Dk. Charles Kimei apewe nishani ya kitaifa

Dk. Charles Kimei apewe nishani ya kitaifa

UKO nchi gani?Watu wa chini wanakopa sana tena sana kwenye benki ya CRDB.Ila wanapitia SACCOS zao za mijini na vijijini.CRDB inachofanya haikopeshi direct hao watu wa chini kwa kuwa mara nyingi huwa hawana dhamana za kuaminika na benki na kuwa-trace wakikopa huwa vigumu sababu hawana ofisi wengine hata nyumba hawana ni wapangaji wanaoweza hama leo hapa wakahamia kwingine.Pia kuwajua vizuri (Know Your Customer) si rahisi kwani wengi wana vitambulisho hivi vya kuchapa internet cafe.Ofisi pekee ya kuaminika ni ofisi yao ya SACCOS.

Hivyo mtu yeyote akitaka mkopo Benki ya CRDB ataupata kupitia SACCOS.SACCOS nyingi tu zina makubaliano na CRDB kukopa fedha kule ili kukopesha maelfu ya wanachama wao wa hali ya chini.

CRDB kwa ufahamu wangu bado inatoa mikopa kwa watu wa chini kupitia SACCOS zao mijini na vijijini haijaacha hilo jukumu.Sehemu nyingine CRDB imechukua hadi menejiment za SACCOS na kuamua kuzilipa mishahara ili kuhakikisha SACCOS hizo zinafanya vizuri kuhudumia hao wanachama wao wa hali ya chini ambao wamekopa mikopo CRDB KUPITIA SACCOS.

CRDB haina saccos,ILA inachangia Sana kuua Saccos kwa sababu crdb uwakopesha saccos kwa riba kubwa,kumbuka crdb na saccos zinacompete kwenye same market kwa hiyo crdb hawawezi kuwa wema kwa saccos
 
ningeulizwa I wouldn't hesitate to propose him as the next central bank's governor
 
CRDB haina saccos,ILA inachangia Sana kuua Saccos kwa sababu crdb uwakopesha saccos kwa riba kubwa,kumbuka crdb na saccos zinacompete kwenye same market kwa hiyo crdb hawawezi kuwa wema kwa saccos

mi nakueleza kitu ambacho nimepractice saccos zinaifanyia biashara CRDB,u know first aim of saccos is to rise capital through savings and then to provide credit to its members and not rising capital through external financing such as loans from crdb.
 
Am talking from practical focus (what is actually taking place on the field) wee unaleta theories. Nakwambia Kwa Tanzania hata bank zingekuwa na zero operation cost, riba ingebaki above 18%. Does your theory apply?

hiyo Ni kweli kwa sababu ya inflation rate ,refer to fisher effect formula Nominal interest equals to the real interest rate plus inflation rate.nominal interest rate is the one who pays lenders
 
huyu jamaa atishwi..ndio maana alipga chini kimemo kutoka kwa wapigwe tu kuzuia uuzaji wa shule za mzee wa msituni....ka professa mzima unapitisha utumbo wa PAP, iweje asijiuzulu....Kimei alipaswa kuwa gavana aisee....
ni mtazamo!


Upepo

Tatizo lake ameendekeza sana udini
 
Azania je? PBZ? Acha kuleta hizo. Mimi mwislamu lakini nimeajiriwa Maendeleo Bank. Futa kauli za kichochezi Ustaadh.

Mko wangapi hapo maendeleo wenye sigda
 
hiyo Ni kweli kwa sababu ya inflation rate ,refer to fisher effect formula Nominal interest equals to the real interest rate plus inflation rate.nominal interest rate is the one who pays lenders

Mambo Ya Uchumi Hayo Woooh FN101!!
 
Back
Top Bottom