pia kuwajua vizuri (Know Your Customer) si rahisi kwani wengi wana vitambulisho hivi vya kuchapa internet cafe.Ofisi pekee ya kuaminika ni ofisi yao ya SACCOS.

Hivyo mtu yeyote akitaka mkopo Benki ya CRDB ataupata kupitia SACCOS.SACCOS nyingi tu zina makubaliano na CRDB kukopa fedha kule ili kukopesha maelfu ya wanachama wao wa hali ya chini.

CRDB kwa ufahamu wangu bado inatoa mikopa kwa watu wa chini kupitia SACCOS zao mijini na vijijini haijaacha hilo jukumu.Sehemu nyingine CRDB imechukua hadi menejiment za SACCOS na kuamua kuzilipa mishahara ili kuhakikisha SACCOS hizo zinafanya vizuri kuhudumia hao wanachama wao wa hali ya chini ambao wamekopa mikopo CRDB KUPITIA SACCOS.
 
Baadhi ya watu wana ajenda, wanapenda wasighuswe lakn wao wazodoe wengne.WAPO WATANZANIA WENGI WA KUTOLEA MFANO HATA MSECHU KIJANA ALIYEFUFUA NHC,WAKUU WA PENSION FUNDS, TUNAONA INVESTMENTS WANAZOFANYA NCHINI NA UBORESHAJI WA MAFAO.N.K.Anapgwa debe Kimei kwa ushabki wa kimaeneo, angeipenyeza basi CRDB kwenye soko la Kenya tuone umahri wake.

Ni kweli mkuu, CRDB bado sana japo inajitahidi kibongobongo... Imezidiwa hata na Exim Bank matawi nje ya nchi
 
Am talking from practical focus (what is actually taking place on the field) wee unaleta theories. Nakwambia Kwa Tanzania hata bank zingekuwa na zero operation cost, riba ingebaki above 18%. Does your theory apply?

Una habari kuwa riba ya mkopo wa mshahara NMB ni chniya asilimia hiyo unayosema?
 
Una habari kuwa riba ya mkopo wa mshahara NMB ni chniya asilimia hiyo unayosema?
Mbona hujiamini? Sema specifically riba ni asilimia flani, halafu niende kukutaftia repayment schedule nikukokotolee uone unavyoibiwa. Unaambiwa riba ni %flani, ukiwa na uelewa ukirudi kuwaambia mbona nikipiga haiji unapewa excuse, sijui na insurance ipo humo sijui charges gani. Ndo maana nakwambia nakwambia mie naongea uhalisia unaotokea mtaani wee unaongea nadharia. Jipange mkuu, hawa wote ndugu moja.
 
Hii tuzo ni sawa kabisa kwa mtu sahihi,siyo zile anazopewa Mengi wakati hana biashara inayoeleweka.Dr.Kimei kathibitisha kuwa watanzania weusi tunaweza

Kumbe biashara hii inayoeleweka (CRDB) ni mali ya Kimei nilikuwa sijui aisee, mie nilidhani Kimei ni muajiriwa tu kumbe ni yake aisee
 
Siwezi kuwa na wivu kwa Kimei kupewa tuzo.Isitoshe ninayo elimu ya kutosha kwa mazngra haya.Siwazi hata siku moja kufanya kaz bank yoyote.Tusimkweze Kimei kwa sifa ambazo hana.Amehamisha malengo msingi ya kuanzishwa bank hyo.NA NI BANK INATUMIKA NA MAFISADI!!

Yodoki,
Sikupingi ila kiukweli jamaa alipoitoa bank mpaka ilipo anastahili pongezi. Benki hii bado ina malengo yale yale ya kuserve rural community na kilimo kwa ujumla.
 
mbona umeishia ukabila tu? ungemalizia na masuala ya udeen kabisa

Udini ndio noma kabisa wana hr wao mwaka 2012 aliajiri wafanyakazi 62 kati ya hao waislamu walikuwa 16 the rest wakiristo akaambiwa amejiri waislamu wengi wamtoa kwenye uajiri akawa anashughulika na masuala ya medical cover tu!!!!!

My classmet aliambiwa na bosi wake yaani wewe ungekuwa huvai ushungi ungepanda harakaharaka vyeo!!!!
 
Huyu kimei apewe nishani kwa lipi hasa? Kwa udini wake na ukabila ?
 
Mh waafrika kwa kureffer dini na makabila hawajambo..anyways kimei congraturation for flourishin crdb
 
Una habari kuwa ribs ya mkopo wa mshahara NMB ni chniya asilimia hiyo unayosema?

To be honest is priceless; kwa nn unasema kitu usichokijua kuna vitu haviitaji story za kijueni
Mkopo nmb + mortage na gharama zingne zinafika 21%
 
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo


CRDB ni taasisi ya kuchakatisha pesa ilitumiwa na EPA kuchakata pesa.
 
Back
Top Bottom